Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Yes ndio Ila waarabu ndio wanaongoza Kwa biashara ya utumwa maana na kitu ambacho pia hakijajulikana wazi ni jinsi watumwa wote waliopelekwa uarabuni walihasiwa ili kuzuia kuzaliana.
 
Kwani uislam ndo muungano... Na uislam ndo unasema tutengane...Acha kunasa kwenye Dini zilizo letwa na upepo wa baharii

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Rais Mwinyi anapita njia zile zile za JPM atainyoosha Zanzibar, apewe muda tu. Kuna upigaji mwingi huko visiwani kama huku bara tu.
 

Umeandika mtungo Na kunilaumu sitaki kuwataja Wazanzibari wanaojiita waislamu waliowaweka ndani uamshor lakini unasahau waislamu Hao waliwekwar Na nani ?

Pili umetaja mambo ya Nyerere Na ukomunisti hili nalo sikubalianir nalo kwani Ulisoma kitabu cha kanisa Katoliki hakisemi hayo.
 
Ai
Aisee huu ni upuuzi ambao binafsi ndio nausikia leo

Na kama una akili kama izo basi tambua weye bado fikra zako zimefungwa

Waarabu si ndo walikuwa watawala wa Znz enzi izo za Sultani, babu zetu wa kisiwsn wslipigwa sana mibakora

Na kama haitoshi ktk karne hii husitegemee ujengewe nchi yako na waliokuwa wakoloni wakon
 
Nakubali kuwa mashekhe wa uamsho walitoka kwa waislam wajamaa wa serikali ya znz na wakapokelewa na waislam wajamaa wa serkali ya Tanganyika.

Kuhusu kutoafiki dhana ya kuwa itikadi ya ujamaa ni chanzo cha viongozi waislam wa Tanganyika na wale waislam wa znz kuuweka pembeni uislam wao kwa ajili ya manufaa ya yao ya chama, hilo ni hiyari yako na akili yako kung'amua.

Kuhusu kitabu cha kanisa katoliki miongoni mwa mafunzo makubwa yatokanayo kwa kitabu kile ni wenzetu wanapoingia ktk uongozi kwao ukristo kwanza uzalendo badae.

Tofauti na waislam; ukiwemo we we ndugu yangu. Ninyi mnaamini uzalendo kwanza (uzanzibar) kwanza uislam badae.

Na ndio mana unadiriki kusema ni heri mlevi mznz (Kiringo) kuliko mashekhe wa Tanganyika (ilunga). Huu ni msiba.

Hats hivyo nikushukurimu kwa maoni yako. Nimejifunza jambo.

Na naamini kiongozi wa chama cha kijamaa cha upinzani ambae ni mtanganyika Zzk anawaelewa vzr zaidi. .

Na wamesema kweli wanachuoni, mfumo wwt nje ya uislam ni ukafiri.

Shukran mfuasi wa duni, shukran shujaa, shukran mfuasi wa Kiringo
 
NINACHOSHUKURU WAO SIKU HIZI USHOGA NDIO KIPAJI CHAO NA KUWAKOROGA WAKE ZAO UGALI NDO MILA ZAO.
 
Sawa so, nani mwingine atatupa hamasa ya kusoma au kuweka mkazo wa kuandaa hiyo history?.
 

Umeandika
Na ndio mana unadiriki kusema ni heri mlevi mznz (Kiringo) kuliko mashekhe wa Tanganyika (ilunga). Huu ni msiba.

Mbona unanipakazia , ni wapi nilisema maneno hayo ? Au mwenzetu uislamu wako unakuruhusu kupakazia watu ??
 
Waarabu kutoka Oman ni wavamizi na wakoloni kama wakoloni wengine.
Tuliwaita kweli waje watusaidie kupambana na wareno tukiamini ni ndugu zetu katika imani, lakini baada ya kumshinda mreno wakakhini na kutugeuka, wakamuua kiongozi wetu Mwinyi mkuu na kila aliyekuwa katika sirikali ya wanawanchi wa Zanzibari weusi.
KAMA UNABISHA UTULETEE USHAHIDI WAPI SISI WANAWANCHI WEUSI WA UNGUJA NA PEMBA TULISAINI KUWAKABIDHI MAMLAKA YA VISIWA VYETU.
Hizo ni alama za mtu mnafiki na fisadi katika ardhi, akiaminiwa anakhini.
Wakatutawala kwa ukatili mkubwa na ubaguzi usio na mithali, tukawa watwana na vijakazi katika nchi yetu wenyewe hapa Unguja na Pemba, Wakatuchuuza kama nazi ama karafuu, wakawabaka wakina mama na dada zetu ili hali dada zao ikiwa ni marufuku kwetu wanawanchi weusi.
Ifikie mahala tuheshimiane, madhila waliyopitia wazee wetu tangu mwanzoni mwa mwaka 1800 mpaka 1964 , takriban karne 2 ni balaa na doa jeusi baina yetu na hao waarabu. Matusi ya rejareja kama haya pelekeni kwenye vikao vyenu mkiwa wenyewe sio kwenye kadamnasi kama hii ya vizazi vya waathirika wa idhilali ya waarabu.
Utumwa+ukoloni mkongwe= Mwarabu.
Hatujasahau bado ni miaka takriban 60 tu imepita, tangu tupindue na kurejesha uhuru wetu kama binaadamu.
baada ya waarabu kutukalia kimabavu kwa miaka takriban 130.
 
kwa hyo unataka kusema mapinduzi yalikuwa sahihi.?
 
Umeandika
Na ndio mana unadiriki kusema ni heri mlevi mznz (Kiringo) kuliko mashekhe wa Tanganyika (ilunga). Huu ni msiba.

Mbona unanipakazia , ni wapi nilisema maneno hayo ? Au mwenzetu uislamu wako unakuruhusu kupakazia watu ??
Ushasahau kama si wewe basi ni mfuasi mwenzio wa uoni huu muliotengenezwa.

Pole
 
WAZANZIBARI WANA USEMI WAO WAANASEMA NI BORA MLEVI WA KIZANIBARI KULIKO SHEKHE WA KITANGANYIKA
Jagina said:
Umeandika
Na ndio mana unadiriki kusema ni heri mlevi mznz (Kiringo) kuliko mashekhe wa Tanganyika (ilunga). Huu ni msiba.

Mbona unanipakazia , ni wapi nilisema maneno hayo ? Au mwenzetu uislamu wako unakuruhusu kupakazia watu ??
 
Bora mzungu kuliko mwarabu..waarabu wabaguzi kuliko..

#MaendeleoHayanaChama
Ukijua value yako huwezi kuwa na slave mentality hata kidogo. Wazungu na Waarabu wote wanaangalia chini watu wa ngozi nyeusi hamna mbaguzi bora kuliko mwingine jifunzie kujithamini na kutokubali shit toka ngozi yoyote nyeupe iwe mwarabu au mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…