Sio lazima mtake, ila ndo RaisHuku kanda ya ziwa angelijuwa mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima mtake, ila ndo RaisHuku kanda ya ziwa angelijuwa mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi.
umenena ukweli kwa asilimia 80 hata mm huzunguka mikoani sijaona wananchi kumzungumzia mama kwa wema nazani ameasiliwa sana na mtangulizi wake ,mara ya kwanza wengi wanaimani kunamtu anamsaidia sio yy na hili la sasa ndo kabisa inabidi abadili aina ya utendaji[emoji848]Kuna sehemu wananchi umewakosea. Tafakari!
Toka uanze kazi ni mikoa 2 tu sijatembelea nayo ni Kagera na Kigoma. Mikoa mingine yote nimefika na kujaribu kufanya utafiti wa kawaida.
Hali ni mbaya, Siandiki kwa ubaya lakini ndiyo Hali halisi. Wengi wanakuongelea kwenye mtazamo hasi. Hata kwenye mikutano yako ya hadhara, wasaidizi wako wanatumia nguvu kubwa Sana kushawishi watu wajitokeze. Hii si ishara nzuri kwa kiongozi hasa wa level yako.
Niandikaye hapa ni mmoja wa watu tunaopita vijiweni Hadi vijijini. Tunakutana na watu wa kila aina na makundi tofauti na tunabadilishana mawazo. Na huwa hatuachi kuzungumzia viongozi wetu na msitakabali wa nchi yetu. Kwani Tanzania ndiyo mama yetu wa uraia.
Hali ni mbaya. Hali ni mbayaaaa!
Ndugu zetu walio vijijini wengine hata kisomo ni cha Chini lakini kila tukizungumza kwenye simu wanatuuliza " eti tunasikia hata bandari imeenda alijojo" [emoji24] huwa nasikitika wakiniuliza hivi lakini najiuliza Hadi huko wanajua? Nagundua teknolojia imerahisisha usambaaji wa taarifa.
Sasa wale wanakuzunguka always watakuambia unakubalika lakini kamwe usiwaamini. Wanatumia nguvu kubwa kuwa corrupt mind lakini pamoja na hilo wakitoka wanakuponda mno wananchi.
Sasa hivi waziri mmoja wa afya ametangaza kuanza kwa clinic binafsi katika hospitali za umma. Mapokeo ya hili ni hasi kwa wananchi na joto la jiwe wameanza kulionja. Wanakwenda hospital wanacheleweshwa makusudi ili ifike saa 10 huduma binafsi zianze. Hali ni mbaya.
Kwenye hotuba zako, tofauti na mtangulizi wako, wewe siku hizi hata ukiwa una schedule ya kuhutubia wananchi wengi hawajiandai kusubiri kwa hamu hotuba ya kiongozi wao na hata kujazana kwenye kumbi za starehe kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako. Nimejaribu kuandika kile nakiona mtaani lakini.
Muda Bado upo kidogo kuelekea 2025 ukiamua kubadilika unaweza, ukiamua kupuuza haya ni Sawa tu.
Lakini kama Hali itakwenda hivi Hadi 2025 mtaleta machafuko baada ya uchaguzi. Hatupendi hayo.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania[emoji1241]
"Raslimali za nchi ziheshimiwe kwa manufaa ya wote"
Masikini sijui umekusanya wapi hizo data!Samia ameharibu hakuna mtanganyika mwenye akili timamu mwenye kutamani kumuona, achilia mbali hata kumsikia..
Ni wachache kama wewe ndio wanaomuona shujaa wao, kwasababu aliyewapeleka utumwani ndani ya mipaka ya nchi yao.
Jana tu jioni, nimekaa na jamaa zangu wanaendesha carry, gari ndogo za kusafirisha mizigo, sikuamini maneno waliyokuwa wakiyatoa pale kijiweni kwao..
