Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Katika vitu sipendi mwanaume kujisifia uzuri ,vijana wangu Huwa nawaasa kuwa uzuri wa mwanaume ni uwezo wake wakutafuta maakoto. Mwanaume anayejihisi mzuri anataka kuolewa au kulelewa
 
Aweze kusimamia majukumu yake kama mwanaume.
Apo ata ambao hawna hizo sifa ni wabovu tu na wenye hizo sifa wapo wabovu na wazuri kwenye kusimamia majukumu ,inategemea na malezi wakati mwingne .
 
Achana nae huyo kijeba, wivu tu unamsumbua!!

Yaani hata mtu kuitwa wizo inaleta nongwa na wivu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa

Haya basi yeye ndio awe wizooo shubaamiitii [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wenye nguvu za kiume tumeback watatu akiwemo Putin siku hizi kuna ongezeko la wanaume wakijisifu wazuri hili swala sio salama kitaifa na kimataifa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom