lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Laki...
Chuki na uchochezi katika kusema kweli?
Unataka vizazi vijavyo viamini kuwa Waislam walikuwa watu wapumbavu kiasi waliivunja EAMWS wakati wanajenga shule na Chuo Kikuu?
Tuna wajibu wa kueleza ukweli na kupinga proaganda za watu kama Kimwanga.
Unajua kuwa hadi leo historia ya Auschwitz bado inasomeshwa?
Kwani mzee Mohamedi haiwezekani tena kujenga chuo zama hizi?!Laki...
Chuki na uchochezi katika kusema kweli?
Unataka vizazi vijavyo viamini kuwa Waislam walikuwa watu wapumbavu kiasi waliivunja EAMWS wakati wanajenga shule na Chuo Kikuu?
Tuna wajibu wa kueleza ukweli na kupinga proaganda za watu kama Kimwanga.
Unajua kuwa hadi leo historia ya Auschwitz bado inasomeshwa?
Hujaandika Waislamu wafanye nini ili kujikwamua kutoka hapo walipo?!Ozzanne,
Kwako wewe kuandika historia ya kweli ni kuvunja udugu ila kupotosha historia ni kuunga udugu na kuleta umoja wa kitaifa.
Wala wewe huna haja ya kuniamini ninapoeleza kuwa babu yangu Salum Abdallah ni muasisi wa TANU Tabora na ni muasisi wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) akiwa rais 1955 na aliongoza migomo mikubwa mitatu ya wafanyakazi wa reli, 1947, 1949 na 1960.
Ukipenda amini kuwa wala watu hawa hawakupata kuwepo Tanganyika.
Wala sina sababu ya kujidai.
Hawa ni wazee wangu na wala sikuwachagua.
Nimezaliwa wakati wao kwa uchaguzi wa Mungu.
Wala hawa wazee hawakupanga kuwa Nyerere atatoka kwao atakuja Dar es Salaam atamtafuta Abdul Sykes na wataungana na wazalendo wengine kupigania uhuru wa Tanganyika.
Historia hii ndiyo historia ya wazee wangu ambayo ilipotea nami nikaiandika ili isipotee na iwepo hadi siku ya kiama.
Bora wasingeandika kabisa kuliko kuandika historia iliyopotoshwa.
Ikiwa unayo historia ya TANU mfano wa hii yangu iandike isomwe kama dunia inavyosoma yangu.
Nimekusoma ahsante sana.
Jina lako la mwanzo tu tayari limedhihirisha hujui uliandikalo!Hii nchi hii ina mfumo kristo wallah dhulma dhidi ya Waislam wa tanganyika haitaliacha kanisa salama na wallah tunaumia kwa haya yanayotokea , Allah amjalie sheikh wetu ilunga Pepo ya juu in sha Allah ameacha athari kubwa sn kwa kizazi cha leo maneno yake bado yanaishi japo watu wasema vijana punguzeni jazba wallah hatutapunguza mpk hizza yetu itakaporudi bi idhniLlaah
Statarea,Waislamu ni walalamishi na wanalalamika hadi kwenye secular countries.
Wewe unataka mauislamu yako nenda Saudia au Iran huko utaishi vyema kabisa alafu ndio utajua Tanzanians tuna uvumilivu sana
Magnifico,Hujaandika Waislamu wafanye nini ili kujikwamua kutoka hapo walipo?!
Jina lako la mwanzo tu tayari limedhihirisha hujui uliandikalo!
Unaitwa Rommy = Romeo jina la kikristo alafu unaliponda kanisa una laana kubwa kubwa wewe na maimani yako eti pepo ya juu kwani kuna pepo ya chini na kati
Magnifico,Kwani mzee Mohamedi haiwezekani tena kujenfa chuo zama hizi?!
Ni Firdausi sio firdous!Kinachokusumbua nini lipi kosa langu kumuombea khery mzee wangu said aingie jannahtul firdous au kuna lingine ambalo unalo jina langu lisikuchanganye
Ungekuwa unasomesha na historia za Wakristo ama kutetea jambo fulani kwa misingi ya Ukristo au kujiweka neutral kwenye historia zako za ajabu ajabu ningekuona wa maana sana!Statarea,
Umeandika ukiwa umeghadhibika.
Kinachokughadhibisha ni akili yako kukutana na mambo ya kweli lakini hukupata kuyafahamu.
Katika hali kama hii kinachokujia kwanza na haraka ni mshtuko.
Kinachosomeshwa ni historia tu ya watu ambao kwako ni wageni kabisa lakini wamefanya makubwa.
Hili si jambo la kumuudhi yeyote lakini historia hii imevuruga ubongo wako kwani hukudhania kuwa hivi ndivyo ilivyokuwa.
Itakuchukua muda kwa ubongo wako kuukubali ukweli na akili ikasema hii kwa hakika ni kweli.
Laki...hiyo mihadhara na research unazoenda kuzifanya huko vyuo vya ulaya , UK, German zinafadhiliwa na nani? ni taasisi au mtu binafsi anaekufadhili?
