Ukweli ni kwamba Zanzibar kuna wachezaji wengi wenye vipaji

Ukweli ni kwamba Zanzibar kuna wachezaji wengi wenye vipaji

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.

Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana.

Akina Yanga na Simba huko Bara ni kubebwa tu ndio washinde. sasa Waamuzi wa Kombe la mapinduzi wamekataa huo upuuzi.

Hongera Sana watu wa Zanzibar.
 
Umekaa kwenu huko kwenye tv umeangalia wanavyozisumbua Simba na kidimbwi basi umeona wana talent 🤔

Hizohizo zinafumuliwa kila mwaka kwenye mashindano ya kimataifa yani huwa haziendi mahala
 
Umekaa kwenu huko kwenye tv umeangalia wanavyozisumbua Simba na kidimbwi basi umeona wana talent 🤔

Hizohizo zinafumuliwa kila mwaka kwenye mashindano ya kimataifa yani huwa haziendi mahala
Umeelewa nilichoandika? Nimesema kungekuwa na uwekezaji kama Bara, Zanzibar kuna wachezaji wazuri zaidi.

Afu wewe toka upewe za uso kwenye kutetea Mwanza ulikimbia .
 
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.

Mechi za kmkm na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana.Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara,timu zao zingekuwa mbali sana.

Akina Yanga na Simba huko Bara ni kubebwa tuu ndio washinde,sasa Waamuzi wa Kombe la mapinduzi wamekataa huo upuuzi.

Hongera Sana watu wa Zanzibar.
Tanganyika ni nchi kubwa sana ambayo laiti kama nayo ingelikuwa na uwekezaji mzuri na kuibua vipajji basi ujur kuna watu wanapiga mpira huko mikoani huwezi amini.

Zanzibar ni nchi ndogo asana yenye hadhi ya kimkoa tu kwa hapa tanganyika so haiingii akilini kwamba kuwe na vipaji viiiingi kule hapa tanganyika ambapo kuna watu wengi sana kulikk zenjj.

Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Hujatembea huku bara kijana,zungika kila mkoa uangalie timu ambazo hazijapata nafasi ya kuonekana ndio utagundua kwamba kila sehemu kuna vipaji
 
Hauko serious wewe.

Ohoooo! Kumbe na wewe ni walewale mtu mfupi alafu unakuwa mweusi tii watu wa Njombe huko akili mtoe wapi
Watu wa Kanda ya Ziwa can't think properly coz Utakuwa una mojawapo ya saratani hizi hapa

Ubongo (huna akili)

Kizazi(umeshatatuliwa marinda)

Ngozo(utakua ni zeruzeru )

Screenshot_20211118-215300.png
 
Tanganyika ni nchi kubwa sana ambayo laiti kama nayo ingelikuwa na uwekezaji mzuri na kuibua vipajji basi ujur kuna watu wanapiga mpira huko mikoani huwezi amini.

Zanzibar ni nchi ndogo asana yenye hadhi ya kimkoa tu kwa hapa tanganyika so haiingii akilini kwamba kuwe na vipaji viiiingi kule hapa tanganyika ambapo kuna watu wengi sana kulikk zenjj.

Hujatembea huku bara kijana,zungika kila mkoa uangalie timu ambazo hazijapata nafasi ya kuonekana ndio utagundua kwamba kila sehemu kuna vipaji
Huna akili timamu? Mbona unajichanganya,Kwanza Zanzibar ni Nchi ndogo yenye hadhi ya Mkoa 😂😂😂 ,kuna Nchi yenye hadhi ya Mkoa?.

Kama kitu kidogo hichi unashindwa
kuelewa ndio akili ya maendeleo itatoka wapi?

Kwanza Bara inawachelewesha Sana Wazanzibar,imagine akili kama zako afu unawazaukabila.
 
Angalia pia seriousness ya mashindano.

Timu za bara zinashiriki hayo mashindano kwasabab za kisiasa ..lakini moyo haupo huko.
ndio maana wanatumia vikosi vya pili au vyatatu
Vilabu vya zanzibar wapo serious 100%

Simba au yanga kutoshiriki michuano hii, iwe kwasababu zozote zile kuna lawama nyingi mno.

Susia kagame cup, susia hata kombe azam lakn sio mapinduzi.
 
Hizo timu za bara haziweki effort 100% kwenye hayo mashindano. Na still timu za zanzibar hazifiki hata nusu fainali. Hapo hata mtibwa anakuja anachukua.

Timu zilizoshiliki mapinduzi cup.

Young Africans
Taifa Jang’ombe
KMKM
Azam FC
Namungo FC,
Yosso Boys
Meli 4 City.
Simba SC ipo
Selem View n
Mlandege FC.

Timu zilizofuzu nusu fainali.
-Simba
-Yanga
-Namungo
-Azam

Hii inatosha kuonesha utofauti wa dalaja la viwango kwa bara na zanzibar

Yaani kwa kifupi, huko ingeenda hata mbeya kwanza au geita gold ingeungana na simba, azam na yanga semi
 
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.

Mechi za kmkm na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana.Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara,timu zao zingekuwa mbali sana.

Akina Yanga na Simba huko Bara ni kubebwa tuu ndio washinde,sasa Waamuzi wa Kombe la mapinduzi wamekataa huo upuuzi.

Hongera Sana watu wa Zanzibar.
Mkuu unasema Yanga na Simba bara wanabebwa tu na waamuzi, na waamuzi wa Zanzibar wamekataa huo upuuzi ilhali hao hao Simba na Yanga ndio zimefuzu, tofautisha vipaji na kukamia

Kiufupi ni kwamba Zanzibar wao kombe la mapinduzi wanalichukulia serious sana, wakiwaona wenzao kina Fei toto,Mudathir,Makame na wengine ligi kuu bara wanawaona wa kishua sana

Azam msimu uliopita ilinunua mchezaji kupitia mapinduzi cup,Mtibwa ilinunua pia, kwahiyo wachezaji wa Zanzibar wao wanayaona haya mashindano kama sehemu ya kujitangaza ili watoke maana mpira bara unalipa, ndomana unaona wanakamia sana

ila ukweli utabaki pale pale tu vipaji vingi vimejaa bara na ligi yao ni Bora ndomana hakuna ata team Moja ya Zanzibar iliyofuzu pamoja na kwamba marefa hawazibebi, we ukiangalia ligi ya Zanzibar ndio utajua wale hakuna kitu, wanafungana hadi goli 15 Sasa hiyo nayo ligi
 
Back
Top Bottom