Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Kwani hao wanaume wa kuwachezea mnawapata wapi wenzetu.Mimi ninavohangaika na maisha nifanye Kila kitu nwenyewe nitoe mtaji Kila mwaka mwanaume apate na wala asione nastahili kuona faida.kusoma hataki kujiendeleza hataki.akiwa kitu hataki hasemi.Nikapanga kumsomesha Marekani akagoma kwenda jamani
 
Hizi stori zako zote ni za upande mmoja na zinajadili ubaya wa wanawake,na stori hizi hazijaelezwa kinaga ubaga,kuna vitu vingi havijafafanuliwa.Msingi wa maelezo haya ni kuelezea ubaya wa wanawake kwenye ndoa.Tuzingatie haya:
1.Hakuna ndoa mbaya,bali wanandoa ndio wenye matatizo
2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.

Sioni mahali kasema ubaya wa wanawake Mbwa wewe anzisha Uzi wako na wanawake wenzako Malaya!

Wanawake ni changamoto ya hii Dunia, wachawi wakubwa, washirikina na wezi kwenye ndoa zao.

Kaa na mwanamke na kauli mbinu Moja tu, the exit is free anytime unaweza kwenda zako unakoona kunafaa.
 
Kwani hao wanaume wa kuwachezea mnawapata wapi wenzetu.Mimi ninavohangaika na maisha nifanye Kila kitu nwenyewe nitoe mtaji Kila mwaka mwanaume apate na wala asione nastahili kuona faida.kusoma hataki kujiendeleza hataki.akiwa kitu hataki hasemi.Nikapanga kumsomesha Marekani akagoma kwenda jamani
Hiyo nafasi ya USA naomba mimi??
🤔🤔🤔🤔

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom