Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

Unaanzisha uzi kwa kiherehere wakati hauna ufahamu wa ulichokiandika? Ngedere ni ngedere tu hata akiigiza anasoma gazeti.
 
Sasa kama Chadema imeshindwa kuwalipa, walienda mahakamani kufanya nn?? kamudanganye mama ambae hakusoma!!
 
ila najua Lisu inaweza kumcost kujitetea, legal presentation mahakamani inahitaji research, akiwa gerezani hapati huo muda wa kuperuzi sheria na maamuzi mapya, itamcost.
 

..kwa taarifa yako kwa kesi yenye uzito kama ya uhaini, Lissu ana haki ya kupewa mawakili na serikali.

..kwa hiyo ni suala la Lissu tu kusema anahitaji utetezi na hana uwezo wa kulipa, serikali itawajibika kumkodia mawakili.

..washtakiwa ktk kesi ya uhaini ya mwaka 1983 walikodiwa mawakili na serikali kama ambavyo sheria zinaelekeza.
 
Umeandika Nini Sasa,
Mawakili wanaelekezwa Nini Cha kufanya.kuwa msomaji tu,sio lazima uandike
 
Another hallucinations
 
mawakili waliokuwa wanaongea ninwawili tu, wengine walikuwa pale kuuza sura, hizo nafasi bora wakae akina henche na genge lake, kumbe liveshow noma sana, kesi ingekuwa chemba tungelishwa matango pori kinoma
 
walisahau kwamba maarifa na mipango ni kitu muhimu zaidi kuliko mawakaili30

Hakuna na haitokea mumshinde Lissu na kesi mtaifuta mkitaka msitake na utakuja humu kulalamika kwasababu serikali yako haina akili kama wewe. Lissu ameamua kujitetea mwenyewe kutokana na serikali kutokana kuweza kuonana na mawakili wake huku ikivunja sheria kwa Mahabusu. Furahieni dhulma na ipo siku mtailipa hiyo kwa njia yoyote ile. $amia will dei soon make my words.
 
Mimi sio mshabiki wa Lissu na sijawahi mshabikia, lkn nikiri tu huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana ambao watanzania hata asilimia 0.0001 hatumfikii.
Huyu jamaa katika miaka hii amekua ndo nembo ya ujasiri dhidi ya serikali, uovu, upindishaji wa sheria, uchafu wote - Jamaa sio mnafiki, anakuchana kama hakujui vile: Kama alimkazia Magufuli hawa wengine hawamuwezi.
Huyu jamaa ni nembo ya Haki Tz..ataingia kwenye historia ya nchi yetu kama mmoja wa wapigania haki na wazalendo hasahasa, ni vile amekosa support ya wananchi..lkn VITA KAVIPIGANA - APEWE MAUA YAKE.
Kwa umashuhuri wake angekuwa mbinafsi angenunuliwa na serikali akala bata mpaka kifo chake..na familia yake.
Huyu jamaa kalipia kila kitu - ata akipata URAIS ni haki yake kabisa, kajitoa na kuwekeza kwa jasho na damu muda mrefu.
 
Hii ndagu kumbe bado ipo
 

Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    109.8 KB · Views: 15
300,600,900,200 Kipi ni kipi lissu kakuvurugaa vibaya kuwa wakili kwa kesi ya lissu ni CV hiyo
Huwezi jifananisha na ww kajamba nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…