Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Mbona umepoint iraq..kumbuka hiyo ni mesapotamia..tuongelee saudia na oman.

#MaendeleoHayanaChama
Mwarabu sio mweupe,ni mweusi,ukmuona mweupe,huyo ana asili ya mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa mashariki ya Ulaya na mwarabu(ambaye asili ni mweusi).Hao Waarabu weupe,ni.machotara wa mabibi wa kizungu na waaarabu(wa asili,weusi).Angalia Sudani,wale ndio Waarabu sio machotara wa kiarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanatakiwa wajue watu wowote wa Zanzibar walitoka huku bara.. haiwezekani walichipuka kama miti. Nashangaa watu wengi wa Zanzibar wana mentality za "kitumwa" wanakataa asili yao kuwa wametoka huku bara kutoka kwenye makabila kama wanyamwezi na wamanyema
 
Sio kweli,hizi ni habari zilizoandikwa na watu wenye chuki na wengine.Mwarabu,asili take ni mtu mweusi,ni baada ya kuoana na wazungu,wa mashariki ya ulaya, ndio kukapatikana hao weupe,mnawaita waraabu,hao weupe ni machotara wa mwarabu mweusi(wa Rangi ya asili) na Mwanamke mzungu wa ulaya ya mashariki.Na waarabu wa asili(weusi)ambayo mbabu zao,hawakuoana na wazungu wa mashariki ya ulaya,wapo,tena wengi na Wana miji yao.Kwa hiyo mwarabu(wa asili aliye mweusi)na ndio mwarabu mwenyewe,hawezi kufanya hayo uliyoyaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kakununulia noah baada ya kumpa lift bas mwarabu kawa mtu.
 
Hahaha mwarabu ni black 😂 yellow, Caucasians, white, blonde nk kulingana na hiyo history unayosema Ila an indigenous Arab sio black Wala white Ila anakuwa a little dark skinned but not black.

As you have said about crusade na hizo intermarriage ndio zikazaa waarabu wa aina mbalimbali Kama levantine (Lebanese) nk ukiangalia wanategemeana na damu ya kizungu waliyochanganyika nayo Ila mwarabu haswa ni Kama wale wapakistani kwa rangi sio white au black.

Sasa hata waarabu waliyochanganyika na waafrika ambao wapo north afrika pia sio black au white Ila dark skinned.

So mwarabu sio black as wazanzibari mnavyotaka kujiita nenda Oman tafuta mwarabu anayefanana na Seif Khatibu au Shamsi Nahodha😂😂

Hakuna mwarabu mweusi Kama Mimi nawe bana. Hata hao wapemba ni wamanga Koko tu sio waarabu ni mama zao walikamatwa na waarabu kwa nguvu
 
Kwani aliekuwa anawahasi waafrika ni nani?? au unapinga kuwa watumwa walikuwa hawahasiwi?? unazungumzia Iraq wakati mtawala wetu alitoka Oman?? niambie kuhusu Oman ambako tunasema ni nchi yetu mama
Wewe ndo wale wajinga wanaamini kuwa siku moja Oman itakuja kutawala tena Africa 🚮🚮🚮
 
Kaowe Mwera, Pemba, fuoni,, hapo ntajua kama ww ni mtanganyika kweli lkn unaowa watanganyika wenzio waliokuja na mbio za mwenge halaf unajitapa umeoa mzenji😂
Ni bora Tanganyika tunavyowatawala nyie watumwa wa waarabu
 
Mwogope Allah , haya uliyoyaandika ukitakiwa Utoe ushahidi unaweza kuuleta ?
Haya nisaidie wewe kutoka utawala wa wenyeji weusi ama zenj people, Mwinyi mkuu na sirikali yake mpaka kuhamisha makao makuu yake Sultan Sayyid said mwarabu ,mwaka 1832 kutoka kwao Muscat Oman, kulikuwa na mkataba wowote wa makabidhiano ama ugaidi uitumika kutuvamia?
Tuanzie hapo kwanza
 
kwa hyo unataka kusema mapinduzi yalikuwa sahihi.?
Naam, wakwezi , wavuvi na wakulima wenyeji wa asili ya visiwa vya pwani ya watu weusi ama Zinjbari ndio waliwapindua wavamizi kutoka bara Arabu khususan Muscat Oman, vitukuu vya yule dhalimu Sultan Sayyid Said bin Sultan aliyepindua utawala wa Mwinyi mkuu huko nyuma mnamo miaka ya 1800
 
Haya maneno yako uliyasoma kitabu gani au ulikuwepo siku hizo au ulimsikia nani ??
 
Walioipindua Zanzibar ni wazanzibar weusi au watanganyika wakisaidiwa na Bibi was uingereza?
 
Your browser is not able to display this video.
 
 
Duuuhhh.
Ubaguzi wa rangi ni ugonjwa mbaya kuliko kansa.
Waarabu na ibilisi alielaaniwa na Allah wanafanana sana, rejea kiburi cha kujiona bora kulikopelekea ibilisi wakati huo akiitwa azazil kulaaniwa.
Yaani Allah kaumba mtu , akamkamilisha na kumpa rangi nyeusi kama alivyokupa wewe rangi yako, kwa kiburi Chako unamkosoa Allah muumbaji kuwa kakosea .
Laana ya Allah iko juu yenu wewe na wabaguzi wa rangi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…