Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa 🏧 na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
Hahhaa handsome man! Labda kama unatoka na msichana ila mwanamke anaejitambua awezi date na "handsome man" bali atatoka na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli sbb huo uhandsome do not bring food on the table or bed.
 
Utafiti wako umekudanganya. Mimi ntakwambia uhalisia.

Kuna wanaume wawili tu ambao mwanamke hawezi kukubali kuwapoteza kirahisi.
1. Yule anayemridhisha kitandani (Mzingatie huyu)
2. Yule anayetatua shida zake za kifedha ( Anayempa hela)

Tofauti na hapo ni uongo. We kuwa handsome uwezavyo, ila kama huna moja kati ya niliyotaja hapo juu, itafikia tu kipindi kisura chako hicho atakikinai. Atakuona upoupo na wala hatotamani umsogelee kabisa.
 
Hello morning [emoji274]!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa [emoji763] na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
Niwe handsome nisiwe handsome as long as napewa mzigo I don't care
 
Back
Top Bottom