Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Eeh tuambie unaona dalili gani?Endelea kutoa hoja kwa maana Mimi pia Kila nikisoma biblia naona Kila dalili ya kwamba watu wengi ambao wamezungumziwa mle ni watu weusi na wale wenye rangi nyekundu ambao walizaliwa hivyo walitajwa kabisa ya kwamba walikua wekundu...
WellWatu kama hao are so deceived that lies to them has become truth,ni wakuwa-scorned off tu.
HeheheWewe utafiti unaoujua ni upi.Ni ajabu kuwa mtu unaweza kuji-ridicule mwenyewe.
Wacha nikuwekee vifungu ukavirejee, kwa maana maelezo yatakua marefu sanaEeh tuambie unaona dalili gani?
Wana wa Israel ni kweli ni watoto wa Yakobo ambaye ndiye Israel, bado haujahusianisha na mtu mweusi sasa, kwa namna gani walikuwa weusi?Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 ni utapeli wa famia ya Rothschild kuudanganya uma wa wanadamu, ili kuzidi kupotosha dhana nzima ya uwepo Waebrania ambao ndio wenyeji halali wa taifa la Israel.Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi na hata Yesu mwenyewe alikuwa mweusi.
Kiliichokuwa kinatokea ni Mungu kuliadhibu taifa Hilo kwa kuwapeleka Waisraeli utumwani na kuteswa na mataifa mengine walipomuasi Mungu.
Historia pia inatuambia kuwa wakazi wa kwanza wa Israel waliitwa Waebrania,ambao walihusisha makabila yaliyoundwa na watoto kumi na mbili wa Yakobo kama ifuatavyo:Yuda, Reubeni,Gadi,Asheri, Naftali,Manase, Simeoni, Lawi Isakari,Zabuloni,Yusufu na wa mwisho, Benyamini.Hata hivyo jambo la kushangaza ni kuwa ushahidi wa uwepo wa makabila haya leo haupo,ni kama wamepotelea hewani tu.Makabila hayo eti yanaitwa "makabila kumi na mbili ya Israel yaliyopotea."Lakini "a people," watu, hawawezi kupotea tu,lazima kuwepo na mpango mahususi wa kufuta historia yao.
Jambo la kujiuliza ni nani alifanya mpango huo na kwa maslahi gani.Ikumbukwe kwamba kufanya kitu kama hicho kunahitaji juhudi ngingi ,kubwa na za makusudi kabisa.
Israel ni taifa ambalo liliumbwa na Mungu,kwa makusudi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu kupitia kwa Yesu Kristo.Sasa siku zote Shetani anapinga mipango yote ya Mungu,ambayo kwa ujumla wake inamlenga Mwanadamu.
Waebrania wakiwa msingi ambao Mungu tayari alishauweka kwa ajili ya mkakati huo,Shetani alikuwa na chuki sana nao,kwa hiyo aliwatesa kwa njia nyingi(angalia Ufunuo 2:9),akiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye Mungu atashindwa kutekeleza mpango wake,he failed miserably,na leo mwanadamu amekombolewa, akimuamini Kristo ambaye ni Mwebrania,anaurithi Ufalme wa Mungu.
Katika Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,tunaona wale ambao walishiriki mpango huo muovu kabisa wa kupoteza makabila kumi na mbili ya Waebrania.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Ufunuo 2:9-10 na Ufunuo 3:9.
Ufunuo wa Yohana 2:9-10
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Ukiangalia kwa umakini maandiko hayo ,unaona kwamba wapo Wairael wasio wa kweli ambao Bwana Yesu anawaita Sinagogi la Shetani.Hawa walishirikiana na Ibilisi kuwaletea Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli,mateso ambayo tunayaona katika Ufunuo 2:9-10
Lakini, je Shetani atashinda?Hapana,atashindwa kama ambavyo nimeshatangulia kusema.Soma Ufunuo 3:9 chini.Sinagogi la Shetani litakuja kusujudu mbele ya Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli .
Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
Na mwisho wa Shetani ambaye alifanya uovu na hila zote hizi ni nini,ni kutupwa kwenye ziwa la moto liwakalo moto wa kiberiti.
Ufunuo wa Yohana 20:10
10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
Naomba usikilize clip ifuatayo kwa taarifa zaidi.
View: https://youtu.be/DTy15somdgo?si=Arg5y6x5GUDZ42gY
NB:SITEGEMEI KABISA MTU MWEUSI KUPINGA HII MADA
OkWacha nikuwekee vifungu ukavirejee, kwa maana maelezo yatakua marefu sana
Tunasema yesu alikuwa mweupe kwa sababu ya ukoo alimozaliwa. Babu yake ibrahimu alitoka uru wa wakaldayo. Yeye yesu kazaliwa Bethlehem.Naomba niambie hapo nimetoka nje wapi kwenye Biblia unayoijua wewe,ili na mimi nijifunze.Kwa mfano nionyeshe wapi Biblia inasema Jesus was white na mimi ntakuonyesha wapi Biblia inasema Jesus was black
Hizi story zinatufurahisha sana waafrika.Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 ni utapeli wa famia ya Rothschild kuudanganya uma wa wanadamu, ili kuzidi kupotosha dhana nzima ya uwepo Waebrania ambao ndio wenyeji halali wa taifa la Israel.Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi na hata Yesu mwenyewe alikuwa mweusi.
Kiliichokuwa kinatokea ni Mungu kuliadhibu taifa Hilo kwa kuwapeleka Waisraeli utumwani na kuteswa na mataifa mengine walipomuasi Mungu.
