Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi

Hata baada ya mashariki ya kati kumkataa Yesu aliwaambia ufalme utahama kwao kwenda taifa jingine na umehama kweli ila sijui kwanini dini zote hawafundishwi na iliandikwa.Soma

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Wengi bado wanaamini taifa teule ni Israel au Mashariki ya kati ila kiuhalisia ilishabadilika na vyama vya siri vinajua ila hawataki kusema ili watu wabaki kwenye utumwa wa kifikra.
 
Nilichoona mimi nikuwa Ayubu alikuwa mweusi kutokana na ugonjwa,Selemani alikuwa mweusi kutokana na jua kali na Musa alipoweka mkono wake kifuani,mkono wake ulikuwa mweupe kama unaotoa mwanga na si weupe wa mzungu.

Sema wewe unapenda overthinking sana!!!
 
Point dhaifu, yaani Mimi niwe mweusi halafu nimwimbie msichana mrembo ambaye nae Ni mweusi Kisha nianze kujinadi kuwa usione weusi wangu huu lkn Mimi Ni mzuri. Haileti maana kabisa. Hapo inaonesha jamii hiyo weusi walidhalilika hivyo Sasa inabidi huyo mweusi kutumia mbinu yakujisifu ili msichana amkubali.

Kuna uongo mtu anaweza utengeneza mtu akaamini lkn ishu hii iko mbali Sana kuamini.

Mtu anaweza kidooogo kunishawishi upande wa biashara ya utumwa Babu zetu walivyo pelekwa ulaya naweza kuanza kujakuja kukuelewa lkn lazima uwe na points nondo kweli nyingine za kujazia hapo
 
Na hautakiwi kutokufikiria unless kama uko comfortable na namna mambo yalivyo, kwamba unaishi maisha yako huna time na mambo mengine ya kilimwengu.
 
Hii hoja nilikuwa nikiisikia sikia ikivuma kuwa waisrael Ni waafrika lkn sikuweza kupata hata mmoja alieleta hoja makini zinazoeleweka au kustua.

Kutokana na hili, wale wote ambao mnawazaga kwamba biblia imeandikwa na watu, kwa Sasa muwe na adabu maana uzi huu Ni funzo kwenu. Kwa sababu Kama Ni ngumu hivi kuleta hoja hapa na kuitetea ipasavyo imeshindikana. Ndipo mtajua ugumu wa kuandika kitabu Kama biblia Kuna ugumu kiasi gani na mtambue wazi kwamba biblia sio mawazo ya kibinadamu Bali Ni neno la Mungu mwenyewe.

Mfano mwanzisha uzi huu. Ili apangilie hoja zake na ushahidi utakaokubaliwa na nusu ya wanna jf wote itamuhitaji tumpatie muda kiasi gani? Utakuta hata Kama tutampa miaka Mia bado Ni ngumu kutushawishi.
 
Kwahiyo Ibrahim alikuwa black?
 
Netanyahu arudi poland
 
Kwan hata wangekuwa Wachina shida ipo wapi 🤔
 
Ukute ndo wachaga maana ndo hawatulii.
 
Na hautakiwi kutokufikiria unless kama uko comfortable na namna mambo yalivyo, kwamba unaishi maisha yako huna time na mambo mengine ya kilimwengu.
Mimi niko comfortable kwa nini wewe hauko comfortable na namna mambo yalivyo?
 
Mimi niko comfortable kwa nini wewe hauko comfortable na namna mambo yalivyo?
Mwanadamu uliyeumbwa na Mungu huwezi kukubali kitu cha uongo.Halafuu, knowing that Jesus Christ was black raises your esteem.Mkuu nataka ulijue hili,cheating us that Jesus was black did exactly the opposite,lower our esteem,tujidharau ili iwe rahisi kututawala.
 
Ustuchoshe na wewee weusi weupe blue sio WA nn
 
Very ignorant ideas.
 
Sasa hata ukijua kwamba alikuwa mweusi itakusaidia nini?
Hiyo esteem yako utamvimbia nani?
 
Sasa hata ukijua kwamba alikuwa mweusi itakusaidia nini?
Hiyo esteem yako utamvimbia nani?
Hujitambui kabisa,so wewe self esteem sio muhimu!You are half human or not human at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…