Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Kuhusu amani ya moyo sina uhakika, Ila nakubaliana na wewe kwamba udangaji unaweza kukuingizia fedha na vitu vingine vya thamani.
 
Sawa lakini kumbuka kuna Moto wa Jehannamu unakusubiri ikiwa hutotubia
 
Inasikitisha lakini lazima tuzoee NDO dunia tulipo. Ila umetumia akili SANA ukaficha neno malaya kahaba muuza KU, ukatumia neno danga.



Kwishaaaaa
 
Haijalishi umetumikaje,hapo ndipo panapokutoa wewe kwenye kundi la waolewaji,ila ukifika miaka 45 na kuendelea ndio utajua kwanini ni muhimu kuolewa,na hizo pesa na mali wala hutaona thamani yake,maana hao wanaume wanaokufuata leo hutamuona hata mmoja...
 
Mkumbuke Muumba wako kwani siku za kifo zinakuja huko ni Ana kwa ana na Allah je utamjibu nini? Unafanya Kisha unahamasisha kabisa, muogope Muumba wako.
 
Kinyeo tayari kimepoteza marinda
 
Kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…