Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Wa
Ulinzi wa anga wa tech utalalaje ? Tech inalala ?? Iranbwako vitani...watalalaje? Low IQ
Waeleze hao washabiki wa vita wa gongolamboto kwao kila kt yanga na simba. Tuseme ukweli uwezo wa vijana wa sk hz ni mdg sn.
 
Unadhani kama wangekuwa macho wangeziacha? Marekani na Mayahudi wananyata hawaendi mchana ndo maana wanatamba ndege zao zinaingia na kutoka iran kama zipendavyo. Waende mchana sasa
Vita yoyote lazima uende kwa tahadhari/kunyata.Kwani ile ya kuhusu kumchinja kobe ambaye hana hata makeke wala sumu haukuambiwa ni timings zaidi?
 
Sasa ndo washambulie vinu vyetu usiku ? Ndo waue viongozi wetu jinsi wanavyojisikia anytime? Inaumiza sana.
Muda huo mlikuwa mnasinzia na midomoni mmejaza mirungi kama majipu hata kushtuana adui kafika sauti haitoki.
NB; Kuhusu vinu,msiwaze sana.Dona kantle Tanzania imewaagizia vinu vingine vipya Tabora na Dodoma.
 
Kweli na wairan muda huu wanaendelea na mazoezi makali ya kuilipua USA hebu mcheki jemedari wa kiirani huyo na ataweza shindana naye
 
Muda huo mlikuwa mnasinzia na midomoni mmejaza mirungi kama majipu hata kushtuana adui kafika sauti haitoki.
NB; Kuhusu vinu,msiwaze sana.Dona kantle Tanzania imewaagizia vinu vingine vipya Tabora na Dodoma.

Sasa nyie makafir hamtaki tulale na tule mirungi? Tutalala sana na mirungi tutakula. Hamtuzuii. Kama mnaweza vita njooni mchana na msiue viongozi wetu, msilipue vinu vyetu. Hatutaki mlete midege yenu Iran
 
Kwani vita inakupangiana muda tena? There's no fixed time for breastfeeding!Kipigo kiendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…