kayaula
Senior Member
- Feb 13, 2025
- 183
- 242
Kivip mk
Kivip mk
Ni kweli kabisa....Umeongelea mtindo wa maisha ha zamani kidogo, kimsingi ndio mti do wa maisha uliofanyiwa rejea katika kutu ga sheria ya ndoa tuliyonayo sasa. Mwanamke anaolewa akiwa bado mdogo, ana-sacrifice career au potential yake ili awe mshirika kwenye maono ya mwanaume. Kwa mtindo huu ni fair kabisa akipata 50% ya mali zilizochumwa ndoa endapo ndoa ikavunjika. Case study ulioongelea ni sawa lakini ni katika mlengo wa mtindo wa maisha ya zamani
Lakini kwa sasa mtindo wa maisha umebadilika. Mwanaume na mwanamke wamepewa fursa sawa kwenye kila nyanja. Hata hizo ndoa za mabinti wa 18 years hazipo tena. Wanawake wengi wanafunga ndoa wakiwa 25+ umri ambao alitakiwa awe ameshaanza kujitegemea, mbaya zaidi wanakuaga hawana kitu wakati mwanaume tayari asaweka misingi ya kimaisha bila uwepo wa huyo mwanamke. Mwanamke kama huyo kwenda kwenye ndoa bila mchango wowote wa kiuchumi halafu mkiachana mgawane 50/50 sio sawa
Hapa ni sawa na kusema hakuna serikali mbaya, bali wananchi ndio wenye matatizo😁1.Hakuna ndoa mbaya,bali wanandoa ndio wenye matatizo
AisomeKuoa / kuolewa sio lazima. Ke/me ukiwa na msimamo hutaingia kwenye ndoa eti kisa una kazi nzuri, mshahara mnono, sijui umri umeenda! Mara ooh! Class mate wote wameolewa au wameolewa sijui ndugu mzazi anataka uoe au uolewe!!.
Si kila mwanamke au mwanaume ndoa inamfaa ni wengi tu hawafiti kuingia ndani ya hii taasisi takatifu.
Kijana wa kiume jua kutofautisha mwanamke wa;
Kupigia picha
Mwanamke wa kubinua na kufinganya unavyotaka
Mwanamke wa starehe
Mwanamke anaekufikisha kileleni na kupata Raha kamili
Mwanamke wa majaribio yaani kila ukiangalia porn practical unaenda kumfanyia
Mwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka.
Usijichanganye kijana la sivyo utalia nusu ya maisha yako uliyobakiza hapa duniani
Na vijana wa kike msijichanganye kuingia kwenye ndoa na limwanaume tu ili mradi.
Kuna mwanaume wa kuoa na
Mwanaume wa kumchuna na kwenda zake
Kuna mwanaume anajua kushughurika humo kitandani lakini kutunza mke hajui
Kuna mwanaume ana akili za darasani na kazini lakini akili ya kukaa na mwanamke Hana.
Kuna mwanaume wa kukusaidia kutikiza ndoto zako ila Hana sifa za kuwa mume wako.
Mfano ni mingi lakini ukweli ni kwamba hakuna haja ya malalamiko ikiwa kuoa au kuolewa sio lazima na ni suala binafsi..,...
Cheza karata zako vizuri kabla hujaanza kulalamika .
Ndoa ni utapeli mkubwa kwa mwanaume ambaye yuko well established.Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......
1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.
Ghafla John ndoa ikawa ngumu, imembidi John ahame Halmashauri kwenda kuanza maisha huko Halmashauri ya chaka ili tu awe mbali na mkewe.
Kakimbia madili mjini kisa NDOA..!!!
Ndoa imesepa na ikaondoka na pesa/madili.
Alichagua amani ya moyo na kuacha madili yoteee mjini.
2. Namjua Salum,
Walianza mahusiano na mkewe wakiwa hawana kitu.