Ikabidi niwatazame mara mbili mbili, maneno makali waliyokuwa wakiyatoa dhidi ya huyo mwanamke siwezi kuyaandika hapa, chawa amini nakwambia, watanganyika wote unaowaona hawana tena imani na Samia..
Sasa hiyo alama ya kuuliza ni ya nini!?Mimi mbona nampenda?
Wanywe sumu wakafilie mbali.Tena aki na mama ndo hawampendi kabisa. Kuna mama mmoja anasikiliza radio one sasa kuna muda wanaweka ujumbe wa Samia Suluhu Hassan utasikia wamama wanakwambia mwenzao "zima kwanza/toatoatoa.../we punguza sauti kwanza/
Na anampenda kweli...Bora Mungu ampende zaidi tubaki na bandari zetu
Haiondoi ukweli kuwa Samia ndiye Rais wa JMT sio lazima awe na mvutoNa huu ndio ukweli.
Wanaoenda kwenye mikutano wengi wanakusanywa na RCs,DCs,Wabunge n.k tena kwa pesa ndefu.
Mama amekosa mvuto.
Uko sahihi kabisa. Wamama wengi hawamkubali kabisa huyu Rais. Na hata hoja ya kutopendwa nayo ina ukweli ndani yake.Tena aki na mama ndo hawampendi kabisa. Kuna mama mmoja anasikiliza radio one sasa kuna muda wanaweka ujumbe wa Samia Suluhu Hassan utasikia wamama wanakwambia mwenzao "zima kwanza/toatoatoa.../we punguza sauti kwanza/
Umetumwa na sukuma gang you cheat yourself,HAKUNA KAMA SAMIAH,JIDANGANYE KIPIMO UTAKIPATA 2025. NI MWENDO WA USHINDI KILA PAHALA,ANAWEZA KUVUNJA REKODI YA WINGI WA KURA.Kuna sehemu wananchi umewakosea. Tafakari!
Toka uanze kazi ni mikoa 2 tu sijatembelea nayo ni Kagera na Kigoma. Mikoa mingine yote nimefika na kujaribu kufanya utafiti wa kawaida.
Hali ni mbaya, Siandiki kwa ubaya lakini ndiyo Hali halisi. Wengi wanakuongelea kwenye mtazamo hasi. Hata kwenye mikutano yako ya hadhara, wasaidizi wako wanatumia nguvu kubwa Sana kushawishi watu wajitokeze. Hii si ishara nzuri kwa kiongozi hasa wa level yako.
Niandikaye hapa ni mmoja wa watu tunaopita vijiweni Hadi vijijini. Tunakutana na watu wa kila aina na makundi tofauti na tunabadilishana mawazo. Na huwa hatuachi kuzungumzia viongozi wetu na msitakabali wa nchi yetu. Kwani Tanzania ndiyo mama yetu wa uraia.
Hali ni mbaya. Hali ni mbayaaaa!
Ndugu zetu walio vijijini wengine hata kisomo ni cha Chini lakini kila tukizungumza kwenye simu wanatuuliza " eti tunasikia hata bandari imeenda alijojo" 😭 huwa nasikitika wakiniuliza hivi lakini najiuliza Hadi huko wanajua? Nagundua teknolojia imerahisisha usambaaji wa taarifa.
Sasa wale wanakuzunguka always watakuambia unakubalika lakini kamwe usiwaamini. Wanatumia nguvu kubwa kuwa corrupt mind lakini pamoja na hilo wakitoka wanakuponda mno wananchi.
Sasa hivi waziri mmoja wa afya ametangaza kuanza kwa clinic binafsi katika hospitali za umma. Mapokeo ya hili ni hasi kwa wananchi na joto la jiwe wameanza kulionja. Wanakwenda hospital wanacheleweshwa makusudi ili ifike saa 10 huduma binafsi zianze. Hali ni mbaya.
