The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Ahsante hicho kitabu tunaweza kukipata?
Ntajitahd nikipate mkuu na nitakishare hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante hicho kitabu tunaweza kukipata?
Shukrani sanaNtajitahd nikipate mkuu na nitakishare hapa
Hakutakuwa na maana ya maisha bila ya upendo na amaniWapi ambapo wewe umepata hayo maelezo ya kuhusu makusudio ya Mungu kutuumba? Kwa sababu kuna wengine wanasema Mungu hajaeleza makusudio ya yeye kutuumba sisi hivyo hatuwezi kujua Mungu anatutaka tuishi vipi ila wewe unasema Mungu katuumba ili tuishi kwa upendo na umoja ndio maana nakuuliza wewe mwenzetu una connection gani hadi umeweza kujua kusudio la Mungu kutuumba?
Sawa ila kusudio la Mungu kutuumba umejuaje kuwa ni hilo?Hakutakuwa na maana ya maisha bila ya upendo na amani
Tuliumbwa ili tuishi na thamani ya maisha ni upendo,furaha na amani. Vyote tunavyovifanya duniani ni kwa sababu ya upendo,furaha na amaniSawa ila kusudio la Mungu kutuumba umejuaje kuwa ni hilo?
Mkuu unanilisha mawazo yako wakati unajua kila mtu anaweza kuwaza kivyake na ndiyo maana nimeeleza hapo watu wengine husema kuwa hajaweka wazi kusudio la kutuumba na wala hajishughulishi na jinsi tuishivyo.Tuliumbwa ili tuishi na thamani ya maisha ni upendo,furaha na amani. Vyote tunavyovifanya duniani ni kwa sababu ya upendo,furaha na amani
Sasa mzee si ndio yaleyale uliyokuwa unasema kuwa mwafrika hataamini hadi reference itoke kwenye kitabu cha mzungu. Kwani andiko lako haliwezi kuwa reference kwa wengine siku za usoni?Hicho kitabu unataka aandike nani ili kiwe reference kwako? Nambie ntampa material ili ukiona handwriting yake uamini.
Wahindi, Wachina hawawafuata wao. Vipi una maoni gani juu ya hilo?Mimi naona hakuna jambo baya waafrika kuacha mila zetu kwa sababu siku zote inabid kufwata vitu vya mtu aliyekuzidi.
Tunafwata vya wazungu kwa sababu wametuzidi na kuwafwata na sisi twaweza barikiwa kama wao.
Endapo tungewatawala basi wao ndo wangefwata mila zeti na tamaduni
Mkuu mko sawa kabisa. Miaka ya hivi karibuni namimi nimestuka, baada ya kuona hali inavyokwenda. Kiukweli Niseme kuwa ' Things has fallen apart' Ukichanganya Rangi, Ufukara ni wepesi mtu mjanja kupandikiza uongo ikawa kama gundi kichwani.Mkuu
Tutakaokuelewa ni wachache sana humu, watu wengi walishafanyiwa kitu ninachookiita " kuuwawa kwa tabia zao halisi" Yaani karibu kila kitu hapa Afrika kimeharibiwa. Angalia maisha yetu, mathalani lugha zetu, mavazi yetu, sayansi yetu, dini zetu, usomaji wetu, majina yetu n.k hadi unajiuliza hivi sisi watu weusi tutaacha alama gani hapa duniani!!!???
Kuna jamaa mmoja nilimponda tukiwa wengi kwa kumwita mtoto wake mchanga jina la kiingereza la ajabu ajabu kisa tu eti ni zuri (si ni la kizungu bwana) nilipomwambia kuwa asiendekeze utumwa wa fikra aliniita mimi mshamba yaani akasema sijaelemika! Nikamtazamaaaa, nikamwambia waziwazi mimi naitwa TATA MKURIA na najisikia fahari kuwaita watoto wangu majina yao kama Bhoke, Ghati,Marwa, Mwita n.k.
