leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Haya bwana, endelea kunywa bia mbinguni hakuna biaMuda upi tena? Hapa nasubiri kufa tu😂
Haya bwana, endelea kunywa bia mbinguni hakuna biaMuda upi tena? Hapa nasubiri kufa tu😂
Ndio sio kwa ajili ya Mafala kama wewe. Ndoa inahitajiSio mawalimu , nina .....
1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Finance and Investment
4. Mwaka huu naingia darasani kuchukua PhD
PhD in Finance (Financial Market)
Tukirudi kwenye hoja ya ndoa, NDOA NI UFAL@.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Leo hatugongi vitu ?Haya bwana, endelea kunywa bia mbinguni hakuna bia
Hebu, justify your mean?....... huna hata moja .....
Eleza wewe ubaya wa upande mwingineHizi stori zako zote ni za upande mmoja na zinajadili ubaya wa wanawake,na stori hizi hazijaelezwa kinaga ubaga,kuna vitu vingi havijafafanuliwa.Msingi wa maelezo haya ni kuelezea ubaya wa wanawake kwenye ndoa.Tuzingatie haya:
1.Hakuna ndoa mbaya,bali wanandoa ndio wenye matatizo
2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.
SawaBinadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
Ndoa ni fraudHebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ......
1. Namjua John,
Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende.
John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara.
Ghafla John ndoa ikawa ngumu, imembidi John ahame Halmashauri kwenda kuanza maisha huko Halmashauri ya chaka ili tu awe mbali na mkewe.
Kakimbia madili mjini kisa NDOA..!!!
Ndoa imesepa na ikaondoka na pesa/madili.
Alichagua amani ya moyo na kuacha madili yoteee mjini.
2. Namjua Salum,
Walianza mahusiano na mkewe wakiwa hawana kitu.
Mke na mume wali "bond" sanaa maana ni wapambanaji.
Maisha yakawanyookea.
Salum alikuwa ni mtumishi wa Halmashauri, mke mama wa nyumbani.
Kila shilingi kumi akiipata anapeleka kwenye mipango ya ndoa.
Ndoa ikawa ngumu na kuachana kukaingia.
Salumu aliondoka hana kitu, kisa anamuachia kila kitu mkewe ili aleee watoto wao wa4.
Yeye anaenda kuanza upya kwengine..!!
Wanaume tunanyanyasika sanaa kiuchumi kisa ndoa.
3. Namjua Peter,
Jamaa alimua kuoa na kujenga mjengo.
Yaani alijenga jengo la mil 150 hivi kwa kukadiria na ni ghorofa nzuri.
Baada ya miaka 7 kulimaliza lile ghorofa aliandaa ka-ibada fulani na kutukaribisha sisi marafiki tukazindue nyumba.
Kufupisha story, waliishi kwenye lile ghorofa kwa miaka 3 na hapa navyoongea na wewe mahakama wanalipiga mnada kwa Mil 200, kisa NDOA..!!
Na juzi kwa macho yangu nimeziona karatasi za mahakama zenye thamani ya mjengo..!!!
Mateso, shuruba na mahangaiko ya ujenzi ya miaka 7 yameyeyuka vuuuppp, kisa NDOAAA...!!!
4. Namjua Michael,
Mshkaji wangu muhaya.
Huyu alipo ajiriwa tu alianza yale majigambo ya kihaya.
a. Nioe mtoto mzuri
b. Ninunue gari, halafu ndio nijenge.
Kweli bwana akaoa, akanunua crown.
Navyozumza na wewe hapa, Crown ilishauzwa na kila mtu ana time lake sasa hivi...!!!
Hiyo ni NDOA...!!!
5. Someni kwanza hawa, halafu nitaendelea .........
CONCLUSION
Mateso yotee ya.....
1. Kubeba mabox ulaya
2. Kutukanwa na madiwa Halmashuri
3. Ku "danki" taasisi zotee zinazochunguza ufisadi unaoufanya
4. Ku "toili" kwenye jua na mvua, usiku na mchana.
Mateso yotee yale kisa mke/familia wale vizuri, walale pazuri, yaani wasiteseke YANAKUJA KUHARIBIWA NA NDOA .....!!!
Wewe uliye kwenye ndoa umejipangaje na haya..!!???
NDOA ni ujinga mkubwa sanaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Maisha ya kawaida tu bila ndoa yanahitaji vyote hivyo, kwa hiyo bado haujasemaNdio sio kwa ajili ya Mafala kama wewe. Ndoa inahitaji
1. Mahitaji yako na ya mkeo
2. Kudinda
3. Akili
4. Hekima
5. Subra
SAsa wewe hapo huna hata moja kwanini usione ndoa ni ufala
Karibu, hilo neno sisteri umenikumbusha kitambo...Namshukuru sana mleta mada hajataja jina langu katika hao na pia nisingependa kumbishia kwa lolote asijenitaja ila naomba kwa hii komenti yako uzi ufungwe na uweke namba uianze wikiendi mwanzoni mwa wiki
Uwa hauandiki ila ukiandika unazigusa nyoyo zetu ,ahsante sana ,nimefurahi mpaka natamani sijui nisioe au nioe tena yaani sielewi ila umetisha sana sisteri
Nanyonya taratiibu hapa tunamalizia likizoLeo hatugongi vitu ?
Yeye ndo alianzisha ndoa na akiacha kila kitu ni sawa pia. Uzuri haya mambo hata hulazimishwi- ni kiherehere cha mtu mwenyeweIla mwisho wa siku MWANAUME NDIO ANAACHA KILA KITU kisa NDOA..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
Kuna pisi nimeielewaKaribu, hilo neno sisteri umenikumbusha kitambo...
Nioe/nisioe
Hilo neno tu linaonyeshe kwamba hata kitu unachotaka kufanya hukijui.
Ina maana hauko tayari endelea kusubiri sijawahi kusikia dhambi ya kutokuoa!!!!..
Ikiwa Padre kakatazwa kuoa wewe kihere here cha Nini😜(utani usichukie)
Faida kwa mwanaume, Kwa wanawake na watoto polygamy ni hasara kubwa sana mentally & psychologically.Rais Mwinyi aliwahi kusema wake wawili ni tiba ya magonjwa sugu na ndo sababu yeye kuishi miaka 80+
Nyagi nini kama kawaida yakoNanyonya taratiibu hapa tunamalizia likizo
Huo msamiati sijauelewaKuna pisi nimeielewa
Inaniita kaka kaka
Sio kweli kabisa. Ndoa ina loopholes nyingi sana ambazo mwanamke akizitumia kama mkakati wa kibiashara anatoboa kimaisha.2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.