Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
- #121
Unasema Zanzibar ipi hapa?namshangaa huyu mpenda misaada ya bure. Hivi Zanzibar kabla ya 1964 ilikuwa inaishi vipi? Au hivyo visiwa vingi tu vinavyojitegemea wenyewe vinajiendesha vipi?
Na akumbuke tu kuwa Zanzibar ilikuwa mbele zaidi kielimu na kimaendeleo kabla ya muungano.
Unasema Zanzibar ya kipindi cha ukoloni na mapinduzi ambayo ilikuwa na population ndogo huku ikiwa na bandari nono, karafu ya kutishia dunia na biashara za kimataifa?
Hiyo Zanzibar haipo tena, kwa sasa tuna Zenji ya utalii, upagani mwingi, utitiri wa vijana wa ovyo ovyo na umaskini kama wa Tanganyika. Zanzibar hii ya sasa, bila ukupe wa kutegemea Tanganyika hatuwezi kutoboa.