Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Halafu wakiwa bungeni linauzwa swali lahoja imepita sasa apinge Nani?
 
Sijawahi kumuona mwanaCCM mwenye akili timamu
hahaahaa mnyalukolo umenichekesha Sana nimekumbuka enzi hizo nikiwa dogo tu Njombe mbunge wa enzi hizo mzee Makweta alikua anawashika akili Sana wazee wa huku kila mwaka wanampitisha agombee hakuna anayepinga yaani watu wapo Kama mazuzu tu kila kitu ndio ndio nikaamini ama kweli mtaji wa CCM ni wajinga!
 
Hakuna kitu kilinikera mwaka jana kama kuzima internet.. wiki mbili zote nikawa nafanya kazi kwa vpn kwa ajiri ya ushamba wa mtu mmoja.
Na kuna watu kazi zilisimama kabisa maana hata vpn wengine hawakujua wazitumieje.
jamaa alifanya kitu Cha kishamba Sana Aisee daaa Kama nchi tulipotea njia kumwingiza mtu pori jiwe Ikulu
Jk alituponza Sana kizuri hata yeye najua baadae alijilaumu Sana maana jamaa alivyopata madaraka na amelevywa akaona Sasa amekua untouchable akaanza kusema Kuna wastaafu Wana washwa washwa hapo ndio nikajua ama kweli mtu pori Hana shukrani!
 
Leo hii hatueleweki tushike lipi tuache lipi...hovyokabisa
 
mkuu hata kama unawashwa matako usitangaze hadharani,jadili hoja kama msomi.

magufuli alikubaka sawa,amekufa sasa pumzika,asijekutokea ndotoni akaendelea[emoji38][emoji38]
Kwa nini unitukane bila sababu? Siwezi kukurudisjia tusi kwa kuwa nitakuwa mpumbavu kama wewe.

Lete hoja, ni nani na wapi Magufuli anlikuwa anakubalika? Laiti angekuwa anakubalika asingetumia NEC, Polisi na TISS kuiba uchaguzi wote wa mwaka 2020.

Bottom line ni kwamba alikuwa HAKUBALIKI, mshamba na DIKTETA ndiyo maana aliiba na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019
 
Kama ni kweli wewe ni CCM na kweli haswa, basi CCM waliiba kura! Lakini, kama wewe unaongopa na wewe siyo CCM kweli, basi CCM hawakuiba kura.
 
Hakuna kitu kilinikera mwaka jana kama kuzima internet.. wiki mbili zote nikawa nafanya kazi kwa vpn kwa ajiri ya ushamba wa mtu mmoja.
Na kuna watu kazi zilisimama kabisa maana hata vpn wengine hawakujua wazitumieje.
Pole, lakini sioni kwa nini kikukere. Mwisho wa mwezi internet huzimika watu wakizidisha matumizi. Hata simu za TTCL zinakuwaga busy kwa sababu ya heavy traffic, ni jambo la kawaida. Kama una hela kidogo na akili ungetumia kitu wanaita VPN kama alivyotushauri tundulissu. CNN na BBC na Google ziliendelea kama kawaida. Ila nasikia kuna timu ya UKAWA ilikamatwa Mazsons Hotel mjimkongwe wakiwa tayari kurusha congrats za ushindi wa maalim Visiwani na Amsterdam, nadhani walishikiliwa hadi Uchaguzi ukapita wakaachiwa.
 
sasa mlikubalije kuibiwa na mshamba!!!
uchaguzi aliiba na mtaibiwa tena 2025,kama mnakubalika jinsi mnavyojidanganya wananchi wataingia barabarani kuwatetea.

vinginevyo endeleeni kulia lia mpaka Yesu arudi.
 
Ninachofurahi Magufuli CHADEMA bado anaishi mioyoni mwenu mtu ameshafariki miezi Mitatu na ushee na akina hawa vibaraka bado wanamjadili kila uchao,Nimeamini Hayati Magufuli daima ataishi kwenye mioyo ya Watanzania hasa Wazalendo wa kweli
 
Ninachofurahi Magufuli CHADEMA bado anaishi mioyoni mwenu mtu ameshafariki miezi Mitatu na ushee na akina hawa vibaraka bado wanamjadili kila uchao,Nimeamini Hayati Magufuli daima ataishi kwenye mioyo ya Watanzania hasa Wazalendo wa kweli
Tunazidi kumlaani huko akijo achomeke kisawasawa na washirika wake nao walaanike wao na vizazi vyao. Hakumbukqi mtu hapa. Bali tunamlaani na ameshalaaniwa.
 
sasa mlikubalije kuibiwa na mshamba!!!
uchaguzi aliiba na mtaibiwa tena 2025,kama mnakubalika jinsi mnavyojidanganya wananchi wataingia barabarani kuwatetea.

vinginevyo endeleeni kulia lia mpaka Yesu arudi.
Aliyeiba ili akae milele ametangulia sasa akakae sawa sawa huko kuzimu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Vijana walidanganywa na wengine kutishwa wakabebeshwa kura 10, 20 hadi 30 wanatupia kwenye sanduku

Magufuli alimwogopa sana Lissu
Hatukuruhusiwa kuingia kwenye vyumba vya kupigia kula mpaka saa5 huku uchaguzi ukiendelea
 
Yaani Daniel Wa Karatu Hajui Hata Kujieleza Leo Hii Eti Kashinda Ubunge. Jambo Hili Limewatia Aibu Ccm Mpaka Wanatembea
Wanaona Aibu

Eti Tumeshinda Kwa Kishindo Kazi Wizi
NEC,Msajiri Ndiyo Mbeleko Ya Ccm
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mbunguni my foot Magu aende mbinguni ipi?? labda ya Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