Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ya kununua chakulaKati ya mke na pesa ya kununua chakula, ni kipi ukikosa utakufa??..
Kujipata hakuna uhusiano na miaka mkuuKuchelewa kuoa ni suala subjective.
Mi naona ukifika 40, huna life, hujaoa hapo ndo umechelewa.
Siku hizi life expectancy imeongezeka, unaoa uko 20+, unateseka na mke miaka 40+, what for?
Oa uko 30 + au 40, kama mnateseka iwe 20 years tu.
Kwanza, kuzaa ukiwa forties tayari ushajipata, watoto wanasoma vizuri, wanaishi kwao, mnaenda vacation, n.k na 20 years later watoto wamegraduate na wewe unastaafu.
Basi tu nimeoa nikiwa 30. Otherwise, ningepiga 40.
Vitoto vya 2000 haviwezi kuelewa hii..Pesa ya kununua chakula
Kila mtu ashinde mechi zakeTusipangiane
Yeah mkuu.💯Kuoa, kutooa, kuwa na mafanikio, kutokuwa na mafanikio, kuoa kwa sababu ya mafanikio, kutooa kwa sababu ya mafanikio, kuoa kwa sababu ya kutokuwa na mafanikio, kutooa kwa sababu ya kutokuwa na mafanikio, kutojielewa umefanikiwa au hujafanikiwa na umataka kuoa au kutooa...
Zote hizo ni haki za kibinadamu za watu kuamua wanavyotaka.
Mtu aoe, asioe, kwa sababu yoyote, au bila sababu, afanikiwe, asifanikiwe, kwa sababu yoyote, au bika sababu, ni haki yake.
Kivyake.
Kwa nini nimfuatilie fuatilie kwenye haki yake ambayo ana faragha nayo binafsi?
Kuoa ni zaidi ya hivyo kataa ndoa wapo sahihiNani aliekuambia kuoa ni hela???una umri Gani wewe?
Airtime Yako ya mwaka mzima ni mahari tosha ya kupata mke
Ukiweka 1000×360 unapata mahali nzuri tu
Labda kama hujatoka familia za kimaskini ambazo unaanza 0 kwenda 100..Kujipata hakuna uhusiano na miaka mkuu