Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
oh yes it was a life and death situation! hivi umewahi kufungwa jela bongo wewe au unasema tu hapa?
Hapo sasa ndio alitakiwa aonyeshe ushujaa wake wa kuface chochote kile kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Fuatilia Navy Seal training ya US uone kuwa principle kubwa ya seal ni kuface the muziki all the time.
Hii ndio inatofautisha hero na coward, ndio maana nimesema kuwa mie siwezi kujiita hero and the same can be said of Kambona!
Kweli Nyerere wenu hakuwa kila sehemu kwa wakati wote lakini alikuwa ni kama mungu mtu fulani hivi kiasi ukisikia jina lake tu unanywea bila hata ya kumwagiwa maji. Watu walikuwa wanamwogopa Nyerere bwana. We mpaka sasa hivi watu bado wanadhani raisi wa Tanzania ni raisi Nyerere. We unafanya mchezo nini. Unajua alipokufa baddhi ya media outlet za magharibi zilimzungumzia kama vile alikuwa bado raisi. Acha mchezo bwana kile kibabu kilikuwa hatari sana. Moto wa kuotea mbali.
Mbona Nyerere hakuonyesha hiyo principle wakati wa uasi?
Sijui sana kuhusu hili suala la Nyerere kwani alikuwa prezida the big part nikiwa sijazaliwa. Kulingana na unachosema hapa, kama kweli Nyerere alifanya hivi, basi this guy alikuwa na very big ballz. Kwa sababu it takes ballz kufanya yote haya uliyosema tofauti na Kambona the Coward aliyekimbia when the going got sad and tough!
Sikujua kama tunafanya comparison analysis kati ya Nyerere na Kambona BUT kama tunafanya basi soma jibu langu hapo juu kuwa kitendo cha nyerere kujificha ilikuwa uoga.
Ila pia kitendo cha yeye kurudi na kuface wabaya wake ilikuwa show of big tyme balllz kitu ambacho Kambona alishindwa kabisa kufanya.
Alikuwa na busha badala ya ballz!!!
Kweli Nyerere wenu hakuwa kila sehemu kwa wakati wote lakini alikuwa ni kama mungu mtu fulani hivi kiasi ukisikia jina lake tu unanywea bila hata ya kumwagiwa maji. Watu walikuwa wanamwogopa Nyerere bwana. We mpaka sasa hivi watu bado wanadhani raisi wa Tanzania ni raisi Nyerere. We unafanya mchezo nini. Unajua alipokufa baddhi ya media outlet za magharibi zilimzungumzia kama vile alikuwa bado raisi. Acha mchezo bwana kile kibabu kilikuwa hatari sana. Moto wa kuotea mbali.
Hata alivyokuja baadaye na ahadi kibao za kusema vitu jangwani aliishia kubwabwaja tu na hata sie watoto ambao hatukumfahamu tukamuona kuwa Kambona amebadilika kuwa bonge la coward!
Wewe hapa una miss point. Yeye aliwaface wabaya wake ktk position ya power. Hiyo hata wewe unaweza.
Na kitendo cha kujificha when the going gets tough halafu unatuma watu wakatulize moto ni kitendo cha uwoga. Hata u-spin vipi huo ni uoga.
Basi Kambona na Nyerere wetu....are you happy now?
Ilikuwa woga ama Jamhuri ndio iliyokwenda kumficha? alafu Kambona alikwenda kule kama Waziri ambaye alitumwa na Mkuu wake wa kazi(alikula kiapo kumtii)
Ila tuwe wa kweli tuu ata ungekuwa wewe sidhani kama ungeenda kuwaface wanajeshi wenye hasira na wewe, sidhani kama kuna mtu ana hizo cojones, mliona yaliyomkumba Samuel Doe(by the way kama una access ya hiyo tape itafute).
Swali la kujiuliza kwa nini Kambona hakusafisha jina lake alipopata nafasi za kufanya hivyo?
Rekodi mbona iko wazi haihitaji kukisia.. fuatilia kesi ya Uhaini ya kwanza ya Jamhuri yetu. Kama wapo wengine waliwekwa kizuizini tuambiwe ni kina nani na kama kuwekwa wao kizuizini kulikuwa kinyume cha sheria
Icadon ndio maana mimi nasema a manufacture hero status; Obote alipomtuma Waziri wake wa Mambo ya Ndani kwenda kuzungumza na wanajeshi walioasi guess what happened they mswekad him in lupango.
Ni pale tu alipoanza mihadhara ya Nigeria ndipo alipojitengezea self described legend story kwamba he was the hero of the "mutiny".. Rekodi zote zinaonesha alifanya hivyo kwa sababu alikuwa ni Waziri wa Ulinzi na alitumwa na amiri jeshi mkuu na tatu he was the number TWO guy..
ectastic!! the point ni kwamba we have to claim Kambona kwenye historia yetu na ninaamini kabisa pamoja na makosa yake yote na fraud aliyoijaribu kuifanya all were just out of desperation. Unfortunately he failed miserably. Lakini katika yote anastahili kutambuliwa kwa mchango wake aliotoa wakati wa Uhuru na mara baada ya uhuru; that is part of our story, its part of his story, and indeed part of our history! So, I won't mind Chuo Kikuu cha Dodoma kikiitwa Kambona State University au barabara kuu ya kwenda kusini ikijulikana kama Kambona Highway.
But the legend that people are trying to create, he was not; it all just a myth and a terrible myth that is.
Tunakubaliana?
itakuwaje mtu usiyemjua umuone amebadilika?
hata kama hutaki kusema nawe pia uliisha pata dozi directly au indirectly kuhusu ubaya wa kambona ndio maana unasema amebadilika
Na Kambona alipoona ndugu zake wa damu wameswekwa gerezani machale yakamcheza.....so I don't blame him for running. I would have done the same exact thing.....