Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

namshangaa huyu mpenda misaada ya bure. Hivi Zanzibar kabla ya 1964 ilikuwa inaishi vipi? Au hivyo visiwa vingi tu vinavyojitegemea wenyewe vinajiendesha vipi?

Na akumbuke tu kuwa Zanzibar ilikuwa mbele zaidi kielimu na kimaendeleo kabla ya muungano.
Unasema Zanzibar ipi hapa?
Unasema Zanzibar ya kipindi cha ukoloni na mapinduzi ambayo ilikuwa na population ndogo huku ikiwa na bandari nono, karafu ya kutishia dunia na biashara za kimataifa?

Hiyo Zanzibar haipo tena, kwa sasa tuna Zenji ya utalii, upagani mwingi, utitiri wa vijana wa ovyo ovyo na umaskini kama wa Tanganyika. Zanzibar hii ya sasa, bila ukupe wa kutegemea Tanganyika hatuwezi kutoboa.
 
Tafakari upya.
Tukivunja muungano, Zanzibar tutapata wapi pesa za kuendesha serikali na kutoa huduma za kijamii kwa uendelevu ikiwa kwa sasa hivi tu hatuwezi kulipa hata umeme wa Tanesco?

Hivi hujui kwa sehemu kubwa uendeshaji wa SMZ kibajeti unategemea ruzuku kutoka serikali ya muungano, ambayo ni pesa inayokusanywa zaidi kutoka kwa mvuja jasho wa kitanganyika?
Hivi unajua bajeti ya ulinzi na usalama ya serikali ya muungano inayotumia ili kuilinda Zanzibar?

Hoja ya kusema, muungano ukivunjika basi Zanzibar tutapata pesa za misaada za kutosha kwa 100% ni hoja ya kimaskini, kijinga na kipumbavu zaidi iliyojaa vichwani mwa wazenji wengi. Ni fikra duni kupita maelezo. Yaani wazenji wakisikia Tanzania imepewa pesa za misaada wanadhania ni pesa za sandakalawe, hawajui hizo sio pesa za bure (nyingi ni mikopo) na wanaozitoa wana akili mara kumi yetu (ni mtego wa hatari), na wanaozitoa wamesoma ramani ya kuvutiwa na fursa bwerere zilizopo Tanganyika kuliko Zenji.

Mwisho fahamu tu, sio muungano ndio unaofanya vyakula viletwe kuuzwa Zanzibar bali fursa za kibiashara ambazo ziko wazi na huru kwa taifa lolote lile. Hata muungano usingekuwepo bado watanganyika wangepeleka kuuza vyakula Zenji. Issue ni uwezo wa SMZ kuweza kuwahudumia wazenji kijamii bila msaada wa serikali ya Muungano uko chini mnoo, haufiki hata 30%
Pesa zipo hata zile zilizotolewa kwa ajili ya athari za covid19 zilifika bara .

Nchi ngapi ndogo zinajiendesha? Hapa Tz wenyewe bajeti inatoka nje..Sio fikra duni maana hata TZ inategemea wahisani kwani TZ ina deni la shIling ngapi? 😛 😛

Unakataa hoja ya mikopo wakati nchi yako Tz inakopa daily hata kenya wana dEni kubwa , umesoma kweli au shule ndio tatizo. sukari inatoka nje watu wanagawana , je unajua biashara zinazofanyIKa bandari bubu ya Tongoni TANGA na zanzibar , huku tonnes za vyakula zinapita .

Fursa ipi ya kibiashara ? still vipingamizi vya kodi ni vile vile , toa mazao peleka zenji kama ni bure ...Wanaona soko ndio wanapeleka zenji kwa kufauta taratibu zote .

Tatizo lako ni uelewa !
 
Awe mzanzibar au awe mchaga anachosema kina mantiki.huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea utalii tena wa bahari na wa msimu.
Angalia visiwa vya Seychelles & Comoros vyevye uelekeo sawa wa kiuchumi na Zanzibar hali zao ni mbaya.
kwa hiyo umesoma shule kweli wewe? Muungano ukivunjika ndio hapatakuwa na biashara milele 😀 😀biashara zipo na muingiliano kama kawaida .

