Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Hospital, zahanati na madarasa pamoja na barabara zilijojengwa kipindi cha miaka 2015- 2025 yataitwa ya kassimu Majaliwa?
Majliwa hakuwa na dream ya hayo unayoyasema. Lowassa alisema hadharani na kupambania bungeni. Wabunge wengi mbumbumbu walikuwa wakimcheka.
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Tatizo la nchi yetu ni ubaguzi, kama wewe umemtaja Lowasa badala ya kusema Kikwete, kwanini umezinguka mbuyu? Jibu ni ubaguzi. Elimu iliwekwa kwa misingi ya ubaguzi, Leo tunapotaka kuitetea jambo la kitaifa tunahitaji tuwe na uelewa wa pamoja, ila Kuna kundi kubwa la watu wanaachwa nyuma kwenye uelewa, ndio hao wanatumika kama mtaji wa walafi. Kwahiyo tatizo ni ubaguzi. Tanzania haiwezi kuwa nchi ya ulimwengu wa kwanza Hali yakuwa Kuna wananchi wa daraja la tatu.
 
Upande wa katiba tunaweza kumlaumu.

But anamambo yake mazuri ambayo tukiyapima hakuna mwingine aliefuata ana weza mfikia

Nayo ni uadilifu kama kiongozi, uzalendo, Uchapa kazi, nk

Imagine alikataa watu wasichimbe madini kisa tu hatuna watz wenye elimu ya kutosha kutusaidia kusimamia hili zoezi. Akaendesha nchi kwa kilimo cha pamba na karafuu

Jamaa alikua mtu wa style yake
Yaani wanamlaumu mtu ambaye ametawala kwa miaka 24 tu, tena kutokea pasipo na kitu.
Maana sheria nyingi tunazotumia zilitungwa kipindi chake. Sheria kama ya ndoa, serikali za mitaa,, hifadhi za wanyama na misitu, ardhi, usalama wa barabarani.
Yeye hana deni kwa Tanzania 🇹🇿, maana alifanya aliyoweza. Wenye madeni makubwa kwa waTanzania ni wale ambao wametawala baada yake kwa karibu miaka 40. Maana hao walikuta misingi iliyoachwa na mwalimu.
 
Warusi wanaongea Kirusi, wachina wanaongea kichina kwanini sisi kuongea kiswahili ionekane ni kosa
Hao wote unaowaongelea ni whites kimsingi tunatofutiana sana . Tunachofanana labda ni unafiki maana nchi zote zenye mifumo ya ujamaa. unadfiki ni kama bonus package .
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Bangi nyingi zikiingia kwenye ubongo huharibu mifumo ya kufikiri.
Hilo ndilo jibu ninaloweza kukufahamisha hapa harakaharaka kuhusu andiko lako hili.

Najua utakuja na papara hapa kukana haya niliyo andika hapa kukuhusu wewe. Hiyo ni haki yako, lakini haibadili chochote kuhusu ubovu wa andiko uliloweka hapa. kutokana na kuharibikiwa akili.

Ili usinichukulie mimi kuwa mvuta bangi kama wewe, ngoja nikueleze hili ili ulifahamu vizuri wakati bangi zinapopungua kichwani mwako: Katika yoooote uliyoandika humo kwenye bandiko lako, hakuna hata moja lililo na ukweli ndani yake. Umejiandikia tu kadri ya mambo yalivyoingia akilini mwako.
 
Mzee upo nje ya mada.
Je, umesoma tunachoongelea hapa. Je, unaweza kujikita kwenye mada kulikko kujiaibisha hivi?
 
Nimepoteza muda wangu kusoma takataka ile uliyoweka hapo.
Bahati nzuri, mimi ni msomaji wa haraka sana, imenichukua dakika tatu nilizopoteza pale.

Naomba usiendelee kunipotezea muda wangu na upuuzi unaokusumbua hapa.
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Siufahamu vizuri umri wako lakini Mwalimu Nyerere alipambania elimu kuliko kitu kingine chochote.

Tulisomeshwa bure na nakumbuka pale forodhani sekondari wakati nikiwa shule ya msingi walikuwa na mpaka sehemu ya kanteen kwa ajili ya chakula cha wanafunzi.

Tulikuwa tunapewa vitabu vya bure, na vilipatikana kwa wingi pale katika duka la Elimu Supplies. Mwalimu alipambana sana na sidhani kama ni vyema kila baya kumtupia yeye.

Aliondoka ikulu mwaka 85 imepita miaka 38, tumefanya nini kuanzia alipoiacha nchi mpaka leo hii?

