Ukweli Mchungu: Rais Samia hupendwi na Wananchi wengi

Umeandika ujinga!

Huyo unae msema watu walikuwa wanajazana kwenye Vibanda kusikilizà hotuba zake. Hadi anakufa watu wamejazana kulia kila Kona. Hadi Leo wanamililia.
Sasa ni hivi Anaepanga nani awe Rais ni Mungu Kwa michakato iwayo yeyote Kwa sababu maalumu na hata kutoka inakuwa hivyo..

Kwa hiyo hakuna mtu ataoendwa na wote na atachukiwa na wote Kwa muktadha huo hata mnaomchukia muwe 1000 ila wanaomlenda wawe 2 so long as Mungu kasema okay itakuwa hivyo unune au ucheke mpaka alichokusudia Jiwe.

And this is naked truth Mzee,ingekuwa kupendwa ni kuwa Rais Lowasa na Raila wangeshakuwa marasi zamani sana.
 

Labda ya kulima mwanawane
 
Mtu kutoka taifa jingine aupate urais kwa sabb tu ya ubovu wa katiba pamoja na uzembe wa chama twawala, unateagemea mtu huyo atapendwa?
 
Raisi wa matajiri ,na asiejali chochote kuhusu wananchi wake ,it's too late watu walimwsmbia kitambu yeye akaendelea kuwakumbatia akina mwingulu nape na January
 
Achana na Sweeping statements zako hizo kutafuta kiki utafiti umeufanya lini na wapi
 
Hakuna chama mbadala kinachojielewa
 
Kweli kabisa. Hana mvuto hata akigombania na Lipumba hawezi shinda
 
Wakristo pekee asilimia chache ndo mna chuki zenu na rais
 
Wanangu na wajukuu wamepata ajira awamu hii, Askari wamepanda vyeo awamu hii, magufuli alibana yote hayo yule dikteta kkiichhaa,Samia Hadi 2040
 
Sasa katika free and fair election Samia anaweza mshida Lissu? kwa kipi,hoja? uelewa wa mambo?[emoji16]
 
Kwelii ndio

Hapwendwiii machawa wanatumia nguvuu nyingi sanaa na ccm wasiojitambuaa
 
Mimi mjinga Tena??mbona nimekuletea Uzi mzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…