Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Sisi waislam hatuwezi na hatutaki vit, ukweli ni Kwamba nyie waislam mnaounga mkono huu ujinga ni kutoka CCM, hakuna muislam timamu anaweza kusapoti huu ujinga unprofessional wa serikali haramu
 
Pumbav zenu mnasingizia Uislam wakat nyie ni chawa wa mama
 
Msiba mkubwa; mada imeanzoshwa na ***** la kitima, comments ni za machoko wa kitima pia. Hakuna kazi hapa. Nipo pamoja na masheikh wanaopinga undumilakuwili wa watu wanaojihisi ni Bora na pekee wenye haki ya kutawala.
 
Kenya mbona ipo kwani ni islamic s
 
Kadiri watu wanavyo zidi kusoma na kustaarabika akili yao inafunguka na uelewa wao unaongezeka.
Hii ndiyo sababu makundi ya kishenzi na kikatili yanayo tumia jina la dini mfano boko Haram wanakataza elimu dunia.
Naam hawataki watu wajitambue
 
Yaani mpaka kuanzishwa kwa mahakama yenu wenyewe inayofuata sheria zenu za Kiislama mnataka TEC wawapiganie!

Kama ni mauaji ya Pemba, kuna ushahidi humu umewekwa wa TEC kutoa tamko la kulaani! Baadhi yenu mkasema mbona lina kurasa moja tu!

Masheikh kufunguliwa kesi za ugaidi ilikuwa ni kipindi cha Muislam mwenzenu JK! Na yenyewe mlitaka TEC watoe tamko! Na vipi kuhusu Bakwata, waliwahi kulalamika Masheikh wao kuonewa? Au walifungamana na serikali?

Kwenye ishu ya kiongozi wa kikristo kutaka Rais wako Samia kuvua hijab, unaweza kumtaja kwa jina na cheo chake? Mfano kama ni Askofu au Padre wa Katoliki? Unaweza kuiweka hiyo clip hapa jukwaani? Na kama siyo kiongozi wa Katoliki, kwa nini unamhusisha kwenye haya malalamiko yako?

Yaani utekaji, vifungo, mateso na mauaji dhidi ya wakosoaji wa serikali yameshamiri kwenye jamii yetu! Mnataka watu wanyamaze kwa sababu Rais ni Muislam!! Eti mbona wakati wa Magufuli TEC hawakukemea kwa sababu ni Mkatoliki mwenzao!! Mbona kuna nyaraka mbalimbali zimewekwa humu za kuonesha walikemea, kiasi cha baadhi ya Maaskofu kianza kusumbuliwa na serikali? Na hata mimi hapa ni mkristo na mkatoliki! Lakini kipindi cha Magufuli nilimpinga wazi wazi humu (na ushahidi upo) kutokana tu na makosa yake aliyoyafanya! Mbona sikumtetea kwa sababu ni mkatoliki mwenzangu? Nyinyi wenzetu shida iko wapi? Mbona mna chuki za ajabu dhidi ya TEC kwa kitendo chao cha kupigania haki za raia, tena pasipo kuwabagua kwa sababu ya dini zao?

Halafu kuhusu vijana kuandamana tarehe 29, walikuwa sahihi kwa sababu serikali imekuwa ikifanya mambo mengi ya ubabe na dhuluma za kijinga dhidi ya wapinzani na wakosoaji wake.
 

Kwaiyo mkuu unataka TEC au wakatoriki waje watoe matamko kuhusu Uislamu?
 
Kenya mbona ipo kwani ni islamic s
Mahakama Gani zinahukumu mtu asipofunga Ramadan auliwe. Kwa mawe.
Huu ukatili nani ataukubali
Haya Samia ni muislam tuone kama atawapa hiyo mahakama ya kuuwana
 
Mbona taasisi za uislam ziko kimya? Hazikemei au kupinga hilo la kukata kichwa ikiwa sio mtu wao?
 