Zanzibar itaendelea kuwepo bahati mbaya zenji wana msimamo mnataka wafuate tamaduni zenu za Nyerere, tangu hapo zenji ni nchi.

Waseinguanga kwamba zenji wangekufa wote kama sio uongo.
 
Kwa hiyo na wewe ni Mzanzibari wa kuja au vipi ?
Wazenji wote sisi ni watu wakuja tu, uswahili na ushirazi unatusitiri tu, kisiwani kuna mwenye? Toka lini?
Ubaguzi ndio ngozi yetu mbaya, hatuwezi kujificha.
 
Unasema Zanzibar ipi hapa?
Unasema Zanzibar ya kipindi cha ukoloni na mapinduzi ambayo ilikuwa na population ndogo huku ikiwa na bandari nono, karafu ya kutishia dunia na biashara za kimataifa?

Hiyo Zanzibar haipo tena, kwa sasa tuna Zenji ya utalii, upagani mwingi, utitiri wa vijana wa ovyo ovyo na umaskini kama wa Tanganyika. Zanzibar hii ya sasa, bila ukupe wa kutegemea Tanganyika hatuwezi kutoboa.
Porojo kwanza rudi kwenu bara , zanzibar itakuwepo itafika mbali zaidi ya awali ... wana ndugu zao watapata msaada , tupo sisi kanda ya pwani tunaenda wale ni ndugu zetu .
 
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.

Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio zinatupa maisha wazanzibar.

Rasimali na mapato yetu ya ndani ya Zanzibar hayawezi kutosha kugharamia ulinzi, usalama, umeme na huduma zingine muhimu za kijamii kwa zaidi ya miezi mitatu, tutaangamia!
nadhani mtapata tu, waarabu watawapa misaada, mtajijenga. ila, lazima kutakuwa na nchi mbili pia na huko, nchi ya pemba na nchi ya unguja. pia, tutafurahi sana pale mtakapokuwa mnakuja kariakoo kwa visa. tusiwaone kabisa huku bara. na kisiwa chenu kitabadilika na kuwa cha kigaidi kama somalia. mark my words.
 
Miaka yangu mitano ya kuhudumu pemba na unguja

Matendo yenu yalinifanya niwachukie sana wazanzibar

Lazima mtaumia tu
Ukituelewa hautatuchukia, ndio tulivyo hivyo wazenji, ndio yetu hayo. Tuvumilie tu.
 
Mimi mpaka kesho najiuliza, nyinyi watanganyika mnafaidika nini na huu muungano?
Nani aliwaloga?
Hampati chochote na bado mnabebeshwa mzigo mzito wa kuihudumia Zanzibar lakini hamchoki tu.

Yaani Mzanzibar ataendelea kumdharau kila mtanganyika milele.
Technique yako nzuri sana wasiojielewa utawapata
 
Tunawashukuru sana watanganyika.
Nyinyi ni watu kweli kweli.
Mna utu na wema wa dhati kabisa kwa wazanzibar.
Mna kitu, mtafika mbali.
Lazima kuwashukuru watanganyika wenzako kwa kuitawala zanzibar kwa kivuli chake muungano maana huna hata kimoja hapo ulichoandika chenye ukweli ati umeme bure nani kakudanganya nenda zeco kaulize kwa mwezi wanawalipa shilingi tanesco 'na ndio maana wanafanya kila juhudi zenji isimiliki umeme wake iwe tegemezi kutoka bara na hivyo vyengine haviendi ni biashara tu
 
Porojo kwanza rudi kwenu bara , zanzibar itakuwepo itafika mbali zaidi ya awali ... wana ndugu zao watapata msaada , tupo sisi kanda ya pwani tunaenda wale ni ndugu zetu .
Wazenji wote kiasili kwetu ni bara. Kwani kisiwani kuna mwenyewe? Wazenji wote sisi unaotuona sasa, babu zetu walikuja na mashua pale Unguja na Pemba. Hakuna wakumcheka mwenzake, Tusibaguane.

Yaani tuvunje muungano halafu tutegemee tutatoboa kwa misaada ya kuokoteza Pwani? Thubutu yake.
Mtanganyika ni mtu mwenye utu haswa, jamani katustiri haswaa, miaka 60 kubebeshwa mzigo wa kuwahudumia wazenji, sio mchezo.
 
