Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #221
Majliwa hakuwa na dream ya hayo unayoyasema. Lowassa alisema hadharani na kupambania bungeni. Wabunge wengi mbumbumbu walikuwa wakimcheka.Hospital, zahanati na madarasa pamoja na barabara zilijojengwa kipindi cha miaka 2015- 2025 yataitwa ya kassimu Majaliwa?
Tatizo la nchi yetu ni ubaguzi, kama wewe umemtaja Lowasa badala ya kusema Kikwete, kwanini umezinguka mbuyu? Jibu ni ubaguzi. Elimu iliwekwa kwa misingi ya ubaguzi, Leo tunapotaka kuitetea jambo la kitaifa tunahitaji tuwe na uelewa wa pamoja, ila Kuna kundi kubwa la watu wanaachwa nyuma kwenye uelewa, ndio hao wanatumika kama mtaji wa walafi. Kwahiyo tatizo ni ubaguzi. Tanzania haiwezi kuwa nchi ya ulimwengu wa kwanza Hali yakuwa Kuna wananchi wa daraja la tatu.Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Yaani wanamlaumu mtu ambaye ametawala kwa miaka 24 tu, tena kutokea pasipo na kitu.Upande wa katiba tunaweza kumlaumu.
But anamambo yake mazuri ambayo tukiyapima hakuna mwingine aliefuata ana weza mfikia
Nayo ni uadilifu kama kiongozi, uzalendo, Uchapa kazi, nk
Imagine alikataa watu wasichimbe madini kisa tu hatuna watz wenye elimu ya kutosha kutusaidia kusimamia hili zoezi. Akaendesha nchi kwa kilimo cha pamba na karafuu
Jamaa alikua mtu wa style yake
Unaona sasa ?? Mimi nimewahi kuwa rais?Yeye alijitahidi japo kulipambania taifa hili, je wewe umefanya Nini mpaka Sasa? Compare and contrast.
Hao wote unaowaongelea ni whites kimsingi tunatofutiana sana . Tunachofanana labda ni unafiki maana nchi zote zenye mifumo ya ujamaa. unadfiki ni kama bonus package .Warusi wanaongea Kirusi, wachina wanaongea kichina kwanini sisi kuongea kiswahili ionekane ni kosa
Bangi nyingi zikiingia kwenye ubongo huharibu mifumo ya kufikiri.Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Mzee upo nje ya mada.Bangi nyingi zikiingia kwenye ubongo huharibu mifumo ya kufikiri.
Hilo ndilo jibu ninaloweza kukufahamisha hapa harakaharaka kuhusu andiko lako hili.
Najua utakuja na papara hapa kukana haya niliyo andika hapa kukuhusu wewe. Hiyo ni haki yako, lakini haibadili chochote kuhusu ubovu wa andiko uliloweka hapa. kutokana na kuharibikiwa akili.
Ili usinichukulie mimi kuwa mvuta bangi kama wewe, ngoja nikueleze hili ili ulifahamu vizuri wakati bangi zinapopungua kichwani mwako: Katika yoooote uliyoandika humo kwenye bandiko lako, hakuna hata moja lililo na ukweli ndani yake. Umejiandikia tu kadri ya mambo yalivyoingia akilini mwako.
Nimepoteza muda wangu kusoma takataka ile uliyoweka hapo.Mzee upo nje ya mada.
Je, umesoma tunachoongelea hapa. Je, unaweza kujikita kwenye mada kulikko kujiaibisha hivi?
Siufahamu vizuri umri wako lakini Mwalimu Nyerere alipambania elimu kuliko kitu kingine chochote.Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Uwekezaji ili upatikane ufanisi ni tofauti kabisa na uuzaji. Analeta mwekezaji ili atuchangamshe pale TPA, tuondokane na kufanya kazi kwa mazoea.Huyu ndio rais aliyeweza kulinda rasilimali zanchi kama leo hii rais ndani ya miaka 2 tu kashauza kila kila kitu tukimpa miaka 20 hii nchi itakuwa sio yetu tena tutarudi kwenye ukoloni
Aliweka mazingira ya usawa katika kutafuta elimu, nilisoma na waislam wengi sana na hata hawa wahusika wote wa suala la bandari ni waislam, alisomesha sana kwani aliziona siku hizi za sasa na changamoto zote zinazotusumbua.Huyu huyu Nyerere alilea Dini yake ya ukatoliki kwa kukandamiza madhehebu mengine ya kikristu, mpaka wakatoliki wanajiona wana steki kubwa kufanya uamuzi zaidi ya dini zingine kuhusu serikali, kimya kimya alikua ana promote ukatoliki serikalini kwa kuwapa vyeo mbali mbali na huku nje anaonyesha iko sawa kwa wote, Nyerere alikua Mdini wa chini chini.