Mkuu Frustration hakuna bara linadharauliwa kidini kama Afrika! Yaani ni aibu, halafu waafrika hawa wa sasa tena wasomi wanaendelea kuwatumikia wale jamaa wakidhani wapo sahihi yaani waafrika tumeenda hatua zaidi ya wao kujiona hizi dini zao ni bora sana hadi zinatugombanisha! Zinafanya tuuwane! Ni aibu.
Ukienda mabara mengine, huwaambii kitu kuhusu dini zao! Kama hujui nenda nchi za Ulaya, nenda nchi za Uarabuni, nenda Uhindini, nk. Ila sasa njoo Afrika! Yaani akili zetu ni nyepesi nyepesi mno. Kila kitu kinaaminika kirahisi tu, tumesoma sasa lakini bado tunaendekeza yale yale yaliyotuletea madhila siku za nyuma. Tumelala fofofo tunadhani kila kitu kipo sawa. Yaani hadi nimewakumbuka Prof Ngugi wa Thiong'o na maelekezo yake katika kitabu cha "Decolonizing the Mind" pamoja na Okoth p'Bitek na vile vitabu vyake pendwa (najua wengi mlisoma kile maarufu Song of Lawino na Song of Ocol) hawa waafrika wenzetu wametuandikia tushtuke kidogo lakini bado tupo ziii!
Wale wenzangu wanaopenda dini zetu, tuendelee nazo ingawa tunaitwa washirikina mi nasema ni sawa tu nitaendelea kutambika ila siyo kwa kafara za watu kama hawa washenzi wa baadhi ya dini hizi za kisasa wanavyofanya!
Najua tupo wengi tu ingawa makanisani na misikitini pia tunaingia mara kwa mara ila mioyoni mwetu tunaujua ukweli na pia tumeisha enda wapi na wapi kupata tiba zetu za kujikinga na mabalaa. Ukituona kwa nje tuna heshima lukuki katika jamii ila kiundani tunaamini dini za Kiafrika kimya kimya.
Tata mkuria.
Wapi umeyasoma haya kuwa mungu aliwapa Utume watu wa asia tuu?Eti Mungu mmoja alafu alikuwa anawapa utume watu wa Asia tu, si upuuzi huu jamani.
Umetowa wpi hii kuwa miungu iligawana mabara? Leteni ushahidi ili mutupe nguvu ya hoja.Inategemeana na Kabila lako,ongea na wazee watakupa dini na usipate tabu kwa sababu dini ni jina tu ila ni namna ya kufanikisha mambo kiimani na kiroho. Mfano mila ya mti aina ya Horo na matambiko. Mungu wa Afrika anapenda yale mambo na ndio maana akatuumba black. Miungu iligawana mabara sio kwa bahati mbaya kama udhaniavyo.
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa kumtegemea mzungu kwa kila kitu hadi ikapelekea hadi sasa watu wanategemea pia dini za Kizungu.
Hakuna kabila hata moja Afrika ambalo limepoteza imani ya dini yao, ndio maana hata waendao makanisani hutembelea kwa mababu zao kupata kinga. Dini zote Afrika zilikuwa hazihusiani na uchawi ila mtu mweupe ndiye aliempa mtu mweusi uchawi kwa mafunzo maalumu akimdanganya ya kiimani.
Uchawi Afrika uliletwa na mzungu na ukweli huu haupingiki. ukiachana na hayo lakini pia upande wa maadili hapa nianze kwa salamu
U hai? ndugu hata kama haupo hai ila ukweli ukifikie huko huko ulipo. Nani aliyekuambia kuwa Afrika watu walikuwa wanavaa nguo full mwili mzima? Angalia wamasai japo na hao pia wamejaribu kubadilika. Ila hali ilikuwa mbaya sana zamani.
Watu walikuwa wanazuii tupu tu, Vikande vyote vya nyuma vilikuwa wazi na hakukuwa wa kushangaa katika hili kwa sababu ndiko tulikotoka. Ujio wa white man ukatibua hali ya hewa wakabadili,mtindo wa mavazi,dini, elimu, lugha, biashara na kila kitu.
