Matatizo ya Waafrika kwa Asilimia 60 yanafanana ndio maana Africa karibia yote tu inafanana, acha kupoteza muda kum single out Nyerere.Nimekuuliza Nyerere alifanyia nini Tanzania kwa miaka 24? Je, Tanzania imewahi kupewa sanctions nyingi ka alizopewa NK?
Naomba usiende nje ya mada. Jikite kwenye mada.
HakikaWaliokuja baada ya Nyerere ndio walioiharibu hii Nchi !!
Nyerere alikataa madini yasichimbwe mpaka wenyewe wenye Nchi waelimike na kujua thamani zake ndio yaje yachimbwe,
Lakini badala yake kila mtu anajua nini kilitokea !! 3% !!!!!!
Mada yako inahitimisha kuwa Nyerere hakuna alichotufanyia Nchi hii,ameturudisha nyuma sanaa,Kama ni mtu wa kusoma historia vizuri. Mwalimu Nyerere alikuwa na shida kubwa ya uoga. Nawaomba muende mkasome historia ya Bi. Fatima Matola, namna alivyopigania uhuru wa Tanganyika.
Tena issue ya ukabila tusiliongelee kabisa hapa tuongelee namna Mwalimu alivyo fail kujenga taifa la wasomi. Na je, tufanye nini sasa kuanzia hapa tulipo?
Mimi sijawahi kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania. Ningepata nafasi hiyo hakika ningetengeneza Taifa la wasomi.
Unaweza ukaongea kwa kutoa mifano? Elimu ipi ilitolewa kipindi hicho? Niambie shule ngapi za msingi zilijengwa wakati wa Nyerere?Mada yako inahitimisha kuwa Nyerere hakuna alichotufanyia Nchi hii,ameturudisha nyuma sanaa,
Wachangiaji wanakujibu mambo aliyoyafanya kwa Nchi hii,unarudi tena eti tuongelee Elimu tu.
Kuna uwezekano mkubwa hata hapo kwenye elimu,bado elimu iliyotolewa kipindi hicho ilikuwa bora na nzuri kuliko hata sasa
Nikumbukwe na nani ?
Ndugu yangu kitabu hicho ninacho Nyumbani na ninakisoma kila wakati. Kitabu hicho kiliandikwa mwaka 1962 wakati Nyerere akiwa madarakani mwaka mmoja tu.Soma kitabu cha tujisahihishe kasema yote alipofeli na sababu za kwanini alifeli acha kutupa lawama hovyo.
Hii mada niliona niipite tu kwakuwa kuanzia mtoa mada na wachangiaji wengi bado wako kwenye "Kati ya pesa na elimu, kipi bora" debate mode ki-primary zaidi.Yani watu hamtaki ku accept failures zenu, mnafanya blame shifting
Hata wabakaji maarufu,wauaji, wezi,watukutu n.k nao wanakumbukwa, tumia kichwa chako kufikiri sio kufugia nywele tu.Kwasababu huna faida na nchi hii zaidi ya kulalamikia waliokufa,Nyerere alifanya kwa sehemu yake.
Mzee bado hujaongelea chochote hapa. Kuhusu elimu. Hapa unataka kuhamisha mada.Hii mada niliona niipite tu kwakuwa kuanzia mtoa mada na wachangiaji wengi bado wako kwenye "Kati ya pesa na elimu, kipi bora" debate mode ki-primary zaidi.
Pamoja na wao kujisahaulisha UHALISIA lakini pia ni kana kwamba wamegoma kutumia uwezo wao wa kufikiri AU wanafikiri based on what they have seen already.
Ukiwapanga kwa UPIGAJI kazi uliotukuka katika nchi hii, wenye uzalendo na uwajibikaji, dhamira safi ya kuisogeza nchi mbele, basi listi itakuwa
1. JKN
2. JKN
3. JKN
4. JKN
5. Sokoine
6. Sokoine
7. JPM
8. JPM
9. JPM
10. BWM
Nyerere alikuwa mbishi kupindukia mbaya zaidi alikuwa mjinga pasipo kujua dunia inaenda vipi kwa wakati wake.Alikuwa na maono ila tu viongozi aliowaweka kusimamia sera zake hawakumwelewa. Wengi walimuangausha. Wakati wake shule za ufundi zilikuwa vizuri kuliko Leo, viwanda vya umma vilikuwa vizuri ila tu wahujumu nao walikuwa kazini. Alijitahidi sana ila alishindwa kuipa lugha ya malkia kipaumbele kama wenzetu majirani.
Mwalimu aliacha viwanda vingi, ndege,treni,mabenki na shughuri nyingi zilizokuwa zinaendelea,in between tumekuwa na viongozi wabinafsi kiasi wanaacha treni ife wasafirishe mizigo kwa malori yao na abiria Kwa mabasi Yao,shida ya mwalimu ni kufanya uchaguzi wa kura kutokuwa na maana na nguvu iliyokusidiwa.Ukweli mchungu ,pro ujamaa watakuja kukuambia eti mwalimu aliacha Mali nyingi za umma.
Nataka nikuongezee jambo hapa.Nyerere alikuwa mbishi kupindukia mbaya zaidi alikuwa mjinga pasipo kujua dunia inaenda vipi kwa wakati wake.
Alishauriwa na watu wengi ndani ya chama na nje ya chama, ndani ya nchi na nje ya nchi lakini alikomaa na ujinga wake mpaka ukafeli mikononi mwake aliishia kuwaona wabaya wote waliomshauri aachane na ujinga wake.
Magufuli alikuwa second version ya Nyerere kwenye ubishi wa kijinga
Tuambie sasa aliacha shule ngapi za msingi?Mwalimu aliacha viwanda vingi, ndege,treni,mabenki na shughuri nyingi zilizokuwa zinaendelea,in between tumekuwa na viongozi wabinafsi kiasi wanaacha treni ife wasafirishe mizigo kwa malori yao na abiria Kwa mabasi Yao,shida ya mwalimu ni kufanya uchaguzi wa kura kutokuwa na maana na nguvu iliyokusidiwa.
Wewe mwenye mada nadhani haumlaumu Nyerere bila uthibitisho,naona unakomaa na swali la alijenga shule za msingi ngapi? Bila shaka kabla ya kuleta mada ya kumlaumu kuhusu elimu,utakuwa umeshafanya utafiti ni shule ngapi alijenga.Unaweza ukaongea kwa kutoa mifano? Elimu ipi ilitolewa kipindi hicho? Niambie shule ngapi za msingi zilijengwa wakati wa Nyerere?
Unataka kujua idadi ya wasomi kutoka kwenye kipindi chake au ubora wa wasomi waliopatikana kwenye kipindi chake?Mwalimu Nyerere alikaa kwenye uongozi miaka 24. Alilifanyia nini taifa hili kuhusu Elimu?