Mke na mume wali "bond" sanaa maana ni wapambanaji.
Maisha yakawanyookea.
Salum alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri, mke mama wa nyumbani.
Kila shilingi kumi akiipata anapeleka kwenye mipango ya ndoa.
Ndoa ikawa ngumu na kuachana kukaingia.
Salumu aliondoka hana kitu, kisa anamuachia kila kitu mkewe ili aleee watoto wao wa4.
Yeye anaenda kuanza upya kwengine..!!
Wanaume tunanyanyasika sanaa kiuchumi kisa ndoa.
3. Namjua Peter,
Jamaa alimua kuoa na kujenga mjengo.
Yaani alijenga jengo la mil 150 hivi kwa kukadiria na ni ghorofa nzuri.
Baada ya miaka 7 kulimaliza lile ghorofa aliandaa ka-ibada fulani na kutukaribisha sisi marafiki tukazindue nyumba.
Kufupisha story, waliishi kwenye lile ghorofa kwa miaka 3 na hapa navyoongea na wewe mahakama wanalipiga mnada kwa Mil 200, kisa NDOA..!!
Na juzi kwa macho yangu nimeziona karatasi za mahakama zenye thamani ya mjengo..!!!
Mateso, shuruba na mahangaiko ya ujenzi ya miaka 7 yameyeyuka vuuuppp, kisa NDOAAA...!!!
4. Namjua Michael,
Mshkaji wangu muhaya.
Huyu alipo ajiriwa tu alianza yale majigambo ya kihaya.
a. Nioe mtoto mzuri
b. Ninunue gari, halafu ndio nijenge.
Kweli bwana akaoa, akanunua crown.
Navyozumza na wewe hapa, Crown ilishauzwa na kila mtu ana time lake sasa hivi...!!!
Hiyo ni NDOA...!!!
5. Someni kwanza hawa, halafu nitaendelea .........
CONCLUSION
Mateso yotee ya.....
1. Kubeba mabox ulaya
2. Kutukanwa na madiwa Halmashuri
3. Ku "danki" taasisi zotee zinazochunguza ufisadi unaoufanya
4. Ku "toili" kwenye jua na mvua, usiku na mchana.
Mateso yotee yale kisa mke/familia wale vizuri, walale pazuri, yaani wasiteseke YANAKUJA KUHARIBIWA NA NDOA .....!!!
Wewe uliye kwenye ndoa umejipangaje na haya..!!???
NDOA ni ujinga mkubwa sanaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kila mtu ale hamsini zake.suluhisho la haya yote ni nin sasa?
Vita ngumu...Mmmh. Kumbe hii vita kali.
Inasikitisha sana mkuu 😂
Hekaheka ilimanisha migogoro ugovi ,kwamba kaka ricardo katombi yule au yule hivyo mwanamke alivoona ndani migogoro haipo na anapataka kilakigu akavunja ndoa ,binafsi nasema wanAwake kama asemavyo aseno wenga kocha mstaafu hawana difinisheni kazi kwako kukubali matokeoKAKA HUYO RICARDO KAKA, MKEWE ALISEMA WALIISHI VIZURI SANA, ETI AMEAMUA KUVUNJA NDOA SABABU KAKA NI MPOLE NA HAMPI HEKAHEKA HIVO AMECHOKA KUISHI NAE, ANATAKA KUONDOKA
Hekaheka ilimanisha migogoro ugovi ,kwamba kaka ricardo katombi yule au yule hivyo mwanamke alivoona ndani migogoro haipo na anapataka kilakigu akavunja ndoa ,binafsi nasema wanAwake kama asemavyo aseno wenga kocha mstaafu hawana difinisheni kazi kwako kukubali matokeKAKA HUYO RICARDO KAKA, MKEWE ALISEMA WALIISHI VIZURI SANA, ETI AMEAMUA KUVUNJA NDOA SABABU KAKA NI MPOLE NA HAMPI HEKAHEKA HIVO AMECHOKA KUISHI NAE, ANATAKA KUONDOKA
TUSHA CHELEWA MKUU, KUWAELIMISHA NI NGUMU ILI HALI MTOTO ANAKUA AKILELEWA NA SINGLE MOTHER NIAMBIE HIYO HESHIMA YA NDOA ATAIONEA WAPI?Ni kweli kabisa....