Kwenye hotuba zako, tofauti na mtangulizi wako, wewe siku hizi hata ukiwa una schedule ya kuhutubia wananchi wengi hawajiandai kusubiri kwa hamu hotuba ya kiongozi wao na hata kujazana kwenye kumbi za starehe kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako. Nimejaribu kuandika kile nakiona mtaani lakini.
Muda Bado upo kidogo kuelekea 2025 ukiamua kubadilika unaweza, ukiamua kupuuza haya ni Sawa tu.
Lakini kama Hali itakwenda hivi Hadi 2025 mtaleta machafuko baada ya uchaguzi. Hatupendi hayo.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania🇹🇿
"Raslimali za nchi ziheshimiwe kwa manufaa ya wote"
kushinda uchaguzi upinzani ni jambo gumu labda katiba ya hii nchi ibadilishwe baazi ya kanuni za uchaguzi zibadilishwe ,Raisi anamchagua msimamizi mkuu wa uchaguzi unategemea nini hapo?wakurugenzi ndo mabosi wa ichaguzi huko chini kabisa unategemea mtu atashinda?labda waamue tuMnasema hapendwi lakini utashangaa 2025 kuna watu kibao watampa kura zao kwa kuwa na mahaba na chama bila kuangalia utendaji wake pia kuna ambao hawatampa kura pengine hawa wanaweza kuwa wengi lakini kwa kuwa haya ma CCM ni majizi mazoefu ya kura utashangaa amepata kura za kutosha lakini za mchongo
HAKUNA KIPINDI AMBACHO AKINAMAMA WENYE UELEWA WANAFAIDIKA KAMA KIPINDI HIKI MIKOPO IMERAHISISHWA KWELI,LABDA HILO LIMAMA ULILOLIOJI NI LENYE CHUKI YAKE NA MUMEWE LINAIWEKA KWENYE UMMA,ALL BRIGHTY WOMEN LOVE MAMA SAMIAH,MAJINGA NA YASIYOJUA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO NI SHIDA KWAO.Uko sahihi kabisa. Wamama wengi hawamkubali kabisa huyu Rais. Na hata hoja ya kutopendwa nayo ina ukweli ndani yake.
Maeneo mengi ya vijijini ambako ccm imekuwa ikikusanya kura za bure, kwa sasa hali ni tofauti kabisa. Kuna watu hawataki hata kumsikia, au kumuona kwenye picha. Hii siyo dalili nzuri hata kidogo.
Natamani 2025, angejitoa kwenye mchakato. Ila ndiyo tena. Madaraka yamesha mnogea. Ngoja tuone kitakachotokea.
Rais gani ameshawahi kupendwa.Samia ameharibu hakuna mtanganyika mwenye akili timamu mwenye kutamani kumuona, achilia mbali hata kumsikia..
Ni wachache kama wewe ndio wanaomuona shujaa wao, kwasababu aliyewapeleka utumwani ndani ya mipaka ya nchi yao.
Jana tu jioni, nimekaa na jamaa zangu wanaendesha carry, gari ndogo za kusafirisha mizigo, sikuamini maneno waliyokuwa wakiyatoa pale kijiweni kwao..
Ikabidi niwatazame mara mbili mbili, maneno makali waliyokuwa wakiyatoa dhidi ya huyo mwanamke siwezi kuyaandika hapa, chawa amini nakwambia, watanganyika wote unaowaona hawana tena imani na Samia..
Unatokea mkoa gani?Mimi mbona nampenda?
Mjinga na mpumbavu ni nani?Wanawake wajinga na wapumbavu hawawezi kumpenda mama samia hats kidogo!note this!
N.B,Jiepushe nasuala la kuusemea umma,katika masuala ya mtazamo binafsi.
Utakuwa kipofu wa kifikra, unampenda aliyekugeuza mtumwa!..Rais gani ameshawahi kupendwa.
Hata Mwalimu alipendwa sababu ya zama za giza
Ni yule anayelalama kutwa kuchwa ingali fursa zipo wazi kwa kinamama na wanapendelewa kweli kweli.Mjinga na mpumbavu ni nani?