Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
huyo mke atakula mawe?Nani aliekuambia kuoa ni hela???una umri Gani wewe?
Airtime Yako ya mwaka mzima ni mahari tosha ya kupata mke
Ukiweka 1000×360 unapata mahali nzuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mke atakula mawe?Nani aliekuambia kuoa ni hela???una umri Gani wewe?
Airtime Yako ya mwaka mzima ni mahari tosha ya kupata mke
Ukiweka 1000×360 unapata mahali nzuri tu
Hii dhana nayo imeshapitwa na wakati.Well said.
Mwanamke yeye anakija kwako kutanua mipaja yake tuu.
Wee mume ndio ulipe ada, ujenge wewe umpendezeshe wewe
Wakwe uwahudimie wewe.
So pesa ndio nambari one factor kwa ndoa....huna hela bora ue delee na nyeto ya mlenda vuguvugu
Nawaza labda jamii nzima ikiwaza hivi itakuwa anti-natalist, kisha tutatowekaSawa.
Lakini watu wasiotaka kuoa kwa sababu wanajiona wao ni masikini na hawataki kuoa na kuendeleza umasikini zaidi kwenye ndoa zao wana hoja.
Kuna watu wamekubali wao ni masikini, wamejikuta duniani tayari, labda wamezaliwa famikia masikini na hawana ujanja wa kutokankwenye umasikini, hilo hawana control nalo.
Lakini wamekataa kuoa na kuwaleta viumbe wengine hapa duniani, watoto, na kuwaweka kwenye mazingira ya kuendelea kwenye umasikini, kujikuta wamezaliwa kwenye famikia masikini.
Utapinga vipi hoja ya mtu kama huyo?
Bro usijidanganye...mwanamke ata asome vipi ata awe billionea kidume majukumu ni yako.Hii dhana nayo imeshapitwa na wakati.
Kuna wanawake wengi wamesoma, wana akili nzuri, wana careers nzuri, wana biashara nzuri. Wanatafuta wanaume wazuri waliotulia wenye akili nzuri. Wasio na mambo ya kishamba.
Sema ikiwa uko kwenye networks za watu masikini wajinga inawezekana usikutane nao hawa.
Bum bum tuk tukNa wanawamtako hao wa titok jamani
Nawaza labda jamii nzima ikiwaza hivi itakuwa anti-natalist, kisha tutatoweka
Kuleta watoto ni leap of faith, kutokuwa /kuwa na pesa hakumaanishi watapata/watakosa maisha bora kwenye utoto wao.
Umejaribu kuweka universal law kwa kitu ambacho si rahisi kukiwekea universal law hivyo.Bro usijidanganye...mwanamke ata asome vipi ata awe billionea kidume majukumu ni yako.
Ukimpa mwanamke majukumu ujue ipo siku atakutia kidole mkundunizz.
U have been warned!
Ah haya bwana baki na zako siku ukitiwa dole la mkunduz na mkeonuje useme hapa.Umejaribu kuweka universal law kwa kitu ambacho si rahisi kukiwekea universal law hivyo.
Yani swali la nani ni mwanamke na nani si mwanamke tu sasa hivi ukitaka kwenda nalo kwa kina ni mgogoro, sasa wewe unawekaje universal law kirahisi hivyo?
Watu wengi huangalia wanawake wa jamii yao ya karibu na ku conclude wanawake wote dunia nzima ndiyo wako hivyo.
That is a hasty generalization logical fallacy.
Have you ever wondered how that extinction would play out?Kuna wanafalsafa kama David Benatar, muandishi wa "The Human Predicament: A Candid Guide To Life's Biggest Questions" wamechunguza masuala haya kifalsafa na kuhitimisha kuwa
1. Maisha kwa kiasi kikubwa ni matatizo tu, hata mafanikio ni mwanzo wa matatizo mengine. Na kuna matatizo mengi maishani hayana masuluhisho. Amenikumbusha wimbo wa Mbaraka Mwinshehe "Shida", jinsi Mbaraka Mwinshehe alivyoimba "Kila siku shida, shida haiishi mpaka siku ya mwisho".
2. Ukifikiria sana unaweza kuona solutions ni kujiua, lakini kujiua si kitu kizuri, mandhali ushazaliwa, pambana tu mpaka mwisho.
3. Lakini pia, kwa kuwa maisha ni shida tu, basi kuzalisha watu wengine waje kuishi ni kitu kisicho na maadiki, ni unethical. Yani sisi tumwjikuta kwenye mtego wa maisha ya shida halafu tunawaketa watu wengine waingie kwenye ntego huu makusudi?
4. Conclusion. Watu wapunguze kuzaa na eventually kizazi cha binadamu kitoweke kabisa. Shida zote zitakuwa zimeisha.
Hii faksafa imenikumbusha katika Buddhism wanasema all existence is suffering, the source of suffering is desire, eliminatw desire, you will cease existence and cease suffering, you will enyer Nirvana.
Maybe this is a metaphoric way if saying humans should cease the desire to procreate and eventually this will end up in non existence, which by definition will cease all human suffering.
It's a bit problematic for people who are attached to life and the preservation of the human race though.
It's like telling a patient with a deadly and troubling virus "I am going to give you this strong medicine, it will killal all tye viruses, it will kill all your organs, but you will die so you will no longer suffer".
Except the patient is the entire human race and the cure is its extinction.
Ah haya bwana baki na zako siku ukitiwa dole la mkunduz na mkeonuje useme hapa.
Hao marekani mara mbili walikuwa na opportunity na kuweka mwanamke lakini wameona wamuweke fala trump...they not stupid bro!
Walishaongoza dunia?Kutiwa kidoke inawezeoana kabisa ikawa ni starwhe ya mtu tu, usione hatari sana wala nini. Jadiki hoja usiweke innuendo.
Kwa nini unawataja Marekani kuwa mfano wakati Marekani wanapitwa na nchi za Ulaya kwenye vigezo vingi tu vya elimu, afya, maisha bora, demojrasia, etc?
Mbona hujataja Finland ambayo inaipita Marekani kwenye mambo mengi, na imeshaongozwa na mwanamke?
Why does it seem impossible?Have you ever wondered how that extinction would play out?
It seems impossible.
Finland wanaishinda Marekani kwenye mambo mengi kama afya, elimu, demokrasia.Walishaongoza dunia?
Kuoa, kutooa, kuwa na mafanikio, kutokuwa na mafanikio, kuoa kwa sababu ya mafanikio, kutooa kwa sababu ya mafanikio, kuoa kwa sababu ya kutokuwa na mafanikio, kutooa kwa sababu ya kutokuwa na mafanikio, kutojielewa umefanikiwa au hujafanikiwa na umataka kuoa au kutooa...Hakuna uhusiano wa kuoa na kuwa na mafanikio.
Hakuna uhusiano wa kutokuoa na kutokuwa na mafanikio.
Mafanikio hayaji kwa kuoa ama kutokuoa.
Mafanikio hayaji kwa kufikia umri fulani.
Kuna wazee wana miaka zaidi ya 60+ wameoa na hawana mafanikio.
Kuna vijana wadogo hawajaoa na wana mafanikio makubwa. Mifano ni kama kina Lamine yamal, Kylian Mbappe na vijana wengine wengi ambao ni unpopular.
Kwanza kuoa sio lazima, na mafanikio ni dhana pana sana haina uhusiano wowote wa kuoa ama kutokuoa.