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.

Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio zinatupa maisha wazanzibar.

Rasimali na mapato yetu ya ndani ya Zanzibar hayawezi kutosha kugharamia ulinzi, usalama, umeme na huduma zingine muhimu za kijamii kwa zaidi ya miezi mitatu, tutaangamia!
Wanataka talaka asa wapewe haraka kila mmoja abaki kwao atuachie ardhi yetu, biashara zetu warudi wote kwao wakafaidi katiba yao!!!
 
Lazima kuwashukuru watanganyika wenzako kwa kuitawala zanzibar kwa kivuli chake muungano maana huna hata kimoja hapo ulichoandika chenye ukweli ati umeme bure nani kakudanganya nenda zeco kaulize kwa mwezi wanawalipa shilingi tanesco 'na ndio maana wanafanya kila juhudi zenji isimiliki umeme wake iwe tegemezi kutoka bara na hivyo vyengine haviendi ni biashara tu
Wewe unasema hayo, lakini SMZ wenyewe walisema na mpaka leo hii wanasema wanadaiwa na Tanesco mabilioni ya malimbikizo ya pesa za umeme, lakini hawana mpango wa kulipa, na huenda wasilipe milele, wanataka wasamehewe!

Kwa hiyo wewe unasema Zanzibar tunataka kuzalisha umeme wetu? Good, ni jambo zuri na muhimu. Lakini je, tutaweza? Nafuu iko wapi, tununue huu huu umeme kutoka Tanesco kwa bei mdebwedo au tuanze kuzalisha wa kwetu kwa gharama kubwa?
 
Wanataka talaka asa wapewe haraka kila mmoja abaki kwao atuachie ardhi yetu, biashara zetu warudi wote kwao wakafaidi katiba yao!!!
Haswaa, kila mtu abaki na kwake. Wazenji tumechoka kunyanyaswa na kebehi za watanganyika kisa wanatusaidia, tunataka tuwe huru, tena huru kweli kweli.
 
Wewe unasema hayo, lakini SMZ wenyewe walisema na mpaka leo hii wanasema wanadaiwa na Tanesco mabilioni ya malimbikizo ya pesa za umeme, lakini hawana mpango wa kulipa, na huenda wasilipe milele, wanataka wasamehewe!

Kwa hiyo wewe unasema Zanzibar tunataka kuzalisha umeme wetu? Good, ni jambo zuri na muhimu. Lakini je, tutaweza? Nafuu iko wapi, tununue huu huu umeme kutoka Tanesco kwa bei mdebwedo au tuanze kuzalisha wa kwetu kwa gharama kubwa?
Kama wanapewa bure kwa nini wadaiwe na kuhusu kuweza kabla muungano zanzibar iliishia vipi maana muungano una miaka 60 na zanzibar ipo karne na karne baadhi ya mambo kusema zenji hawana uwezo ni fikiria ulizojengewa wewe watu wafanye wanachokitaka
 
Wazenji wote sisi ni watu wakuja tu, uswahili na ushirazi unatusitiri tu, kisiwani kuna mwenye? Toka lini?
Ubaguzi ndio ngozi yetu mbaya, hatuwezi kujificha.
Kuja kutokuja ndiyo muendelee kututawala? Tunaendelea kuuza Loliondo mwisho hata makalio yenu tutayauza , subirini tu
 
Tuombe kwanza ufe halafu uone sisi Wazanzibari tumekufa njaa. Nikukumbushe tu:
1. Zanzibar ipo kabla ya muungano huu.
2. Zanzibar hii ndiyo iliytawala hadi mwambao wa Bara maili kumi kungia ndani
3. Zanzibar hii ndiyo iliyotawala hadi Ksmayuu Somalia na Mombasa Kenya.
4. Zanzibar hii, kwa sababu ya nafasi yake, ndiyo ilimfanya Julius Kambarage Nyerere kusema kwamba 'laiti ningekuwa na uwezo ningeichukua nikaitupilia mbali bahari ya Hindi'.
5. Zanzibar hii ndiyo iliyomfanya William Lukuvi kusimama madhabahuni na kusema kwamba ni lazima Zanzibar idhibitiwe kwani italeta Uislamu wenye siasa kali.
Ninaposema hujui huwa namaanisha. Zanzibar inanunua umeme kwa pesa zake. Nimesema Mahali pingine kwamba ni Zanzibar ipo kabla ya muungano. Ni lini ilishindwa kujiendesha hadi kufikia kutaka msaada wa wavuja jasho wa Tanganyika? Ila kinyume chake ndo ukweli ulivyo. Jitahidi kujifunza mambo.
Naona umeandika vitu vingi na kuchanganya mambo. Tuchambue.

