Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Unataka kupotoka wewe[emoji23][emoji23]
Ni wajibu wa mume kutunza mke wake.

Malaya unakula na kulipa keshi na hamtajuana hata mkipishana njiani.

Bahati mbaya sipendi K zinazojiuza kamwe nahisi kinyaa.

Hakuna K isiyojiuza bwashee, labda sema hupendi zenye kujipanga barabarani.
 

@dmkali​

Unajua fact huwa haidanganyi!
Ebu sema kweli brother wewe unapenda MAPENZI ya kuzungushwa kama kitenesi?
jamaa yangu kasome Kitabu cha Yoshua Bin Sira, kuhusu mawanamke asiyefunga mapaja yake kwa wanaume wengine mumewe kila saa anapiga kite akijua tayari mkewe anagawa
Katika viumbe vyote ni nguruwe tu ndio anaweza changiwa na madume wakati wengine waanapumzika
Jamaa yangu alikuwa saluni ya kiume miaka ya nyuma alifariki baada ya kuambiwa mkewe ni malaya hataacha alivyozoea, siku ikafika jamaa anasubiri ugali usiku mkewe anampikia mpaka unaungua jikoni haujaopolewa, akaopoa na kumtafuta, si akamkuta nje wanapiga mtungo wa MUDDY, stress akafa mke kabaki mpaka leo sasa anadanga vya usiku chapchap
nenda kijijini kwenye asili yenu utapewa mke lkn hwa wa uwanja wa fisi wanaouza kila siku uoe hutavumilia
 
Hakuna K isiyojiuza bwashee, labda sema hupendi zenye kujipanga barabarani.
Mangi acha UONGO hujaoa wewe, Mke wa ndani haijafikia huko labda km mm nguvu zimeisha, lkn vikao vya mashehe na mapadri vitakuwa wapi mpaka akajiuze
 
Mangi acha UONGO hujaoa wewe, Mke wa ndani haijafikia huko labda km mm nguvu zimeisha, lkn vikao vya mashehe na mapadri vitakuwa wapi mpaka akajiuze

Anza kwa kujifunza maana ya 'kujiuza' kwanza, nitakusubiri ukirudi tutaendelea kujadili.
 
Nimeandika comment nikafuta nikaandika tena nikafuta, na sasa naandika tena nifute
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uandishi hope [emoji485] ipo kichwani.
Anyway wahi kwa Bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…