Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

Suala la kuoa lipo kidini zaidi wasio na dini haliwahusu

Kama unataka mtoto wako aoe au aolewe mlee kimazingira ya dini tofauti na hapo unatengeneza kataa ndoa
 
Kujipata hakuna uhusiano na miaka mkuu
 
Yeah mkuu.💯
 
Nani aliekuambia kuoa ni hela???una umri Gani wewe?

Airtime Yako ya mwaka mzima ni mahari tosha ya kupata mke

Ukiweka 1000×360 unapata mahali nzuri tu
Kuoa ni zaidi ya hivyo kataa ndoa wapo sahihi
 
Tatizo siyo kuoa bali tatizo nani wa kumuoa.Focused man and ragtag woman or vice versa inatengeneza hali ya mmoja kuishi kwa kumvumilia mwingine na hivyo sababu ya kuoa inapotea.Nitamwoa kwa sababu nimempenda,nampenda kwa sababu ananifurahisha:kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…