Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Lakini mm sizani kama hao wanao tamka hayo maneno ni waislam, kwa sababu waisilami halisi ni wapenda haki, nadiriki kusema hao sio ni magenge ya kuhuni tu.
Na huu ndo ukweli tupu. Marafiki zangu wengi ni waislamu wa kufa na kuzika lakini hawana mambo ya ovyo kama haya.

Mimi hata nikitaka kuchinja kitoweo tu muhimu nicheki na jamaa zangu waje wanichinjie maana naishi nao kama ndg kwqmba muda wowote anaweza kuja mara akute kuku haijachinjwa na Muislamu nahisi kama nimemkosea. Basi wakiwa mbali au hawapo huchinja mwenyewe
 
Hii dini ya kiislamu ukiifuatilia msingi wa mafundisho yake ni kama watu wanaojipa haki kupita mtu mwingine kitu ambacho kimefanya waone kupewa haki huko kama dini yao ni dini sahihi ya kufika mbinguni.

Matukio kama kuchoma makanisa, but ha za kitimoto au kuchapa watu bakora wanaokula chakula Chao wenyewe wakati wa ramadhani ni ishara kuwa hii dini haina misingi ya kuishi na jamii nyingine katika jamii.

Uislam unafundisha muislamu ndugu yake muislamu mwenzake hata kama mmoja yupo zenji na mwingine yupo oman. Tofauti na ukristo u afundisha ndugu yako ni jirani yako. Usiende mbele ya mungu kama hujamalizana na jirani.


Waislamu wengi waliozaliwa miaka ya uhuru na baada ya uhuru kwa mikoa ya lindi,mtwara ,Pwani ,morogoro na Tanga wengi hawana elimu . Jamii yao wameipa mkazo elimu akhera kuliko elimu ya mazingira kitu ambacho mtoto ni kosa kutokwenda madras sio kutokwenda twisheni. Badae wanajikuta elimu ya akhera haina sifa za kuajirika na kukuta wakristo wanachukua nafasi wanabaki kulalamika hakuna usawa kwenye ajira.

Waslamu wengi wabaguzi wa kiimani hiko mnachokiona kwa mashehe ndio uhalisia a yaliyo mioyoni mwao
 
BAKWATA imeanzishwa na Serikali na hao mashehe wanatumika kuigawa jamii ili kudhoofisha upinzani dhidi ya serikali.(Divide&Rule)

Waislamu hawanufaiki chochote na uislamu wa rais!
 
Tatizo lako umesoma sana ilmu dunyaa, I'm just joking.
Muslims wengi wako reasonable ila hawapewi platforms za kuongea, hawa Waswazi wanaoshinda na kukesha misikitini pasina shughuli maalum zaidi ya kucheza bao, karata, keram na drafti hawana shughuli zozote ndiyo wanakuwa wasemaji kwa niaba ya dini, unadhani mtu wa aina hiyo atasema wakati anashinda kijiweni wakiwajadili TEC na Wakatoliki wanavyong'ang'ania kusoma ilmu dunia wakati akhera huko degrees hazina faida. Mtu ili aishi mpaka akatafute kazi kwa Muarabu au Muhindi au apate dili la kuwa mchinja kuku sokoni au anasubiri 'matajiri' wakija kuswali msikitini wamuone kwa chochote kitu sasa imagine mtu wa hivyo ndiyo anakuwa msemaji kwa niaba ya institution. Kwanza hasira za kushindwa kuwa na maisha 'reasonably comfortable' anakuwa anatafuta mtu wa kumtwisha lawama, kwa sasa easy target ni TEC. Hawajawahi kuongelewa wala kujibiwa lakini kila siku wanakuja na vibweka kufanya dini ionekane ni ya watu wa hovyo wasio na akili wala upeo wa kuchanganua mambo. This shit is tarnishing the image of the Muslim community as a whole.
 
Binafsi watu wangu wengi wa karibu ni waislam. Na mtazamo wao ni kama huu wa kwako. Udini unaohubiriwa na baadhi ya viongozi wa Kiislam ni wa kukazimisha tu. Ila hauna uhalisia.

Imagine TEC wanaongelea kuhusu kushamiri kwa vitendo vya utekaji, kupotezwa watu na mauaji! Wanaongelea kuhusu kukosekana kwa haki ya wananchi kuchagua na kuchaguliwa, nk. Badala ya kujibiwa kwa hoja; Masheikh wanasema ni kwa sababu Rais ni Muislam, ndiyo maana TEC wanataka kumhujumu!!

Does it make sense? The answer is NO!
 
Mwembechai wao ndiyo walioenda kulia polisi yesu anatukanwa, waislam walipouawa hawakusema chochote
 
Anayekulisha ndiye boss wako, na ukiona mbwa anabweka sana jua mwenye mbwa hayuko mbali.

Wanalipwa na huyo wanaye mtetea.
 
Acheni kubofya vichwa vikae duara la kuvalia baraghashia ili mlinde AKILI.

Mnatia AIBU vibaya sana
 
Hao wanatumika tu kwa sasa kuhamisha mijadala.
 
Waislamu wakikufa katika maandamano kwa kutoka ni Waislamu wajinga .

Hoja kama wao wapambania haki kwa Nini wachague na kupuuza haki zingine za makundi mengine
Tangu nizaliwe sijawai kuona wala kusikia duniani muislamu kaandamana kwa ajili ya HAKI WALA UZALENDO ...siku zote waislamu uandamana kwa ajili ya UDINI ...Nitajie tukio moja tu hata hapa tanzania ambalo ni la HAKI AU LAKI ZALENDO ambalo waislamu waliwai kuandamana kwa ajili yake?
 
Sasa kama wanatumia kofia ya uislam kuongea hicho wanachokiongea kwanini viongozi wakuu wa uis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…