Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva

The ends is near [emoji16][emoji16]
 
Waulize wao wangekuwa ni wasanii nakupata hayo mafanikio waliyo nayo bila ya watu kama p funky kuhakikisha kwamba Wana simamisha mziki wa bongo fleva nchini !?
 
WCB ina wasanii wangapi tuonaowatumia kma reference? Rayvanny , Mbosso, Zuchu, hata Harmonize hali zao za maisha ni bora kuliko wasanii wengi hapa TZ kwasababu ya kuwa kwenye hiyo label.

Kwanini wasanii wengine wanashindwa kutusua kama wanaokuwa hapo WCB?
 
Pro majani wakikujibu hili swali unitag 😁 wanambwela mbwela na wasanii wao akina rapcha wazee wa tako Saba akamwagia ndani☺️☺️☺️
 
Nooo nooo nooo ni movie imefanyika Hollywood, awali jamaa Wenye movie walidhania kuwa mwenye haki ya beat ni chamilion , chamilion alitaka kupiga mpunga ndio p funky akasanukia mchongo akaenda usa kufuata haki yake
Jamaa kanikumbusha, nyinyi ndio mko sahihi mzee.
 
P Funk anakula mpaka hela za marehemu Ngwea. Yeye p Funk anajinadi kama anapaza sauti juu ya haki za wasanii vipi mbona yeye anawanyonya mpaka leo?

Haki za ubunifu kwenye midundo mbona anawatapeli wenzie?

Tukemee unyonyaji wa P Funk
mkuu kwahiyo mtu akiwa choko alafu akakemea uchoko ni kosa ?....tenganisha hivyo vitu viwili kwanza then tuanzie hapo...anyways the industry is fucked up all the way to the international level..
 
Hapa mkuu inategemea s2kizzy aliingia mkataba gan na wcb. Usikute naye alilipwa pesa nyingi za beat akaridhika. Fursa zikitokea hawakawii kulàlamika Kwa Sababu mwanzon alikosa maono.
 
Ukiwa na njaa unajifanya huoni Ili ushibe, ila ukishiba ndo unajua Kuwa njaa Bado haijatutua shida Yako, njaa itaendelea tu. Ndo unajua kumbe ulitakiwa kufanya Kitu tofauti Ili uwe na uhakika wa kula diku zotë.
 
Hi
Hio ni biashara ila kusema hatapta unauhakika Gani. Më nadhan na yeye anaasilimia za ubunifu, Pia kumbuka Mavoko alivyotka wasafi akaunti ya YouTube aliicha wasafi akaanzisha akaunti nyingne.
 
Kama sikosei ni kuwa kwenye ule wimbo wa kamilioni kuna sauti ya ferouz ya kiitikio cha nikusaidiaje . sasa Prof j alikuwa akipigania mashairi ya nyimbo yake kutumiwa na mtu mwingine pasipo makubaliano . but the issue was different to p funk , yeye alikuwa anapigania haki ya beat yake.
 
Ushahidi maandazi na UMSUKULE unapoteza kabisa logic.

Kwanza Filamu ya Queen of Katwe haikutumia wimbo wa Prof Jay. Walitumia ngoma ya Chameleon, Bomboclat na wakamlipa pesa Chameleon.

Ikumbukwe kuwa baada ya Chameleon kutumia Hilo beat aliingia mgogoro na Prof Jay na ili kuuua mgogoro wakafanya ngoma na Prof Jay, Ndivyo Sivyo.

So, kusema Prof Jay alitakiwa kulipwa siyo sawa maana Hakuna wimbo wake uliotumika.
 
Hata kiimani mkuu iko hivyo. Refer musa kurusha fimbo yake chini ikawa nyoka,hali hiyo ikaitwa MUUJIZA ILA wale waganga wa PHARAO walipofanya tukio exactly kama hilo,hali hiyo ikaitwa UCHAWI.
 
lakini zaidi ya yote hapo wakupewa lawama ni COSOTA, kwani hiyo mikataba na nyaraka nyingine wanazosainishana hawa wahusika je COSOTA haipitiagi mikononi mwake?. Na kama inapitiaga mikononi mwake je huwa haoni kuwa ni mikataba ya kiunyonyaji?.
Kwa maana COSOTA ndiye amekabidhiwa kusimamia jukumu la haki kwa wasanii kwa nini yeye asiweke viwango vya mikataba ( standard contracts) kwamba mikataba yote inayoingiwa baina ya wahusika ni lazima ikidhi vigezo hivyo . out of there mikataba hiyo itakuwa ni batili. Na case zote zinazohusiana na wasanii COSOTA ndio wawe wanazisikiliza na kuziamua . zisipelekwe mahakama za kiraia . kinachoamuliwa COSOTA ndo kimeisha hicho . Waige mfano wa wenzao football industry , mambo ya kimpira ukipeleka mahakama ya kiraia imemega kwako.
 
sorry mkuu hivi kwenye wimbo wa bomboclat sauti ya ferouz haijasikika mle?. Ni kitambo sana sijausikia
 
Hata kiimani mkuu iko hivyo. Refer musa kurusha fimbo yake chini ikawa nyoka,hali hiyo ikaitwa MUUJIZA ILA wale waganga wa PHARAO walipofanya tukio exactly kama hilo,hali hiyo ikaitwa UCHAWI.
Umenchekesha kinoma mkuu✋🖐️ kwa kweli double standards kila kona
 
Hapa mkuu inategemea s2kizzy aliingia mkataba gan na wcb. Usikute naye alilipwa pesa nyingi za beat akaridhika. Fursa zikitokea hawakawii kulàlamika Kwa Sababu mwanzon alikosa maono.
Sasa hii ndiyo hiyo mikataba kandamizi tunayozungumzia.
 
Kwa maelezo yako hata WCB wako sawa kwani yote wafanyayo kwa wasanii wako kwenye signed contracts na hata Ruge alikuwa sahihi pia, kinachoendelea ni ushabiki wa watu kila mtu anachagua mtu wa kumshambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…