Uongo. Tuna miaka zaidi ya 35 bila nyerere.Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga nchi na kuwapatia elimu watanzania alikuwa na misemo tu, kuongea majukwaani tu bila vitendo.
Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kujenga shule za msingi kila kijiji kwa miaka yote hiyo 24 badala yake akajenga ofsi za chama kila kijiji?
Je, kitu gani Mwalimu Nyerere kilimshinda kwa miaka 24 kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya badala yake alijenga viwanja vya mpira wa miguu?
Lowassa aliweza kujenga shule za secondary kila kata. Je, Mwalimu Nyerere kitu gani kilimshinda kwa miaka 24 kujenga Shule hizo?
Tunaweza kutafuta mchawi wa taifa letu. But kusema kweli Nyerere alitukosea sana watanzania.
Nadhani Mwalimu Nyerere alikuwa na mentality za utawala wa kifalme ambao hauna malengo.
Tunaona mataifa mengi yaliyowekeza kwenye elimu alivyopiga hatua.
Yeye Mwalimu Nyerere hakuwa na nia kabisa ya watanzania wengi kupata elimu. Wakati wa Mwalimu Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya Mtanzania.
Taifa lisilokuwa na elimu haliwezi kujiendesha vizuri, litabaki kuwa ombaomba tu.
Sisi kama Taifa ni lazima tujue tulipoangukia, tukainuke na kusonga mbele. Bado hatujachelewa.
Tanzania tupo na vijiji na mitaa isiyozidi 20,000. Kwani alishindwa nini kuchukua kila kijiji vijana 10 na kuwapeleka kusoma nchi za nje? Vijana 10 kila kijiji maana yake ni watanzania 200,000 tu.
Yaani angechukuwa wanawake 5 na wanaume 5.
But uwezo alikuwa nao wa kufanya hivyo.
Nitaendelea kueleza machungu yangu haya kwenye uzi huu ili tujue wapi tulipoangukia tukainuke na kusonga mbele...
Kwahiyo ulitaka Nyerere afanye kila kitu?Mzee kuacha madini kisha kuacha taifa lisilo la elimu ya kuyachimba hayo madini tuite ni nini hiyo?
24yrs umeshindwa kusomesha watu wako waweze kuwa na utaalam wa madini tunaita ni faida? Ilimshinda nini kujenga vyuo kila mkoa na ndanj yake wanafundisha taaluma ya madini? Kwanini aliweza kujenga viwanja vya mpira kila mkoa?
Ukweli ni kwamba elimu haikuwa kipaumbele kwake.
Basi sawa.Nimepoteza muda wangu kusoma takataka ile uliyoweka hapo.
Bahati nzuri, mimi ni msomaji wa haraka sana, imenichukua dakika tatu nilizopoteza pale.
Naomba usiendelee kunipotezea muda wangu na upuuzi unaokusumbua hapa.
Ndugu yangu unabahati sana kusoma.Siufahamu vizuri umri wako lakini Mwalimu Nyerere alipambania elimu kuliko kitu kingine chochote.
Tulisomeshwa bure na nakumbuka pale forodhani sekondari wakati nikiwa shule ya msingi walikuwa na mpaka sehemu ya kanteen kwa ajili ya chakula cha wanafunzi.
Tulikuwa tunapewa vitabu vya bure, na vilipatikana kwa wingi pale katika duka la Elimu Supplies. Mwalimu alipambana sana na sidhani kama ni vyema kila baya kumtupia yeye.
Aliondoka ikulu mwaka 85 imepita miaka 38, tumefanya nini kuanzia alipoiacha nchi mpaka leo hii?
Wamepita marais wanne tangu alipoondoka ikulu, wamefanya kipi cha maana katika kuendeleza elimu ya nchi?.
Lowassa walijenga shule za kata Kila kata akiwa kama nani?Nawasalimu wanaJF.