cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ukijibiwa nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Wakuu kwani huyo handsome ndo yupoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijibiwa nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Wakuu kwani huyo handsome ndo yupoje?
njoo pm nikutumie pichaHivi Wakuu kwani huyo handsome ndo yupoje?
Walio wengi mwaume handsome ni yule mwenye pesaHello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa 🏧 na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
😅😅Ukijibiwa nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Pm kwa nini tena we itupie hapa ili iwe faida kwa wengi.njoo pm nikutumie picha
Wee unaonajee mtanii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Handsome which? handsome where?Wee unaonajee mtanii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mahendsome ni watamu kwenye mizagamuo ila hawana maana kabisa.Utoto raha sana...
Sawa handsome man tumekusikia!
Hehehehee. Huyo hana uhandsome wowote.Imagine mwanaume anajisifia handsome
Huyu nae atajiita mwanaume mbele ya wanaume?Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa 🏧 na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
😂😂😂😂😂 inauma sana ila haina BUDI 😂😂Sisi tusio mahendisamu tupo chocho tunaparangana maana mionekano yetu ni lazma tupambane sana kuishi.