Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

This is a weak argument.
Angola wamekuwa kwenye Civil war since 1975 mpaka 1991 ni miaka mingapi hapo?

Angola ikowapi sasa ukilinganisha na Tanzania?
GDP ya Angola mwaka 2022 ililuwa $124.79 billion. Huku Tanzania tulikuwa kwenye $70B.

Sasa niambie kuhusu Angola ambayo imemaliza vita mwaka 1991 na imetuzidi kwa kila kitu. What is a problem with us?
 
Ninyi watoto na wajukuu zake mmebadilisha kwenye hiyo katiba?
Zaidi sana KJ Junior alistahili kushitakiwa kwa kutumia mabilioni ya hela kwenye mchakato wa katiba mpya 2014 halafu akaufelisha mwenyewe,
 
upewe mic nahisi saut bado
 
Dah! We jamaa, huyo ni mtukufu kwa wakatoliki. Huwa hasemwi vibaya...
 
Huyu ndio rais aliyeweza kulinda rasilimali zanchi kama leo hii rais ndani ya miaka 2 tu kashauza kila kila kitu tukimpa miaka 20 hii nchi itakuwa sio yetu tena tutarudi kwenye ukoloni
Haya ndiyo matokeo mabovu ya Nyerere kuwanyima elimu wabongo.Yaani unajazw ujinga eti nchi inauzwa,na wewe unaamini!
 
Tatizo lipo kwa warithi na si kwa waasisi,
Warithi baada ya kuona mapungufu yanayowakabili rekebisheni.
 
Kambona was a visionary leader, akapigwa uhaini.... tukamzomea.!
 
Kweli Taifa halijengwi siku moja, lkn ndo ukae madarakani miaka 24 unaacha baadhi ya mikoa haina sekondari hata moja kweli! Au mkoa mzima sekondari 2!!
 
Tatizo lipo kwa warithi na si kwa waasisi,
Warithi baada ya kuona mapungufu yanayowakabili rekebisheni.
Sasa ndipo tunarudi kwenye point. Nyerere alishindwa kuwa good succession plan kutokana na kuwanyima watanzania elimu.

Haiwezekani ukang'atuka tu kizembe kizembe na kuiacha nchi bila mfumo thabiti wa elimu.

Alishindwa kutengeneza viongozi badala yake alitengeneza machawa. Watu wenye elimu waliompa changamoto aliwamaliza.
 
Mwl alishatangulia mbele ya haki 24 iliyopita, je mtaendelea kumlaumu hadi lini?
Mtachukua hatua zipi au mtaendelea kutengeneza connection ya kufanya upigaji kwenye rasilimali za taifa badala ya kuwaendeleza watu ili walijenge taifa?
India wanashindana na Urusi kwenda kwenye Sayari nyingine, Watawala Tanzania wanasema watanzania hawawezi kuendesha Bandari.
 
Hivi lowassa alitawala mwaka gani naomba unikumbushe mkuu, naona kila post" kama alivyofanya lowassa" " kama lowasa alivyojenga madarasa na shule kila kata" hivi hapa unamuongelea lowassa gani?
 
Usimlaumu Nyerere,

Wavaa kobazi wengi Huwa hawajishughulishi na ilimu Dunia!!
 
Hivi lowassa alitawala mwaka gani naomba unikumbushe mkuu, naona kila post" kama alivyofanya lowassa" " kama lowasa alivyojenga madarasa na shule kila kata" hivi hapa unamuongelea lowassa gani?
Mzee shule za kata zilizojengwa nchi nzima zinaitwa shule za Lowassa.
 
Usimlaumu Nyerere,

Wavaa kobazi wengi Huwa hawajishughulishi na ilimu Dunia!!
Shule za msingi na sekondari zingejengwa kila kijiji, hakika kila mtanzania angekuwa na elimu.
 
Mzee shule za kata zilizojengwa nchi nzima zinaitwa shule za Lowassa.
Isingekuwa njozi ya Lowasa shule za Kata , hii inch ingekuwa na Hali mbaya zaidi ya ilipo hapa , Taifa hili Lina wapumbavu na wajinga wengi , majitu yameishia la Saba , form two , au form four, sio rahs kutambua wajibu wa serikali , jitu likipata sent mbili tatu linaanza kutukana wasomi
 
Shule za msingi na sekondari zingejengwa kila kijiji, hakika kila mtanzania angekuwa na elimu.
Nyerere asilaumiwe, ametutoa mbali,

Na Elimu ilikuwa Bora sana,

Saizi shule kibao Elimu IPO chini, watoto wanashindishwa njaa Hadi jioni hata uji hamna!!
 
Ila hizo shule huku mikoani zinafahamika kama shule za kata hata huyo lowasa watoto wa miaka ya 2000 hawamjui.
 
Ukweli mchungu sana mtikila alisema unyani ni tatizo la waafrika
 

Yaani mpaka na uzee huu. Bado mnamlaumu mtu ambaye alikufa karibu miaka 25 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…