Sehemu nilipo Mimi hizo ndoa Bado zipo......
Kiukweli hili la kuoana na kuachana baada ya muda Mimi pia silipendi na mbaya zaidi wanawake kutumia talaka kama fursa.
Tatizo ni maadili yameshuka sana katika jamii kiasi kwamba vijana wanaona kuoa na kuachana ni kawaida..
Tuwaelemishe wadogo zetu, watoto wetu pengine huko mbele tunaweza kupata kizazi bora katika hii taasisi!.
Hatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.TUSHA CHELEWA MKUU, KUWAELIMISHA NI NGUMU ILI HALI MTOTO ANAKUA AKILELEWA NA SINGLE MOTHER NIAMBIE HIYO HESHIMA YA NDOA ATAIONEA WAPI?
Hii waisome magen-zi Monetary doctor Al-mukheef Poor Brain bila kumsahau Half american.Kuoa / kuolewa sio lazima. Ke/me ukiwa na msimamo hutaingia kwenye ndoa eti kisa una kazi nzuri, mshahara mnono, sijui umri umeenda! Mara ooh! Class mate wote wameolewa au wameolewa sijui ndugu mzazi anataka uoe au uolewe!!.
Si kila mwanamke au mwanaume ndoa inamfaa ni wengi tu hawafiti kuingia ndani ya hii taasisi takatifu.
Kijana wa kiume jua kutofautisha mwanamke wa;
Kupigia picha
Mwanamke wa kubinua na kufinganya unavyotaka
Mwanamke wa starehe
Mwanamke anaekufikisha kileleni na kupata Raha kamili
Mwanamke wa majaribio yaani kila ukiangalia porn practical unaenda kumfanyia
Mwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka.
Usijichanganye kijana la sivyo utalia nusu ya maisha yako uliyobakiza hapa duniani
Na vijana wa kike msijichanganye kuingia kwenye ndoa na limwanaume tu ili mradi.
Kuna mwanaume wa kuoa na
Mwanaume wa kumchuna na kwenda zake
Kuna mwanaume anajua kushughurika humo kitandani lakini kutunza mke hajui
Kuna mwanaume ana akili za darasani na kazini lakini akili ya kukaa na mwanamke Hana.
Kuna mwanaume wa kukusaidia kutikiza ndoto zako ila Hana sifa za kuwa mume wako.
Mfano ni mingi lakini ukweli ni kwamba hakuna haja ya malalamiko ikiwa kuoa au kuolewa sio lazima na ni suala binafsi..,...
Cheza karata zako vizuri kabla hujaanza kulalamika .
NGUMU SANA NMEISHI KWENYE JAMII YA USWAZI NAIELEWA NILICHO KIONA SIBAHATISHI, UTAFITI USIO RASMI, MABINTI WENGI SIKU HIZO WANAZALISHWA WANAENDA KUISHI KWAO NA WATOTO WAO, HIO IDADO NAYO ZUNGINZIA HAPA NI KUBWA SANA ASIKWAM IE MTU KARIBU KILA NYUMBA KUNA SINGLE MOTHER, SI POA MKUUHatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.
Kulelewa na single mother si dhambi na ni uongo kwamba watoto wa single mama wanakosa heshima ya ndoa.
Tabia ya mtoto haitokani na mzazi Bali misingi ya malezi toka utotoni.
Hiyo nimeipata
Fanyia kazi na ufanikiwe.Hiyo nimeipata
Yani hiyo lazima niifanyie kaziFanyia kazi na ufanikiwe.