Wanataka eti serikali iruhusu mahakama ya kadhi
Mahakama ya kuhumu kuuwa wasiofunga Ramadan
Kukata wezi mikono
Kuzima aliyezini akiwa hai
Kuhujumu tu adhabu za kikatili

Hii siyo Islamic state

Haya Sasa Samia ni muislam mwenzao na wanampigania tuone kama atawapa iyo. Mahakama ya kadhi
 
Mahakama Gani zinahukumu mtu asipofunga Ramadan auliwe. Kwa mawe.
Huu ukatili nani ataukubali
Haya Samia ni muislam tuone kama atawapa hiyo mahakama ya kuuwana
Kwanza kwanini kwa miaka 6 hii aliyopo madarakani hajawapaa hiyo mahakama??
 
Tanazania ni secular state! Unapotaka kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi, huku mahakimu wake wakilipwa kwa kodi za wananchi wote! Ni kutaka kutengeneza mgogoro wa kidini usio na ulazima.

Ingekuwa Tanzania ni Islamic state kama Iran, Saudi Arabia, Afghanstan, nk. hakuna mtu angehoji. Walishauriwa waanzishe hiyo mahakama na kuihudumia kwa pesa zao! Eti wakanuna!

Mimi nadhani wakati mwingine watu waache kujitoa ufahamu kwa sababu tu ya hizi dini tulizoletewa kwa majahazi na meli.
 
Waislamu tuko nao huku mtaani, Nao wanashangaa hao mashekhe ubwabwa wamekula Tende ya wapi?
 
Kwanza kwanini kwa miaka 6 hii aliyopo madarakani hajawapaa hiyo mahakama??
Sasa kila dini ikiwa na mahakama yake hii itakuwa nchi kweli?
laZima haki ipatikane kwenye mhimili wa Mahakama pekee
Hizo mahakama za kadhi ni kuhukumu. Ukatili wa
Mtu akifamaniwa azikwe akiwa hai
Mwizi akatwe. Mikono
Asiyeenda miskitini achapwe

Hata Waislam wenye akili hawataki hii mahakama ya kikatili
 
Hoja za TEC zimelekezwa kwa serikali, majibu yanatolewa na mashekhe. Kama vile vinavyolalanikiwa na Kanisa ni kwa manufaa ya wakristo tu..

Kuna wakati nataka kuidharau dini yote ya kiislamu, lakini nakumbuka hiki ni kikundi cha watu wachache wanaotumika
 
Ni kweli
Na itakuwaje kila. Dini na dhehebu likahitaji mahakama yake
Mahakama zetu zitaheshimika
Kiufupi hizo mahakama hata Waislam. Hawazitaki
Nani akubali kupelekwa mahakamani mwanamke asipovaa hijab, watumkukatwa mikono, adhabu za kuuwa waliofumaniwa n. K
 
Waislamu tuna inferior complexity mashehe wanaona wamezidiwa elimu na influence na tec hivyo wao wanaona suluhu ni kuwa wababe na kutoa vitisho,kibaya zaidi tec walianza kitambo hata Magufuli walimkosoa sana.

Nchi tajiri za kiislamu pamoja na matajiri binafsi wangewekeza zaidi kujenga shule za kisasa,vyuo vikuu na taasisi imara za kiislamu,japo itachukua muda mrefu kuona matokeo lakini vizazi vijavyo vitakua stable sana

Dunia ya sasa sio ya ubabe na kutishana ni hoja na common sense ubabe unabomoa haujengi na unaweza kuwa mbabe bado ukapigwa kwa kutumia teknolojia
 
Mahakama Gani zinahukumu mtu asipofunga Ramadan auliwe. Kwa mawe.
Huu ukatili nani ataukubali
Haya Samia ni muislam tuone kama atawapa hiyo mahakama ya kuuwana
Tatizo la dini yenu mna update mambo kila uchao mnajiwekea sheria zenu badala ya zile za Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…