UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

Nilichoeleza ndio uhalisia.
Mambo ya unafiki Mimi huwaga sinaga.

Nimesema wazazi wengi. Sio wote. Elewa kilichoandikwa.

Ukweli upo katika familia nyingi. Hata kama wewe ukibisha. Huo ndio Ukweli.

Hapa wakisema watu watoe ushuhuda sio ajabu 80% ya watu wataungana na andiko hili.
Wengi kwa maana gani? Nusu, robo, robo tatu au asilimia ngapi?
 
Huyu jamaa hajui anachosema,tangu lini wazazi wote wakawa na Mali za kuwarithisha watoto zaidi hata ya wawili? Kuna wazazi ni maskini,na hawa mara nyingi ndio unakuta Wana hasira na watoto wao,

"Hata mzazi akutese vipi" hiyo kauli iandike tu,alafu iache humu ndugu. Mzazi anayemtesa mtoto wake huyo ni mhuni,na hafai kuwa mzazi,mzazi anatakiwa awe faraja kwa mwanae,nakwambia hakuna maumivu mabaya kama ya kuumizwa na mzazi,Bora uumizwe na mtu Mwingine aise,kumbuka mzazi wako ndio msiri wako,ndio Alfa na omega,yaani yy ndio alikuleta dunia hii,ndio anajua uzuri wako na mafhaifu yako,ikitokea anakutesa alafu eti uvumulie,Hilo umetudanya mchana kaka. Alafu,kama hukupitia machungu ya kulelewa ndivyo sivyo,hutaelewa.
Hadi nimeandika najua nnachokiandika.

Ikatokea hapa leo kila mtoto akamrudishia mzazi wake maumivu alompatia jamii hii hii ndo ya kwanza kunyoosha kidole.

Mfano mzazi wako anakuumiza hadi unashindwa kuelezea we utamfanya nini?? Utampiga? Utamuua? Naandika nnachokijua mkuu. Kuna mzazi anatesa hadi unatamani Biblia ingeweka na kipengele cha kukutetea wewe mtoto. Ila ndo hivyo.
 
Mtoto mwenye kipato akifariki utasikia mama analia MUNGU UMENIWEZAAAA KWA NINI UMEMCHUKUA JIMMY,MBONA UMENIKOMOA MIMI.....,sasa wengine inabidi mstop kulia muangaliane sasa huyu mama alitaka achukuliwe nani?
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na watoto wakigundua tabia za namna hii Kwa wazazi upendo wao Kwa mzazi unapungua. Pia wao wanapunguza kupendana na kushirikiana.
Wanaishi kinafiki nafiki. Kisa walizaliwa tumbo moja.
Hii ni kweli kabisa
 
Kaka umenijibu maswali yangu mengi sana natamani huu ujumbe umfikie baba yangu aliyenitenga nikiwa sina kitu na kuwajali watoto wengine waliokuwa wakimtumia fedha na zawadi mimi kapuku hata kuulizwa uhali gani ilikuwa mtihani ila Mungu mkubwa amenifanikisha nipo nchi ya ahadi alivyopata taarifa naishi nje ndio akaanza kunitafuta kwa juhudi kutaka yaishe ila najua kabisa upendo hana na mimi ila amenitafuta kwasababu anataka pesa zangu hili andiko lako limenigusa na kunibariki sana .. kiuhalisia wazazi wengi wa wenye roho za kimaskini wapo hivyo na wamefanikiwa kuvuruga watoto wao sana.. nilichojifunza kwenye maisha haya ni kwamba upendo ni utu sio vitu. Mungu akutunze kamanda karibu sana canada.
Upo sahihi kuna mama jiran huyo ni hatari anaemtumia pesa ndo.mtoto asiempa pesa kila siku anamuombea mabaya na kusema sio mwanae
 
Ninachompendea ROBERT HERIEL anaongea kitu na kama ni muhanga wa hiyo kitu basi unagundua anagusa mulemule.... Imagine mimi Baba yangu mzazi alishawahi kuniropokea kwamba "Kuanzia leo wewe sio mwanangu, nahesabia sina mtoto tu, maana huna msaada wowote kwangu sasa wewe wa nini kwangu" ilikuwa tunaongea kwenye cm kisa aliniomba hela nikamuambia hali haipo sawa ile kitu iliniuma kinoma ukizingatia nipo kwenye situation ngumu sana kimaisha maana hata nilipokuwa naishi palikuwa kwa mwana tu alinihifadhi so, akili ilikuwa inawaza nikusanye vijiehela ninavyopata kwenye vibarua na mimi nihamie gheto kwangu kumbuka mimi nipo Dar mzee yupo Moshi nilichomjibu ni kwamba "haina tatizo mzee me pia naanza kuhesabu sina baba na wala usiwe na wasiwasi sitokutafuta tena" kweli zikapita weeks hatujawasiliana siku moja akapiga anajichekesha... Me nikawa nishaelewa hapa hamna upendo wa kweli wala nini watu wanajali pesa tu so, acha tuishi kinafiki na mzee nikipata vielfu kumi namtumia till now tunaishi tu.

Baada ya hapo nikawa nikihisi pengine wamama ndo wana upendo kweli kuliko wababa maana wao ndo walituzaa.... Mwaka jana mama pia akani-disappoint mno kwa maneno yake.... Dah yeye ndo aliniongelea vibaya mpaka nikajikuta nimekata cm.... Kumbuka hata hawajanisomesha nikafika levels za juu no, Wala hawajui huku Dar najishughulisha na nini wao hujua kujifanya wana upendo na mimi pale wanapoona messages za Transactions ndo utaona mara "Oooh lini utakuja kutusalimia, Oooh ni muda sasa mimi baba, mama sinakuona sio vizuri"

Dah! oya wanangu Rafiki wa kweli kwa sisi wanaume ni Mungu na Hela tu wakuu... Usiamini upendo wowote mbali na hapo labda kama umezaliwa kwenye familia yenye misingi mizuri ya kipato.

Umasikini ni laana.
Kinachonishangaza, unakuta mzazi alishindwa maisha,akakuzaa kwenye umaskini,alafu anakulaumu eti huna pesa, wakati yy alishindwa kama unavyoshindwa! Wazazi wengi hawana Upendo kweli
 
Mwenye upendo wa kweli ni mama mzazi hawezi kukuacha hata nyakati za tabu. Waliobaki upendo wao utegemea wananufaika vipi kwako.
 
Huyu jamaa hajui anachosema,tangu lini wazazi wote wakawa na Mali za kuwarithisha watoto zaidi hata ya wawili? Kuna wazazi ni maskini,na hawa mara nyingi ndio unakuta Wana hasira na watoto wao,

"Hata mzazi akutese vipi" hiyo kauli iandike tu,alafu iache humu ndugu. Mzazi anayemtesa mtoto wake huyo ni mhuni,na hafai kuwa mzazi,mzazi anatakiwa awe faraja kwa mwanae,nakwambia hakuna maumivu mabaya kama ya kuumizwa na mzazi,Bora uumizwe na mtu Mwingine aise,kumbuka mzazi wako ndio msiri wako,ndio Alfa na omega,yaani yy ndio alikuleta dunia hii,ndio anajua uzuri wako na mafhaifu yako,ikitokea anakutesa alafu eti uvumulie,Hilo umetudanya mchana kaka. Alafu,kama hukupitia machungu ya kulelewa ndivyo sivyo,hutaelewa.
Anaeweza elewa mada kama hizi nj mtu aliyepitia haya, na hata hua ukifanikiwa ukisema unamsaidia huyo mzazi unafanya tu kwa ajili unatafta radhi za mola.wako lkn kama sivyo hushighuliki nae.kwa lolote. Uzi huu umenikumbusha maisha yangu, yan wengin hata uumwe ufe kwake anaona sawa tu lkn.mwanae mwingine akiugua anafanya kupata wazimu.
Niliwahi kuomba pesa ya matumizi nikiwa chuo baada ya bibi kushindwa kunisaidia pesa ya chakula alichonijibu mama yangu " kwa sasa sina pesa ya kukupa kwani nimeagiza gari nashughulika na mambo makubwa " imagine kwa wakti ule nilitamani anipe hata 5000 niweze kula kwenye mikoa ya watu lkn hayo ndo yalikua majibu yake.ki ukwel watu wakisema nani kama mama mimi najisemea hakuna kama bibi. mungu atusaidie
 
Mimi huwa nawashangaa watu wanaowatukuza na kuwaabudu mama zao eti hakuna kama mama(Mungu je?) Hawajui kwamba hiyo ni kutokana na ubinafsi wa wao ili watoto wasahau na kuwadharau Baba zao. Nachoamini Mimi wazazi wote ni Sawa,Ila,ukiingia kwenye kumi nane ya mwanamke (mama) utaniona hii dunia chungu, yaani watu hawajui tu.
 
Back
Top Bottom