Hakuna ambaye hakuathirika kwa Ukoloni, tuliuzwa utumwa, tulibebeshwa pembe za ndovu ktk Kigoma hadi Pwani kwa miguu karavani, tulifanyishwa kazi bila ya ujira au ujira mdogo sana kwenye mashamba ya Wakokoni huko Tanga, Zanzibar, Tabora Kigoma na kwingineko.
Kwanza ninaweza kusema Waislamu Waarabu, Wahindi na wengineo walinufaika zaidi na Ukoloni klk sisi Waafrika weusi kwani Waislamu Waarabu na Wahindi walikuwa daraja la pili baada ya Muzungu na sisi weusi tulikuwa daraja la tatu.
Kuna sababu kwa nini miji yote Mikubwa TZ kuna makazi yajulikanayo kama Uzunguni, Uhindini na Uswahilini, na Uswahilini ni kwetu sisi weusi na mweusi haikujalisha kama ulikuwa Muislamu au Mkristo, tulikuwa wote ni daraja la tatu.
Hivyo kusema kwamba Waislamu walionewa wakati wa Ukoloni sijui unamanisha nini na walionewa kwa kulinganisha na nani? Kama kulinganisha na Mwafrika mweusi, hapo nitakupinga.
Mohamed Said, inawezekana chuki zako zimetokana na familia ya Sykes kufilisiwa mali zao kipindi Nyerere alipoanza kampeni zake za ujamaa kuanzia mwaka 1964,familia ya sykes ilikumbwa na kimbunga kilichowakumba akina kambona, titi mohamed, kaselabantu etc
Rommy,Mzee said naisi kama nimewahi kukuona masjid idrisa kariakoo mwaka 2009 baada ya swala ya ijumaa, nakumbuka siku hiyo ulisimama na kusema leo ninawaletea historia ya tanganyika kabla ya uhuru nakumbuka siku hiyo waislam wengi walitulia sehem zao wakisubiri kusikia kile ulichowaandalia, sina kumbukumbu vzr ulisema kua miongoni wa wapigania uhuru waliokua hai hadi leo (2009) ni wawili tu ambao wazee sn na hali yao si nzr, nakumbuka ulisema uchunguzi wako ulikuchukua miaka mingi sn kukamilika, historia iliishia kwa Waislam wengi sn msikitini pale kulitokwa na machozi sn nami nikiwemo hii ni baada ya kugundua tumedhulumiwa sn na mbaya zaidi kwenye history babu zetu hawawamo, mzee said kama ni ww kweli basi allah akuifadhi mzee wangu. nakumbuka ilikuwa ndo mara ya kwanza report ile inatolewa na kulikua na wapiga picha wengi na video shooting kibao ulivaa kanzu Nyeupe na kofia yako Nyeupe, Allah kareem mzee wangu ipo siku haqq itajienga na batili in sha Allah na tupo vijana allahmdulilah
Nanren,Nini kiliifanya EAMWS kuhamisha makao yake makuu kutoka Mombasa hadi Dar?
Kama ni Nyerere ndiye aliyeua EAMWS na kuanzisha BAKWATA, je ni yeye mwenyewe aliua EAMWS kule KENYA? Aliwaanzishia baraza gani kule?
Rommy,
Ndiye mimi kaka yangu nilialikwa kuja kuzungumza na Waislam.
Rommy,Dah allah akuifadhi ndg yng
Ungekuwa unasomesha na historia za Wakristo ama kutetea jambo fulani kwa misingi ya Ukristo au kujiweka neutral kwenye historia zako za ajabu ajabu ningekuona wa maana sana!
Ila historia zako huwa zimeegemea upande wa Uislamu, unatumia sababu za kipuuzi sana kuonyesha dini yako ina haki fulani au kunyanyaswa.
Na hii sio wewe tu ama waislamu wa Tanzania wako nayo kuhisi wana haki fulani na hawaipati, walitendewa ubaya n.k ni dunia nzima! Kasoro nchi zinazojitanabisha kuwa ni za kiislamu.
Mfano hai ni kampeni zinazoendelea Uingereza waislamu wanashawishiana miskitini na kwenye majukwaa yao eti wasimpigie kura Johnson wampigie Jeremy [emoji23][emoji23][emoji23] kutokana na misimamo yake juu ya dini ya Muddy
Statarea,
Inawezekana ni kwa ajili ya labda umri wako, kiwango cha elimu, malezi na mambo mengine mengi tu "exposure," nk. nk.
Nakueleza haya nikiamini mimi nimekupita kwa umri mimi ni mzee kwa hiyo utaniheshimu kwa uzee wangu.
Naamini umefanya kwa kuwa hujui na kama hujui unastahili kusamehewa.
Kwetu sisi Waislam Mtume Muhammad SAW hafanyiwi utani.
Usimtaje Mtume SAW kwa utani.
Hiyo ni kufru kubwa sana ambayo hakuna Muislam yeyote duniani anaweza kustahamili.
Naamini umeelewa na hutorudia tena jambo hili.
Nikejeli mimi unavyopenda lakini weka heshima kwa Mtume Wetu SAW.