Hoja yangu ni kuhusu wema wa watanganyika kutufadhili wazenji kiuchumi kupitia muungano. Ni ukweli halisi, muungano huu ni kichefu chefu kwa wazanzibar wengi (kwa sababu umenyang'anya uhuru wa Zanzibar, na kupandikiza hadi ugalatia zenji), lakini ni ukweli muungano huu pia umetuneemisha wazanzibar kiuchumi, tunaishi kirahisi kabisa kwa mgongo wa watanganyika.

Suala la kihistoria, ni kweli Zanzibar imekuwepo muda mrefu zaidi (lakini ikiwa ni vipande vipande vya visiwa, ni Sultani pekee aliyekuja Zanzibar na kuviunganisha kuwa nchi kiutawala huku akivimiliki kama mali yake binafsi, na hii sio sifa njema ya kujivunia wazanzibar, na ndio maana tulimpindua na mpaka leo tunaimba Mapinduzi daima).

Sasa hiyo historia ya kuwepo toka zamani inatusaidia nini leo sisi wazanzibar?
Hivi historia ya Ethiopia kuwepo kama nchi karne kadhaa (hata mkoloni hakupita pale) inawasaidia nini mamilioni ya waethiopia wanaoteseka kwa njaa kwa miaka zaidi ya 60 sasa?

Jiulize tu, sababu ya Zanzibar kuinuka karne hizo, je bado zipo kuweza kuendelea kuinua tena?
 
Wazenji wote kiasili kwetu ni bara. Kwani kisiwani kuna mwenyewe? Wazenji wote sisi unaotuona sasa, babu zetu walikuja na mashua pale Unguja na Pemba. Hakuna wakumcheka mwenzake, Tusibaguane.

Yaani tuvunje muungano halafu tutegemee tutatoboa kwa misaada ya kuokoteza Pwani? Thubutu yake.
Mtanganyika ni mtu mwenye utu haswa, jamani katustiri haswaa, miaka 60 kubebeshwa mzigo wa kuwahudumia wazenji, sio mchezo.
Wwe sio mzenji ila wazenji wanaweza kutoboa, mzamiaji waache wenyewe na nchi yao
 
Naona umeandika vitu vingi na kuchanganya mambo. Tuchambue.

Hoja yangu ni kuhusu wema wa watanganyika kutufadhili wazenji kiuchumi kupitia muungano. Ni ukweli halisi, muungano huu ni kichefu chefu kwa wazanzibar wengi (kwa sababu umenyang'anya uhuru wa Zanzibar, na kupandikiza hadi ugalatia zenji), lakini ni ukweli muungano huu pia umetuneemisha wazanzibar kiuchumi, tunaishi kirahisi kabisa kwa mgongo wa watanganyika.

Suala la kihistoria, ni kweli Zanzibar imekuwepo muda mrefu zaidi (lakini ikiwa ni vipande vipande vya visiwa, ni Sultani pekee aliyekuja Zanzibar na kuviunganisha kuwa nchi kiutawala huku akivimiliki kama mali yake binafsi, na hii sio sifa njema ya kujivunia wazanzibar, na ndio maana tulimpindua na mpaka leo tunaimba Mapinduzi daima).

Sasa hiyo historia ya kuwepo toka zamani inatusaidia nini leo sisi wazanzibar?
Hivi historia ya Ethiopia kuwepo kama nchi karne kadhaa (hata mkoloni hakupita pale) inawasaidia nini mamilioni ya waethiopia wanaoteseka kwa njaa kwa miaka zaidi ya 60 sasa?

Jiulize tu, sababu ya Zanzibar kuinuka karne hizo, je bado zipo kuweza kuendelea kuinua tena?
Hauna hoja mchaga kanywe mbege
 
Back
Top Bottom