Sasa katika mambo waliobadili pamoja na nidhamu na kusema nchi za Afrika hawajastarabika kwa sababu wanatembea uchi, wanaabudu madudu, wanaongea lugha chafu n.k. Watu wa Afrika walilazimishwa kukopi mila na mitindo yote ya Kizungu.
Unaposema vijana wetu hawana maadili ni kutukana wazee wetu wa zamani ambao walikuwa wanawinda,na kupiga ngoma uchi.
Hawa wapuuzi wa kizungu ndio walioita matabibu wetu kwa jina baya eti Matabibu wa kichawi(witch doctor) na wao kujiita Doctors, physician mara sijui wakemia n.k. Wakasema kupiga ngoma ni ushamba ila tupige miziki ya kisasa n.k.
Sioni jema la wazungu katika imani, wala tamaduni na wala technology kwa sababu naamini tungepigana na hali zetu. Wale wanaoenzi mababu zetu siku hizi wanajiita TIBA MBADALA sijui ndio nini.
Wajiite wauguzi na wataalamu wa tiba na magonjwa mbalimbali.
Afrika without White's countries is possible, hatujachelewa sana tuanze ku uphold vya kwetu ili vitusaidie na sisi kwa masilai yetu. Hivi vya kuletewa havitufai kwani "NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MA**KO" na ndio mana mambo hayaendi kama ilivyotakiwa.
Nawachukia wa Asia na dini zao i.e Christian and Muslims. Wewe ndugu yangu mtoto na mjuu wa Likangamai hayo mambo utayaweza? Ndiyo maana kulikuwa na mabala na aina ya watu na mila tofautitofauti, sasa ya nje ya nini na kuona kama vile ulichelewa kuvipata?
Kwani wao walikuwa hawajui kama Afrika kuna watu? mbona wamefika baada ya manyanyaso mauaji na dhulma kwa ndg zetu? Nini za Asia ni dini za ukweli kwa Asia na dini za Afrika ni za kweli kwa Afrika tu?
Jambo gani jema limewahi semwa na hao watu juu ya mababu zetu? wamewatukana sana kupitia imani zao na leo wamefanikisha kutufanya ndg,jamani tunaenda wapi na ilihali tunakotoka tunakudharau?
NAIPENDA AFRIKA SANA NA HATA NIKIWA JIRANI NA MZUNGU WOTE WE FEEL DIFFERENCES ON EACH AND EVERYTHING.RELIGION, LANGUAGE, STYLES,CUSTOMS, COLOUR, AWARENESS, ASSERTIVENESS STATUS, RECOGNITION e.t.c.
Ukweli haupingiki hata mniue hadi nife
TO MAKE THINGS VERY CLEAR
Wachangiaji wengi ambao hawakubaliani na mtazamo wa mada hii,hoja hii wamejikita kwenye mizimu. Naomba nifahamishe kwamba mizimu ni jina la MTU yeyote wa taifa lolote na Rangi yoyote aliyekufa na kuaminika bado anaishi katika hali ya gesi (invisible & intangible).
GHOST: the soul of a dead person thought of as living in an unseen world or asappearing to living people: .
Hivyo basis neno MIZIMU (GHOST) lisitumike tu negatively kuponda watu waliokufa Afrika.
Pia Milima, miti mikubwa, mapango etc kwa Afrika ilikuwa teknolojia pekee kwa wakati huo kama icon & symbol (alama) ya watu kukutana na siyo walikuwa wanaabudu hivyo vitu vilivyotajwa hapo na vifananavyo.
Watu walikuwa wanaomba Mungu kupitia waliotangulia kwani kwa nyakati hizo walikuwa kioo na dira pekee na walikuwa wanafanikisha kwa imani hiyo.
![]()
To be continued soon.
Acha kwenda kanisani kabisa. Uendelee kutambika. Acha kuwa ndumilakuwili. Usiionee haya hiyo imani/dini yako ya Kiafrika unayoipenda huku unaiendea kwa kujificha. Hakuna atakaekuzomea.Mkuu
Tutakaokuelewa ni wachache sana humu, watu wengi walishafanyiwa kitu ninachookiita " kuuwawa kwa tabia zao halisi" Yaani karibu kila kitu hapa Afrika kimeharibiwa. Angalia maisha yetu, mathalani lugha zetu, mavazi yetu, sayansi yetu, dini zetu, usomaji wetu, majina yetu n.k hadi unajiuliza hivi sisi watu weusi tutaacha alama gani hapa duniani!!!???