Historia pia inatuambia kuwa wakazi wa kwanza wa Israel waliitwa Waebrania,ambao walihusisha makabila yaliyoundwa na watoto kumi na mbili wa Yakobo kama ifuatavyo:Yuda, Reubeni,Gadi,Asheri, Naftali,Manase, Simeoni, Lawi Isakari,Zabuloni,Yusufu na wa mwisho, Benyamini.Hata hivyo jambo la kushangaza ni kuwa ushahidi wa uwepo wa makabila haya leo haupo,ni kama wamepotelea hewani tu.Makabila hayo eti yanaitwa "makabila kumi na mbili ya Israel yaliyopotea."Lakini "a people," watu, hawawezi kupotea tu,lazima kuwepo na mpango mahususi wa kufuta historia yao.
Jambo la kujiuliza ni nani alifanya mpango huo na kwa maslahi gani.Ikumbukwe kwamba kufanya kitu kama hicho kunahitaji juhudi ngingi ,kubwa na za makusudi kabisa.
Israel ni taifa ambalo liliumbwa na Mungu,kwa makusudi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu kupitia kwa Yesu Kristo.Sasa siku zote Shetani anapinga mipango yote ya Mungu,ambayo kwa ujumla wake inamlenga Mwanadamu.
Waebrania wakiwa msingi ambao Mungu tayari alishauweka kwa ajili ya mkakati huo,Shetani alikuwa na chuki sana nao,kwa hiyo aliwatesa kwa njia nyingi(angalia Ufunuo 2:9),akiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye Mungu atashindwa kutekeleza mpango wake,he failed miserably,na leo mwanadamu amekombolewa, akimuamini Kristo ambaye ni Mwebrania,anaurithi Ufalme wa Mungu.
Katika Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,tunaona wale ambao walishiriki mpango huo muovu kabisa wa kupoteza makabila kumi na mbili ya Waebrania.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Ufunuo 2:9-10 na Ufunuo 3:9.
Ufunuo wa Yohana 2:9-10
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Ukiangalia kwa umakini maandiko hayo ,unaona kwamba wapo Wairael wasio wa kweli ambao Bwana Yesu anawaita Sinagogi la Shetani.Hawa walishirikiana na Ibilisi kuwaletea Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli,mateso ambayo tunayaona katika Ufunuo 2:9-10
Lakini, je Shetani atashinda?Hapana,atashindwa kama ambavyo nimeshatangulia kusema.Soma Ufunuo 3:9 chini.Sinagogi la Shetani litakuja kusujudu mbele ya Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli .
Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
Na mwisho wa Shetani ambaye alifanya uovu na hila zote hizi ni nini,ni kutupwa kwenye ziwa la moto liwakalo moto wa kiberiti.
Ufunuo wa Yohana 20:10
10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
Naomba usikilize clip ifuatayo kwa taarifa zaidi.
View: https://youtu.be/DTy15somdgo?si=Arg5y6x5GUDZ42gY
NB:SITEGEMEI KABISA MTU MWEUSI KUPINGA HII MADA
Marasta wengi wakishavuta bangi huwa wanasemaga kama wewe kuwa waisraeli ni watu weusi.Wewe utafiti unaoujua ni upi.Ni ajabu kuwa mtu unaweza kuji-ridicule mwenyewe.
Wana wa Israel ni kweli ni watoto wa Yakobo ambaye ndiye Israel, bado haujahusianisha na mtu mweusi sasa, kwa namna gani walikuwa weusi?
It raises our esteemSo what? Kama walikua weusi ili tupate nini leo? Tujilinganishe nao? Au tufanyeje baada ya kujinasibisha? Itafuta akili zetu za kupenda ngono? Au tutakua karibu sana na mungu? Ok sawa kama tuna ukoo na yesu tufanyaje sasa?
Concept hii kuwa Bwana Yesu alikuwa mweusi ina misingi kwenye sayansi,historia na Biblia,so they are right.Concept kwamba Jesus was white haina msingi wowote,ni udaku tu.Marasta wengi wakishavuta bangi huwa wanasemaga kama wewe kuwa waisraeli ni watu weusi.
weka basi ushahidi ndugu yangu kuwa Yesu alikuwa mweusi, au wana wa Israel ni weusiIt raises out esteem
Concept hii kuwa Bwana Yesu alikuwa mweusi Ina misingi kwenye sayansi,historia na Biblia,so they are right.Concept kwamba Jesus was white haina msingi wowote,ni udaku tu.
Kuna yesu aliyezaliwa misriTunasema yesu alikuwa mweupe kwa sababu ya ukoo alimozaliwa. Babu yake ibrahimu alitoka uru wa wakaldayo. Yeye yesu kazaliwa Bethlehem.
Sasa Wewe sema hapa yesu alizaliwa nchi gani hapa afrika kupitia maandiko matakatifu
Kama hutoanza ngonjera zako.
Labda yesu mwingine maana siku hizi Kuna watu wengi wanajiita yesuKuna yesu aliyezaliwa misri
Sawa boss🤣It raises out esteem
Concept hii kuwa Bwana Yesu alikuwa mweusi Ina misingi kwenye sayansi,historia na Biblia,so they are right.Concept kwamba Jesus was white haina msingi wowote,ni udaku tu.
Wimbo wa Sulemani 1:5-6
Sawa.Kwanza naomba nikuhakikishie kuwa wanaoitwa Waisraeli ni actually Waebrania.weka basi ushahidi ndugu yangu kuwa Yesu alikuwa mweusi, au wana wa Israel ni weusi
Ndo tuyaonegeHii inanchanganya kuona Taifa Lina zaidi ya Miaka 3000 ila limeanzishwa 1948.
Nikiwemo mimi hapahii mada itapingwa vikali na watu weusi wenyewe.