Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Mguu ndani mguu nje 😂
Kuanzia utotoni mtoto anatakuwe katika malezi zaidi ya aina mbili kwa ajiri ya badae yake 1. Maisha ya kiroho pamoja na nidhamu - hutengeneza good character ( hofu mbele za Mungu, na upendo Kwa watu wote ). 2. Uhusiano mwema, nidhamu na adabu katika jamii nzima ( Kwa wakubwa, watoto na rika lake ) 3. Nidhamu ya maisha Kwa Kila hatua Kwa Kadri anavyo kuwa ukijumuisha namba moja na mbili. Haya yote yanategemea jamii anayokulia iwe ndoa, single parent na hata kama anajilea. Ila ukiona leo namba moja na mbili jamii nyingi imevipiga chini, na Hilo ni tatizo la jamii nzima na sio single parent au walio ndoaniHatujachelewa mdogo mdogo tutawaelemisha.
Kulelewa na single mother si dhambi na ni uongo kwamba watoto wa single mama wanakosa heshima ya ndoa.
Tabia ya mtoto haitokani na mzazi Bali misingi ya malezi toka utotoni.
Yaani ukiufanyia kazi ndoa haitakusumbua kabisa.Yani hiyo lazima niifanyie kazi
MMOJA ALIJIFANYA MJINGA.Angalia waliodumu wameishije
Wewe jeYaani ukiufanyia kazi ndoa haitakusumbua kabisa.
Kataa ndoa, okoa maisha walishaingia humu?Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......
1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.
Ghafla John ndoa ikawa ngumu, imembidi John ahame Halmashauri kwenda kuanza maisha huko Halmashauri ya chaka ili tu awe mbali na mkewe.
Kakimbia madili mjini kisa NDOA..!!!
Ndoa imesepa na ikaondoka na pesa/madili.
Alichagua amani ya moyo na kuacha madili yoteee mjini.
2. Namjua Salum,
Walianza mahusiano na mkewe wakiwa hawana kitu.
Mke na mume wali "bond" sanaa maana ni wapambanaji.
Maisha yakawanyookea.
Salum alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri, mke mama wa nyumbani.
Kila shilingi kumi akiipata anapeleka kwenye mipango ya ndoa.
Ndoa ikawa ngumu na kuachana kukaingia.
Salumu aliondoka hana kitu, kisa anamuachia kila kitu mkewe ili aleee watoto wao wa4.
Yeye anaenda kuanza upya kwengine..!!
Wanaume tunanyanyasika sanaa kiuchumi kisa ndoa.
3. Namjua Peter,
Jamaa alimua kuoa na kujenga mjengo.
Yaani alijenga jengo la mil 150 hivi kwa kukadiria na ni ghorofa nzuri.
Baada ya miaka 7 kulimaliza lile ghorofa aliandaa ka-ibada fulani na kutukaribisha sisi marafiki tukazindue nyumba.
Kufupisha story, waliishi kwenye lile ghorofa kwa miaka 3 na hapa navyoongea na wewe mahakama wanalipiga mnada kwa Mil 200, kisa NDOA..!!
Na juzi kwa macho yangu nimeziona karatasi za mahakama zenye thamani ya mjengo..!!!
Mateso, shuruba na mahangaiko ya ujenzi ya miaka 7 yameyeyuka vuuuppp, kisa NDOAAA...!!!
4. Namjua Michael,
Mshkaji wangu muhaya.
Huyu alipo ajiriwa tu alianza yale majigambo ya kihaya.
a. Nioe mtoto mzuri
b. Ninunue gari, halafu ndio nijenge.
Kweli bwana akaoa, akanunua crown.
Navyozumza na wewe hapa, Crown ilishauzwa na kila mtu ana time lake sasa hivi...!!!
Hiyo ni NDOA...!!!
5. Someni kwanza hawa, halafu nitaendelea .........
CONCLUSION
Mateso yotee ya.....
1. Kubeba mabox ulaya
2. Kutukanwa na madiwa Halmashuri
3. Ku "danki" taasisi zotee zinazochunguza ufisadi unaoufanya
4. Ku "toili" kwenye jua na mvua, usiku na mchana.
Mateso yotee yale kisa mke/familia wale vizuri, walale pazuri, yaani wasiteseke YANAKUJA KUHARIBIWA NA NDOA .....!!!
Wewe uliye kwenye ndoa umejipangaje na haya..!!???