Kuna jamaa mmoja nilimponda tukiwa wengi kwa kumwita mtoto wake mchanga jina la kiingereza la ajabu ajabu kisa tu eti ni zuri (si ni la kizungu bwana) nilipomwambia kuwa asiendekeze utumwa wa fikra aliniita mimi mshamba yaani akasema sijaelemika! Nikamtazamaaaa, nikamwambia waziwazi mimi naitwa TATA MKURIA na najisikia fahari kuwaita watoto wangu majina yao kama Bhoke, Ghati,Marwa, Mwita n.k.
Mkuu Frustration hakuna bara linadharauliwa kidini kama Afrika! Yaani ni aibu, halafu waafrika hawa wa sasa tena wasomi wanaendelea kuwatumikia wale jamaa wakidhani wapo sahihi yaani waafrika tumeenda hatua zaidi ya wao kujiona hizi dini zao ni bora sana hadi zinatugombanisha! Zinafanya tuuwane! Ni aibu.
Ukienda mabara mengine, huwaambii kitu kuhusu dini zao! Kama hujui nenda nchi za Ulaya, nenda nchi za Uarabuni, nenda Uhindini, nk. Ila sasa njoo Afrika! Yaani akili zetu ni nyepesi nyepesi mno. Kila kitu kinaaminika kirahisi tu, tumesoma sasa lakini bado tunaendekeza yale yale yaliyotuletea madhila siku za nyuma. Tumelala fofofo tunadhani kila kitu kipo sawa. Yaani hadi nimewakumbuka Prof Ngugi wa Thiong'o na maelekezo yake katika kitabu cha "Decolonizing the Mind" pamoja na Okoth p'Bitek na vile vitabu vyake pendwa (najua wengi mlisoma kile maarufu Song of Lawino na Song of Ocol) hawa waafrika wenzetu wametuandikia tushtuke kidogo lakini bado tupo ziii!
Wale wenzangu wanaopenda dini zetu, tuendelee nazo ingawa tunaitwa washirikina mi nasema ni sawa tu nitaendelea kutambika ila siyo kwa kafara za watu kama hawa washenzi wa baadhi ya dini hizi za kisasa wanavyofanya!
Najua tupo wengi tu ingawa makanisani na misikitini pia tunaingia mara kwa mara ila mioyoni mwetu tunaujua ukweli na pia tumeisha enda wapi na wapi kupata tiba zetu za kujikinga na mabalaa. Ukituona kwa nje tuna heshima lukuki katika jamii ila kiundani tunaamini dini za Kiafrika kimya kimya.
Tata mkuria.
umesema sawa 100% niko pamoja na wewe umefafanua vilivyo na nadhani hata mimi umenifilisi. ☑ 👍Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, dini hizi za Wazungum, Waarabu na Waasia japo nazo hazipo sahihi kwa asilimia mia moja lakini hauwezi ukazilinganisha na dini za Waafrika, inawezekana nazo zimesababisha madhara fulani kwa wanadamu lakini ni ukweli pia mafundisho yake yameleta ustaarabu kwa kiasi fulani Duniani. Kwanza zimeweza kuwaunganisha idadi kubwa ya watu duniani, zinahubiri kuwepo kwa NGUVU kuu kuliko zote(MUNGU), Zinahubiri ustawi wa binadamu kama suala la watu kuwa na afya njema, elimu na watu kutendeana mema. Dini ya namna hiyo sidhani kama ina ubaya kwa mtu labda tu kuwe na wapotoshaji katika dini husika wanaohubiri vitu vinavyoleta madhara mabaya kwa binadamu wengine.
jambazi yeye anataka fujo ili aibe ,na yeye ni mtu lakini hataki upendo wala amani.Hakutakuwa na maana ya maisha bila ya upendo na amani