Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi

Ukiwahishwa hospital unapona kabisa wewe.
Yesu na waebrania ni watu weusi! Usipuuze wahi ugonjwa huu unapona kabisa.
 
JAPO leo umeendika kitu chenye Ukweli na chenye kuelimisha Wana Jamii Forums tukisema Yesu sio Mzungu kuwa watu Wanaona Tunawatukana la kushangaza wanaoumia ni Weusi Wemzetu..

Mzungu ajawai Ata kuwa Mtume yoyote kwenye Dunia Wala Dada Zao sio Malaika wala MARIA sio yule Mzungu Watu wameaminishwa Ujinga Usio na Ukweli mzungu kafiri tangu na tangu!!!!

Mungu Fundi Awezi kufanana na mijitu kama hiii Mizungu Yani USHOGA!!! wao kukwiba mali na rasilimali za Watu !!! kuuwa watu Ovyo!!

Wanamachuki kwa mtu Mweusi uyu angefanana na Mungu kweli Sisi Wamatumbi Tusingekuwepo ktk Dunia mweusi acha Ujinga imetosha kuwa Minga Amka sasa !!!

Ona Watu WEUSI wenye Majina Makubwa wengi Wameuwawa kimafia LUTHER king Malcolm X Bob marley Michael Jackson kama sio kujisalimisha kuiga Uzungu Wangeshamuua Zamani,, mijitu yenye Chuki kama hiii Vip Ifanane na Mungu!!!!

au na Mtume wa Mungu au na Malaika wa Mungu. Mtu mweusi Wewe ndio mwenye kufanana na WATUKUFU Muimu Mwafrika apendi Vita Atujawai Vamia nchi yoyote popote ktk dunia !!!

Mungu ametubariki zama kwa Zama Wazungu Wanatuonea WIVU ndio Mana Wazungu wamekuja Afrika kutualibia Tamaduni zetu na kutuibia rasilimali Zetu!!!!!!

, mwarabu ajawai kuwa na shida na mtu mweusi hii ni Propaganda za Wazungu.

Mtu MWEUSI Alikombolewa na
Kusaminiwa na UISLAM Miaka Mingi Uko Nyuma !!

Mwarabu Ana Shida na mweusi kwa Zaid ya Uwongo na propaganda

lkn mzungu ndio Tatizo. Vile Anachuki kubwa na mtu Mweusi!! Ukweli Siku zote Unakuweka huru,,,

Wangekuwa wao ndio miungu Mmatumbi Wewe Usingeumbwa. Kabisa. Mungu Fundi..
 
Ukiwahishwa hospital unapona kabisa wewe.
Yesu na waebrania ni watu weusi! Usipuuze wahi ugonjwa huu unapona kabisa.
Tuambie kwanini una amini Bwana Yesu na Waebrania sio watu weusi,Mimi nimeshatoa hoja zangu kwa nini nasema Waebrania ni weusi.
 
Huyu huyu Mweusi wa Singeli na Amapiano?!
 
Ayubu alikuwa muisraeli?
 
Una point mkuu,ila uandishi ndio tatizo.
 
Ndiyo maana Waisraeli wa kimatumbi wanaitetea sana nchi yao kumbe wao ndiyo Waisraeli halisi,sasa nimeelewa.
 
Wewe unalolijua ni lipi tujuze na sisi tuelimike.Mwenzio nimefanya utafiti wa kina,hii ni summary tu,tupe na wewe matokeo ya utafiti wako.
Umefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.
 
Ayubu alikuwa muisraeli?
Yes,alikuwa Mwebrania which means alikuwa Mwisraeli,si nimeweka andiko?Au Kwa kuwa uneziea akina Ayubu ni Waarabu,msikariri,Waarabu wamechukua Kwa Wairael.Kumbuka kwamba wakati Kitabu cha Ayubu kikiandikwa,Uislamu hata ulikuwa haujafikirika.
 
Umefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.
A very stupid question indeed.
Umefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.
Ni swali la kizushi ambalo wala sija haja ya kulijibu
 
Yes,alikuwa Mwebrania which means alikuwa Mwisraeli,si nimeweka andiko?Au Kwa kuwa uneziea akina Ayubu ni Waarabu,msikariri,Waarabu wamechukua Kwa Wairael.Kumbuka kwamba wakati Kitabu cha Ayubu kikiandikwa,Uislamu hata ulikuwa haujafikirika.
Mimi hata siko huko.

Naomba unipe ushahidi wa maandiko kuwa Ayubu alikuwa muisraeli.
 
A very stupid question indeed.

Ni swali la kizushi ambalo wala sija haja ya kulijibu
Unaona ulivyomjinga. Unataka historia ya Israel ukiwa gongo la mboto kenge kweli. Mpuuz mmoja unaejifqnya kujua usichokijua unafikiri huku ni kundi la wajinga wenzio sio. Unajua Jerusalem japo ulikuwa mji wa Israel lakin umetawaliwa kwa nyakati tofauti tofauti na mataifa tofauti na jews walichananganya damu mapema sana na mataifa mengine. Ndio maana kuna jews black, waarabu,waajemi, wazungu, nk. Eti kwamba ukienda kanisa la mashariki Yesu alikuwa black hatukatai ila ukweli jamaa walichanganya damu mapema so wako rangi tofauti tofauti tangu mwanzo. Na sio jews tu eneo lote la northen afrika lilikuwa la waafrika design ya Ethiopian. Sasa wewe chagua mwl wa kukufundisha acha kusoma na kwenda maeneo tofauti kupata elimu kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…