Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

[emoji23][emoji23][emoji23] huu uandishi hope [emoji485] ipo kichwani.
Anyway wahi kwa Bibi.
Salamaleko Udugu wangu
Sijanywa Wine nna miezi 7 kama mimba ya mwajuna malaya mwenye makengeza,aivo hapa nilipo nipo mwanarumango nanuwia niolewe mwisho wa mwezi, haiwezekani na uzuri wangu nisuswe itakua nmiyavaa majini ya kigogo Ruhanga poooh! bombom kijiwe samri watanikoma Mwashabani naolewa na tajiri anadaladala za kwenda kihonda Pooh! Mnyanzi Mungu anisaidie
 
Waleko Salam [emoji23][emoji23][emoji23]
Toa codes uko wap vijana waje kukuchukua maana huenda usifike home salamaaa haupo sawa usibishe .
 

Ungesema MTUNDU kitandani ningekuunga mkono lakini MALAYA hapana, vinginevyo wale wanaojiuza pale corner bar wote wangekuwa wameshaolewa.
 
wale wa corner bar wakasome hata urusi/ukraine wapate kujua mbanga ilivyo legit 🤣 🤣
 
Waleko Salam [emoji23][emoji23][emoji23]
Toa codes uko wap vijana waje kukuchukua maana huenda usifike home salamaaa haupo sawa usibishe .
Pooh!!! wanibake niivae nuksi za majini ya hapa na pale. Sitaki mie kama wanaweza wapande daladala za mwanarumango watanikuta nimijaa kwenye pishi kwa bibi yangu kambaulaya waje na nia nzuri la sivyo kitawakuta kitu chekundu.. Poooh! Mnyazi Mungu anisaidie nifanikiwe
 
Basi inabidi wake zenu muwapeleke pale kona baa wkaungane na malaya ili mzidi kuwapenda
 
@Extrovert uko wap umsaidie bibie [emoji23].
 
Safar hii utafanikiwa.
 
Mkuu wewe umeandika kwa lugha gani?
 
Anza kwa kujifunza maana ya 'kujiuza' kwanza, nitakusubiri ukirudi tutaendelea kujadili.
Duh salaale SEX ina mambo mengi hii maana mpya ya kila mwanamke HUJIUZA ndio maana yake siijui labda
ulichozungumzia wewe naona ni hii ya KUDANGA ikiwa na maana ya kujiuza na kupata shilingi akarudi kwa mumewe na inawezekana akatega mahali na yupo katika Ndoa hao ndipo NAKATAA
Kuna ile SEX ya kazini kupata Vyeo mpaka vya kisiasa, kuna ya Vyuoni ili kufaulu, kuna ya Majeshi kupata shushi au post laini km Traffic nk hapo napo ni KUJIUZA?
basi ambao hamjao msioe tena, tuachieni tunaogongewa bila kujua
 
Nonsense!!
Iko hivi:
Mwanaume unayejitambua huwezi kuoa "malaya". Mke ni chombo cha "heshima", ukioa malaya hiyo heshima inakuwa haipo.
Malaya ni mwanamke ambaye ameshachezewa na kila aina ya Wanaume, tena Malaya wa siku hizi ni kama samaki, ukila upande wa juu ni lazima ugeuze na upande wa chini, sasa uoe mwanamke kama huyo ni kujitafutia mikosi na laana.
Ukioa malaya hata ukitembea naye barabarani watu wanakusanifu, wengine walishamwinamisha vichochoroni, wengine walishamgegeda makaburini, wengine kwenye magari yao, yaani ni laana tupu.
 
Hakuna mwanaume Duniani anapenda kuoa Malaya.. nadhani ilitakiwa kusema mwanamke anae jua mapenzi ila sio Malaya.. yani mwanaume ukimpenda mwanamke hutamani hata kidogo kusikia mwanamke wako ame cheat au umesahau msala wa Winy Mandela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


"Mwanaume anapenda mwanamke mtu lakini atulie.. amlage mwenyewe tu"

Hawa Malaya ni wa kuchapa na kusepa.. sio kuoa yani Sex is not everything kwenye Ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…