NDOA ni ujinga mkubwa sanaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kataa ndoa, okoa maisha walishaingiHebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......

Kuna mshikaj flani ni mwanajesh, wamebwagana na mke wake, Sasa hivi jamaa amemuachia mke wake gari, na asset nyingine Ila nyumba ndo wanaipiga mnada.Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......

Kataa ndoasuluhisho la haya yote ni nin sasa?
Na wao huona kawaidaNGUMU SANA NMEISHI KWENYE JAMII YA USWAZI NAIELEWA NILICHO KIONA SIBAHATISHI, UTAFITI USIO RASMI, MABINTI WENGI SIKU HIZO WANAZALISHWA WANAENDA KUISHI KWAO NA WATOTO WAO, HIO IDADO NAYO ZUNGINZIA HAPA NI KUBWA SANA ASIKWAM IE MTU KARIBU KILA NYUMBA KUNA SINGLE MOTHER, SI POA MKUU
AmenNdoa ni utapeli mkubwa kwa mwanaume ambaye yuko well established.
tazamo wako kukubalika kwa wote, kama wewe ume amua kukataa ndoa n juu Yako sisi wengine tuache tuendeleeHebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......
1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.
Ghafla John ndoa ikawa ngumu, imembidi John ahame Halmashauri kwenda kuanza maisha huko Halmashauri ya chaka ili tu awe mbali na mkewe.
Kakimbia madili mjini kisa NDOA..!!!
Ndoa imesepa na ikaondoka na pesa/madili.
Alichagua amani ya moyo na kuacha madili yoteee mjini.
2. Namjua Salum,
Walianza mahusiano na mkewe wakiwa hawana kitu.
Mke na mume wali "bond" sanaa maana ni wapambanaji.
Maisha yakawanyookea.
Salum alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri, mke mama wa nyumbani.
Kila shilingi kumi akiipata anapeleka kwenye mipango ya ndoa.
Ndoa ikawa ngumu na kuachana kukaingia.
Salumu aliondoka hana kitu, kisa anamuachia kila kitu mkewe ili aleee watoto wao wa4.
Yeye anaenda kuanza upya kwengine..!!
Wanaume tunanyanyasika sanaa kiuchumi kisa ndoa.
3. Namjua Peter,
Jamaa alimua kuoa na kujenga mjengo.
Yaani alijenga jengo la mil 150 hivi kwa kukadiria na ni ghorofa nzuri.
Baada ya miaka 7 kulimaliza lile ghorofa aliandaa ka-ibada fulani na kutukaribisha sisi marafiki tukazindue nyumba.
Kufupisha story, waliishi kwenye lile ghorofa kwa miaka 3 na hapa navyoongea na wewe mahakama wanalipiga mnada kwa Mil 200, kisa NDOA..!!
Na juzi kwa macho yangu nimeziona karatasi za mahakama zenye thamani ya mjengo..!!!
Mateso, shuruba na mahangaiko ya ujenzi ya miaka 7 yameyeyuka vuuuppp, kisa NDOAAA...!!!
4. Namjua Michael,
Mshkaji wangu muhaya.
Huyu alipo ajiriwa tu alianza yale majigambo ya kihaya.
a. Nioe mtoto mzuri
b. Ninunue gari, halafu ndio nijenge.
Kweli bwana akaoa, akanunua crown.
Navyozumza na wewe hapa, Crown ilishauzwa na kila mtu ana time lake sasa hivi...!!!
Hiyo ni NDOA...!!!
5. Someni kwanza hawa, halafu nitaendelea .........
CONCLUSION
Mateso yotee ya.....
1. Kubeba mabox ulaya
2. Kutukanwa na madiwa Halmashuri
3. Ku "danki" taasisi zotee zinazochunguza ufisadi unaoufanya
4. Ku "toili" kwenye jua na mvua, usiku na mchana.
Mateso yotee yale kisa mke/familia wale vizuri, walale pazuri, yaani wasiteseke YANAKUJA KUHARIBIWA NA NDOA .....!!!
Wewe uliye kwenye ndoa umejipangaje na haya..!!???
NDOA ni ujinga mkubwa sanaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Changamoto watanzania wengi hamjibu hoja zaidi ya kum-attack mtoa hoja tena "Personally"Usi lazimishe mitazamo wako kukubalika kwa wote, kama wewe ume amua kukataa ndoa n juu Yako sisi wengine tuache tuendelee
Wengine ndoa ndio zime tupa barkaa maisha yamekua mswano na sio msoto hivo jitafakari usiingie uku una one kana una gundu mzee
Kujiua commit suicidesuluhisho la haya yote ni nin sasa?
