binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Ndio vizuri uliopaswa kushangilia maana atahukumiwa kunyongwa mpaka kufa.Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Maarifa yapite wapi? Mahakamaccm ya mama, Polisiccm wa mama, Jajiccm wa mama, hakimuccm wa mama karaniccm wa mama, hakuna mahakama huru, sasa kila kitu ni mali ya mama mpaka muungano ufe Tanganyika ipate uhuru ndipo itajinasua toka mikononi mwa nyinyi ibirisi wa ccm na mama iddy Amin Dada mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibarwalisahau kwamba maarifa na mipango ni kitu muhimu zaidi kuliko mawakaili30
ibirisi wa ccm wanawazuia mawakili wa Lusu kuongea na mteja wao kisha yanakuja na porojoCCM mnaona watu wenu? Kwenye dawati
la siasa hamjawaelekeza ni kwanini Lissu ameamua kujitetea mwenyewe?
Hopeless.
mropokaji kujitetea ni kurefusha mwenendo wa kesi.Maarifa yapite wapi? Mahakamaccm ya mama, Polisiccm wa mama, Jajiccm wa mama, hakimuccm wa mama karaniccm wa mama, hakuna mahakama huru, sasa kila kitu ni mali ya mama mpaka muungano ufe Tanganyika ipate uhuru ndipo itajinasua toka mikononi mwa nyinyi ibirisi wa ccm na mama iddy Amin Dada mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar
Shangaa hebu!ibirisi wa ccm wanawazuia mawakili wa Lusu kuongea na mteja wao kisha yanakuja na porojo
Chuma kimeingia mzigoni, shetani Samia alaaniwe mileleKuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Si ndio vizuri ili aendelee kukaa ndani?mropokaji kujitetea ni kurefusha mwenendo wa kesi.
jambo dogo tu la kuelezea dk2 yeye anaeleza dk55
Nikiona mwanaume anaandika x badala ya s najua kipa kashatoka golini siku nyingi..Huo ndio ukweli invoice zaohaxijalipwa wala sio siri
Wanabaki tu pale eeeh eeeh! unaseemaa?mbwa wale na wana wake kbsa wamewaacha nyumbani?shame!Ngoja awachachafye - hiyo ndiyo Lissu. Leo katoa lecture adimu sana mahakqmani hadi mawakili wa Serikali wakabakia midomo.wazi.
Sawa afisa doriaKuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Kwani ameonekana mjini anamung'unya Pemba mkuu?Ww ni mwanadada?
Ukiitwa kima utalalamika?Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama mawakili 200 wameshindwa kwa mawakili wawili tu tena wenye uelewa mkubwa na masuala ya kisheria utaweza wewe peke ako, huu mchezo hauhitaji hasira bro, wapo vijana mahiri ndani ya serikali wenye uwezo wa kupambana na mawakili 900 wanaokutetea na hawana presha wala nini
Eti oooh serikali haina mawakili wazuri, mbona wameingia mitini wenyewe.Huna hela ya kuwalipa, period
Atakua mnyiha uyuWewe kama siyo Mnyiha utakuwa ni Msafwa
mbona jamaa walijitolea hayo malipo yanakuja vipi mkuuHuo ndio ukweli invoice zaohaxijalipwa wala sio siri
Mawakili waliojitolea utashimdwaje kuwalipa wewe nazi?Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe