Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,900
Reaction score
18,457
Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......

1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.

Ghafla John ndoa ikawa ngumu, imembidi John ahame Halmashauri kwenda kuanza maisha huko Halmashauri ya chaka ili tu awe mbali na mkewe.

Kakimbia madili mjini kisa NDOA..!!!

Ndoa imesepa na ikaondoka na pesa/madili.

Alichagua amani ya moyo na kuacha madili yoteee mjini.

2. Namjua Salum,
Walianza mahusiano na mkewe wakiwa hawana kitu.
Mke na mume wali "bond" sanaa maana ni wapambanaji.
Maisha yakawanyookea.
Salum alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri, mke mama wa nyumbani.
Kila shilingi kumi akiipata anapeleka kwenye mipango ya ndoa.

Ndoa ikawa ngumu na kuachana kukaingia.

Salumu aliondoka hana kitu, kisa anamuachia kila kitu mkewe ili aleee watoto wao wa4.

Yeye anaenda kuanza upya kwengine..!!

Wanaume tunanyanyasika sanaa kiuchumi kisa ndoa.

3. Namjua Peter,
Jamaa alimua kuoa na kujenga mjengo.
Yaani alijenga jengo la mil 150 hivi kwa kukadiria na ni ghorofa nzuri.
Baada ya miaka 7 kulimaliza lile ghorofa aliandaa ka-ibada fulani na kutukaribisha sisi marafiki tukazindue nyumba.

Kufupisha story, waliishi kwenye lile ghorofa kwa miaka 3 na hapa navyoongea na wewe mahakama wanalipiga mnada kwa Mil 200, kisa NDOA..!!

Na juzi kwa macho yangu nimeziona karatasi za mahakama zenye thamani ya mjengo..!!!

Mateso, shuruba na mahangaiko ya ujenzi ya miaka 7 yameyeyuka vuuuppp, kisa NDOAAA...!!!

4. Namjua Michael,
Mshkaji wangu muhaya.
Huyu alipo ajiriwa tu alianza yale majigambo ya kihaya.
a. Nioe mtoto mzuri
b. Ninunue gari, halafu ndio nijenge.

Kweli bwana akaoa, akanunua crown.

Navyozumza na wewe hapa, Crown ilishauzwa na kila mtu ana time lake sasa hivi...!!!
Hiyo ni NDOA...!!!

5. Someni kwanza hawa, halafu nitaendelea .........

CONCLUSION
Mateso yotee ya.....
1. Kubeba mabox ulaya
2. Kutukanwa na madiwa Halmashuri
3. Ku "danki" taasisi zotee zinazochunguza ufisadi unaoufanya
4. Ku "toili" kwenye jua na mvua, usiku na mchana.

Mateso yotee yale kisa mke/familia wale vizuri, walale pazuri, yaani wasiteseke YANAKUJA KUHARIBIWA NA NDOA .....!!!

Wewe uliye kwenye ndoa umejipangaje na haya..!!???

NDOA ni ujinga mkubwa sanaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hizi stori zako zote ni za upande mmoja na zinajadili ubaya wa wanawake,na stori hizi hazijaelezwa kinaga ubaga,kuna vitu vingi havijafafanuliwa.Msingi wa maelezo haya ni kuelezea ubaya wa wanawake kwenye ndoa.Tuzingatie haya:
1.Hakuna ndoa mbaya,bali wanandoa ndio wenye matatizo
2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.
 
Hizi storo zako zote ni za upande mmoja na zinajadili ubaya wa wanawake,na stori hizi hazijaelezwa kinaga ubaga,kuna vitu vingi havijafafanuliwa.Msingi wa maelezo gaya ni kuelezea ubaya wa wanawake kwenye ndoa.Tuzingatie haya:
1.Hakuna ndoa mbaya,bali wanandoa ndio wenye matatizo
2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.
Ila mwisho wa siku MWANAUME NDIO ANAACHA KILA KITU kisa NDOA..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuoa / kuolewa sio lazima. Ke/me ukiwa na msimamo hutaingia kwenye ndoa eti kisa una kazi nzuri, mshahara mnono, sijui umri umeenda! Mara ooh! Class mate wote wameolewa au wameolewa sijui ndugu mzazi anataka uoe au uolewe!!.

