Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

Chris Brown alikataa sababu ya kuepuka matatizo na watu wanaomezeshwa ukizingatia image yake ilichafuka sana baada ya kumchapa Rihanna. Alikuwa anaonesha heshima.
 
50 Cent huyuhuyu anayeamini kwamba Eminem ni mkali kuzidi kina Rakim, Ll Cool J na KRS One ? 🀣🀣🀣

Mzee umezaliwa lini wewe ?​
Acha ushamba kuzaliwa lini hakukufanyi uwe na maarifa. IQ yangu mimi ni kubwa ndio maana nna uwezo wa kufikria na kufanya analysis simezeshwi kitoto.

Tafuta clip za MJ akiwa stejini na CB akiwa stejini tuanzie hapo kabla atujaenda kwenye uimbaji na mengine
 
Chris Brown alikataa sababu ya kuepuka matatizo na watu wanaomezeshwa ukizingatia image yake ilichafuka sana baada ya kumchapa Rihanna. Alikuwa anaonesha heshima.
Mkuu ukali wa mtu haujifichi, angekua anamzidi MJ wala kusingekua na ubishani.

MJ ni namba nyingine ile mzee labda tu wewe ni mnazi wa Chriss Brown.

Huku Africa mambo ya kumpiga Rihana wala hatuyapi uzito kiivo basi angesifika sana huku.

MJ pamoja na kumchafua kua alikua anachapa miti vitoto ila bado heshima yake haifutiki kirahisi.
Na hapaishwi kindezi ..

Your browser is not able to play this audio.
 
Chris Brown talent yake ni kubwa sana mj hagusi, anachozidi ni kuchonga pua awe kama mzungu
Unajua albam ya Thriller ilitoka mwaka gani? Basi hadi leo hiyo albam ndiyo inashikilia rekodi ya mauzo ya nakala nyingi.

Kwa kawaida watu huwa hawanunui kwa wingi albam yenye nyimbo mbaya, ndiyo maana hiyo rekodi imeendelea kusimama hadi leo.

Ova
 
Naona watu wanamfananisha pele na ronadihno,maradona na messi.kila mmoja ni bora katika era yake. vijana wa sasa wa kizazi kipya huwezi kuwashawishi eti MJ ni bora kuliko Chris brown na kinyume chake ni sahihi.kila flavour ina wakati wake na mtu wake.MJ alikuwa mkali enzi zake na wakati wake ushapita na mfalme kwa sasa ni Chris brown
 
Kwenye muziki hakuna mfalme wa milele huko ni kulishana upepo,labda umri ungekuwa hausogei kwamba ukiwa kijana basi utaendelea kuwa kijana milele.Kizazi kimoja kinapita kinakuja kingine na kila kizazi cha muziki kinakuwa na mfalme wake
 
Chris Brown πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Attachments

Mimi ilitokeaga tu kukubali kazi za dogo breeze
Nikajajua kumbe tumeshare same birthday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…