ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa ni hivi Anaepanga nani awe Rais ni Mungu Kwa michakato iwayo yeyote Kwa sababu maalumu na hata kutoka inakuwa hivyo..Umeandika ujinga!
Huyo unae msema watu walikuwa wanajazana kwenye Vibanda kusikilizà hotuba zake. Hadi anakufa watu wamejazana kulia kila Kona. Hadi Leo wanamililia.
Kwa hiyo hakuna mtu ataoendwa na wote na atachukiwa na wote Kwa muktadha huo hata mnaomchukia muwe 1000 ila wanaomlenda wawe 2 so long as Mungu kasema okay itakuwa hivyo unune au ucheke mpaka alichokusudia Jiwe.
And this is naked truth Mzee,ingekuwa kupendwa ni kuwa Rais Lowasa na Raila wangeshakuwa marasi zamani sana.