Si kila mwanamke au mwanaume ndoa inamfaa ni wengi tu hawafiti kuingia ndani ya hii taasisi takatifu.

Kijana wa kiume jua kutofautisha mwanamke wa;
Kupigia picha
Mwanamke wa kubinua na kufinganya unavyotaka
Mwanamke wa starehe
Mwanamke anaekufikisha kileleni na kupata Raha kamili
Mwanamke wa majaribio yaani kila ukiangalia porn practical unaenda kumfanyia
Mwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka.
Usijichanganye kijana la sivyo utalia nusu ya maisha yako uliyobakiza hapa duniani

Na vijana wa kike msijichanganye kuingia kwenye ndoa na limwanaume tu ili mradi.
Kuna mwanaume wa kuoa na
Mwanaume wa kumchuna na kwenda zake
Kuna mwanaume anajua kushughurika humo kitandani lakini kutunza mke hajui
Kuna mwanaume ana akili za darasani na kazini lakini akili ya kukaa na mwanamke Hana.
Kuna mwanaume wa kukusaidia kutikiza ndoto zako ila Hana sifa za kuwa mume wako.

Mfano ni mingi lakini ukweli ni kwamba hakuna haja ya malalamiko ikiwa kuoa au kuolewa sio lazima na ni suala binafsi..,...
Cheza karata zako vizuri kabla hujaanza kulalamika .
 
Uzi ufungwe.
 
Kwa kweli acha ninywe zangu bia tu😅
 
Usisahau kuna mabadiliko
Unaweza kucheza karata zako vizuri mwanzo ila mbeleni MEZA IKAPINDUKA
BINADAMU HUBADILIKA
 
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
 
Kuoa / kuolewa sio lazima. Ke/me ukiwa na msimamo hutaingia kwenye ndoa eti kisa una kazi nzuri, mshahara mnono, sijui umri umeenda! Mara ooh! Class mate wote wameolewa au wameolewa sijui ndugu mzazi anataka uoe au uolewe!!.

Si kila mwanamke au mwanaume ndoa inamfaa ni wengi tu hawafiti kuingia ndani ya hii taasisi takatifu.

Kijana wa kiume jua kutofautisha mwanamke wa;
Kupigia picha
Mwanamke wa kubinua na kufinganya unavyotaka
Mwanamke wa starehe
Mwanamke anaekufikisha kileleni na kupata Raha kamili
Mwanamke wa majaribio yaani kila ukiangalia porn practical unaenda kumfanyia
Mwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka.
Usijichanganye kijana la sivyo utalia nusu ya maisha yako uliyobakiza hapa duniani

Na vijana wa kike msijichanganye kuingia kwenye ndoa na limwanaume tu ili mradi.
Kuna mwanaume wa kuoa na
Mwanaume wa kumchuna na kwenda zake
Kuna mwanaume anajua kushughurika humo kitandani lakini kutunza mke hajui
Kuna mwanaume ana akili za darasani na kazini lakini akili ya kukaa na mwanamke Hana.
Kuna mwanaume wa kukusaidia kutikiza ndoto zako ila Hana sifa za kuwa mume wako.

Mfano ni mingi lakini ukweli ni kwamba hakuna haja ya malalamiko ikiwa kuoa au kuolewa sio lazima na ni suala binafsi..,...
Cheza karata zako vizuri kabla hujaanza kulalamika .
Namshukuru sana mleta mada hajataja jina langu katika hao na pia nisingependa kumbishia kwa lolote asijenitaja ila naomba kwa hii komenti yako uzi ufungwe na uweke namba uianze wikiendi mwanzoni mwa wiki

Uwa hauandiki ila ukiandika unazigusa nyoyo zetu ,ahsante sana ,nimefurahi mpaka natamani sijui nisioe au nioe tena yaani sielewi ila umetisha sana sisteri
 
Anha sawa ndugu mwalimu maana likizo yenu nasikia inaisha trh 23.
Dogo ndoa sio taasisi ya wajinga.

Sio mwalimu , nina .....

Hii ni likizo yangu mwaka, ni haki ya kila mtumishi kupata siku 28 za likizo kila mwaka.

Nachukua likizo mwezi 12 ili nikae na wanangu, maana wotee wanakuaga wamefunga shule kipindi hicho.

Tukirudi kwenye hoja ya ndoa, NDOA NI UFAL@.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom