Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran


Hamna kitu hapo. Subiri tuanze ziangusha kama maembe mabovu. Mrussi ashaleta mitambo yake
 
Zina inbuilt anti radar mechanism ambapo adui hawezi kuziona. B-52 Stratofortress has built-in anti-radar mechanisms designed to reduce its detectability and counter enemy air defenses
Hakuna lolote hapo. Sifa za kijinga. Zitaangushwa kama maembe mabovu na mitambo ya kirusi na kichina
 
Kwenda kwa kuvizia ni mbinu mojawapo ya kimedani.
 
Jeshi halipaswi kulala. Kama walilala huo ni uzembe.
 
Iran hana uwezo wa teknolojia wa anga wa kulipua ndege zaidi ya makombora tu.
Anga la Iran ni jeupe tu, unaingia unafanya unachotaka na unatoka salama.
Hao makamanda waliouliwa nani anatoa taarifa kuwa wapo hapo? Iran yenyewe kuna maadui ambao wanatoa taarifa kwa Israel
 
🤣
Umekula lakini?
 

Anga letu lipo salama na mrusi na mchina wanatupa mitambo ya kutisha..
 
Marekani hawana akili na hawana nguvu. Wanavizia wenzao wamepumzika ndo wanaenda shambulia. Marekani hamna kitu kabisa mbwa hawa. Waende mchana sasa au wawaamshe kabla waone cha motom
Hahahahaaaa kweli wairan wameuchapa usingizi waowanavizia, aisee!
Kumbe kuna kuamshana ili mpigane vita!
 
Hata kama haikufanikiwa hivyo vita vinakufaidisha nini wewe mtanzania maskin ???
 
Sio mchana mkuu hiyo b2 bomber haionekani na radar yoyote duniani ni ndege ambayo Haina mkia kwahiyo suala la kuvizia unajidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…