Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wajuvi wakija kujibu hoja usinisahau kuniita lo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajuvi wakija kujibu hoja usinisahau kuniita lo!
Hayanaga muongozo...Wajuvi wakija kujibu hoja usinisahau kuniita lo!
Usijali rafiki. 😀
Wizooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Handsome which? handsome where?
Handsome inanunua mahindi?
Handsome inanunua makochi?
Handsome inalipa ada?
Chukua handsome yako siitaki mie!
We kuweza?
Wizooo leo umefurahii mumeo kakujibuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma sana ila haina BUDI [emoji23][emoji23]
Tena nyie ndio husband material [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hahhaa handsome man! Labda kama unatoka na msichana ila mwanamke anaejitambua awezi date na "handsome man" bali atatoka na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli sbb huo uhandsome do not bring food on the table or bed.Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa 🏧 na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
acha tu wizo 😂😂 nahisi nimebarikiwa 😂😂🥰🥰🥰🥰😹😹Wizooo leo umefurahii mumeo kakujibuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwe handsome nisiwe handsome as long as napewa mzigo I don't careHello morning [emoji274]!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango gani.
Mwanamke akikwazwa na mpenzi wake ambaye ni handsome anaweza kufuta namba yake na baada ya wiki tu akahangahika kuitafuta kama amepoteza roho yake.
Najua ma ugly mtanimaind ila huo ndio ukweli. Fanyeni maombi muzae watoto ma handsome.
Ma ugly wamegeuzwa [emoji763] na wake zao. Sisi ma handsome tunahonga kama sehemu tu ya majukumu au kuwasaidia wenzetu .
Wizo hiyo id yako inanitishia amaniacha tu wizo 😂😂 nahisi nimebarikiwa 😂😂🥰🥰🥰🥰😹😹
kwanini jamanWizo hiyo id yako inanitishia amani
,😂😂😂😂😂😂😂
Hebu jaribu kuandika kama mwanaume,unalegea sana bwana emoji gani hizoWewe unamchagua yupi kati ya handsome na Mnyakyusa mwenye shekeli[emoji39][emoji39]?