Wamepita marais wanne tangu alipoondoka ikulu, wamefanya kipi cha maana katika kuendeleza elimu ya nchi?.
 
Huyu ndio rais aliyeweza kulinda rasilimali zanchi kama leo hii rais ndani ya miaka 2 tu kashauza kila kila kitu tukimpa miaka 20 hii nchi itakuwa sio yetu tena tutarudi kwenye ukoloni
Uwekezaji ili upatikane ufanisi ni tofauti kabisa na uuzaji. Analeta mwekezaji ili atuchangamshe pale TPA, tuondokane na kufanya kazi kwa mazoea.
 
Huyu huyu Nyerere alilea Dini yake ya ukatoliki kwa kukandamiza madhehebu mengine ya kikristu, mpaka wakatoliki wanajiona wana steki kubwa kufanya uamuzi zaidi ya dini zingine kuhusu serikali, kimya kimya alikua ana promote ukatoliki serikalini kwa kuwapa vyeo mbali mbali na huku nje anaonyesha iko sawa kwa wote, Nyerere alikua Mdini wa chini chini.
Aliweka mazingira ya usawa katika kutafuta elimu, nilisoma na waislam wengi sana na hata hawa wahusika wote wa suala la bandari ni waislam, alisomesha sana kwani aliziona siku hizi za sasa na changamoto zote zinazotusumbua.
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Uongo. Tuna miaka zaidi ya 35 bila nyerere.

Tatizo ni uafrica wetu utamlaumu mzee wa watu bure
 
Mzee kuacha madini kisha kuacha taifa lisilo la elimu ya kuyachimba hayo madini tuite ni nini hiyo?

24yrs umeshindwa kusomesha watu wako waweze kuwa na utaalam wa madini tunaita ni faida? Ilimshinda nini kujenga vyuo kila mkoa na ndanj yake wanafundisha taaluma ya madini? Kwanini aliweza kujenga viwanja vya mpira kila mkoa?

Ukweli ni kwamba elimu haikuwa kipaumbele kwake.
Kwahiyo ulitaka Nyerere afanye kila kitu?

Ili wewe na baba yako mbaki kupanda juu ya meza kunywa konyagi na kucheza amapiano tu??

Kwasababu naona ulitaka matatizo yote ya Tanzania ni Nyerere tu alitakiwa kuwa ameyamaliza.
 
Siyo kweli...mzee Nyerere katengeneza mfumo wa elimu
Hawa akina Mwina na Mkapa ndio kivuruge
 
Nimepoteza muda wangu kusoma takataka ile uliyoweka hapo.
Bahati nzuri, mimi ni msomaji wa haraka sana, imenichukua dakika tatu nilizopoteza pale.

Naomba usiendelee kunipotezea muda wangu na upuuzi unaokusumbua hapa.
Basi sawa.
 
Siufahamu vizuri umri wako lakini Mwalimu Nyerere alipambania elimu kuliko kitu kingine chochote.

Tulisomeshwa bure na nakumbuka pale forodhani sekondari wakati nikiwa shule ya msingi walikuwa na mpaka sehemu ya kanteen kwa ajili ya chakula cha wanafunzi.

Tulikuwa tunapewa vitabu vya bure, na vilipatikana kwa wingi pale katika duka la Elimu Supplies. Mwalimu alipambana sana na sidhani kama ni vyema kila baya kumtupia yeye.

Aliondoka ikulu mwaka 85 imepita miaka 38, tumefanya nini kuanzia alipoiacha nchi mpaka leo hii?

Wamepita marais wanne tangu alipoondoka ikulu, wamefanya kipi cha maana katika kuendeleza elimu ya nchi?.
Ndugu yangu unabahati sana kusoma.
Kipindi chake hiyo elimu ilikuwa bahati haikuwa haki ya mwananchi.

Nasema hivi mpaka anaondoka kuna mikoa mingi tu ilikuwa haina hata shule moja ya sekondari.

Je, sababu ilikuwa ni nini?
 
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.

Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI

Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.

Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?

Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?

Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?

Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.

Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.

Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.

Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.

Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.

Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.

Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.

Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.

Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Lowassa walijenga shule za kata Kila kata akiwa kama nani?
Huyo Nyeterebunayemsema alijenga ofisi za Chama na viwanja vya mpira je, yeye hakuwà na waziri mkuu?
Shule za kata zilikengwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete na sio E. N. Lowassa.
Kama kule Rais alijenga lakini huku waziri mkuu kajenga! Rekebisha hapo kwanza vinginevyo andiko lako lifutwe.
 
Back
Top Bottom