Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Kwani hao wanaume wa kuwachezea mnawapata wapi wenzetu.Mimi ninavohangaika na maisha nifanye Kila kitu nwenyewe nitoe mtaji Kila mwaka mwanaume apate na wala asione nastahili kuona faida.kusoma hataki kujiendeleza hataki.akiwa kitu hataki hasemi.Nikapanga kumsomesha Marekani akagoma kwenda jamani
 

Sioni mahali kasema ubaya wa wanawake Mbwa wewe anzisha Uzi wako na wanawake wenzako Malaya!

Wanawake ni changamoto ya hii Dunia, wachawi wakubwa, washirikina na wezi kwenye ndoa zao.

Kaa na mwanamke na kauli mbinu Moja tu, the exit is free anytime unaweza kwenda zako unakoona kunafaa.
 
Hiyo nafasi ya USA naomba mimi??
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…