Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #201
This is a weak argument.Kwani Rome, Dubai Tokyo, New York nk no zimejengwa siku moja?
Utawala wake ukiwa na umri wa 15 nchi iliingia vitani, vita ina gharama zake kuiendesha.
Mwanzo wa kuweka msingi/misingi una gharama zake Mwl alipambana na kuweka misingi kwa taifa.
62-24=38, hii miaka 38 warithi wake mmefanya nini ili kusawazisha hayo unayolalamikia?
Kwenye utawala wa mwl amepigana vita dhidi ya Uganda ninyi warithi wake ni vita ipi mmepigana?
Mwl amewasomesha akina BWM, JK, Edo Jasusi mbobevu A.k.a Maembe ili waje kulijenga taifa hao hao aliowasomesha wakaona hawatafanya ufisadi wao Mwl akiwa hai wakaamua kumleftisha,
Wakafanya ufisadi wa kutisha, Richmond na Dowans ,Ascrow, Meremeta nk nk wakabinafsisha mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, viwanda wakaviua halafu unamlau mwl?
Mwl alisema tusomeshe kwanza vijana wetu ndipo gesi na madini yetu tuchimbe,
Mzazi watoto wako umewasomesha kwa kujifunga mkanda, wamemaliza masomo yao badala ya kuiendeleza familia na rasilimali za familia watoto hao hao wanangeuka wahujumu wa rasilimali za familia, hao hao wanamuua mzee wao ili wawe huru,
Hapo mzee ana kosa gani?
Hivi kati ya JK Senior na JK Junior nani aliye lihujumu hili taifa kwa ufisadi wa kutisha?
Au una chuki zako binafsi na mwl?
Mwl angefanya kila kitu?
Mwinyi Senior, Mkapa na huyo mnafiki wa Msg wao unasemaje juu yao?
Msitutoe kwenye ## Mkataba wa DP World na TPA hauna maslahi na taifa letu.
Angola wamekuwa kwenye Civil war since 1975 mpaka 1991 ni miaka mingapi hapo?
Angola ikowapi sasa ukilinganisha na Tanzania?
GDP ya Angola mwaka 2022 ililuwa $124.79 billion. Huku Tanzania tulikuwa kwenye $70B.
Sasa niambie kuhusu Angola ambayo imemaliza vita mwaka 1991 na imetuzidi kwa kila kitu. What is a problem with us?