"Kataa ndoa wewe! Ndoa ni utapeli." Mwisho wa kunukuu.✍️suluhisho la haya yote ni nin sasa?
🤣Muda upi tena? Hapa nasubiri kufa tu😂
Mungu angetuumba tofauti na hivi tulivyo mnafikiri ndoa zingehutajika???Shida ni asili ndo inalazimisha watu waingie kwenye ndoa.Kuna ukamilifu wa asili ambao hata binadamu hatuhujui unatoka wapi, unaohitaji Ke/Me waishi pamoja. Hii sio kwa binadamu tu, ni kwa viumbe wote..tofauti wao wako progrmmed, sisi tuko na utashi..ndo maana hali inakua ngumu.Hakuna mtu anatamani kuishi peke yake, au kwenda kukutana na wanawake au wanaume hovyo hovyo nje huko kama mbwa wanavyofanya, hatukuumbwa hivyo.Na hakuna mtu anatamani kuishi peke yake, ni shida tu na ugumu wa mioyo na ukaidi wa wanadamu...but Mwanaume hakamili vizuri katika maisha ya hapa duniani bila mwanamke na vise versa is true.Kuoa / kuolewa sio lazima. Ke/me ukiwa na msimamo hutaingia kwenye ndoa eti kisa una kazi nzuri, mshahara mnono, sijui umri umeenda! Mara ooh! Class mate wote wameolewa au wameolewa sijui ndugu mzazi anataka uoe au uolewe!!.
Si kila mwanamke au mwanaume ndoa inamfaa ni wengi tu hawafiti kuingia ndani ya hii taasisi takatifu.
Kijana wa kiume jua kutofautisha mwanamke wa;
Kupigia picha
Mwanamke wa kubinua na kufinganya unavyotaka
Mwanamke wa starehe
Mwanamke anaekufikisha kileleni na kupata Raha kamili
Mwanamke wa majaribio yaani kila ukiangalia porn practical unaenda kumfanyia
Mwanamke wa kumtia madole na kumfirigisa mbele na nyuma unavyotaka.
Usijichanganye kijana la sivyo utalia nusu ya maisha yako uliyobakiza hapa duniani
Na vijana wa kike msijichanganye kuingia kwenye ndoa na limwanaume tu ili mradi.
Kuna mwanaume wa kuoa na
Mwanaume wa kumchuna na kwenda zake
Kuna mwanaume anajua kushughurika humo kitandani lakini kutunza mke hajui
Kuna mwanaume ana akili za darasani na kazini lakini akili ya kukaa na mwanamke Hana.
Kuna mwanaume wa kukusaidia kutikiza ndoto zako ila Hana sifa za kuwa mume wako.
Mfano ni mingi lakini ukweli ni kwamba hakuna haja ya malalamiko ikiwa kuoa au kuolewa sio lazima na ni suala binafsi..,...
Cheza karata zako vizuri kabla hujaanza kulalamika .
Ukiangali kwa umakini asilimia 80 inanufaisha wanawake.Ukiona ndoa inakuumizi na hauiwezi,waachie wanaoiweza! Ndoa si kwa kila mtu bhanandugu!
Unajua wewe jau sana 😹😹Hilo nililikataa! Kazi ya mwanaume baada ya kutunza sperms katika K ya mwanamke, ni kutunza kiumbe kikiwa duniani. Nitatunza changu na naamini kiumbe cha dada yangu au binti yangu; anatunza aliyewekesha hizo Mbegu! Na huo ndiyo msimamo wangu miaka hii yote. Infact ukibeba mimba tu, kwangu ni kituo cha Polisi.
Mabinti zangu akivunja ungo, naanza kumhubiria kuwa ukipanua mapaja, hakikisha unayempanulia atatunza wewe na Tumbo lako; pia na kiumbe kitakachozaliwa. Natunzwa mtoto ambaye surname yake ni yetu. Kijana akitundika mimba, nalea. Ila ukitundikwa mimba, baba au babu wa aliyetundika alee huko.
Imesaidia sana
Sijibu, soon utaelewa kuwa siobgopiUnajua wewe jau sana 😹😹
Binti yako kavunja ungo lini mpaka mkakaa mkadiscuss kuhusu mimba?
JF haiishiwi vituko alooh!