Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Bado kuna mpumbavu mmoja atasema waarabu walikuwa ni marafiki zetu walituletea arua.
 
Haya mkimaliza kujenga hayo majumba na bandari muondoke kwetu mkazaana mkajaze kanchi kenu
 
Wamechaguliwa na wananchi wa Zenji.....Kama ni vibaraka basi ni vibaraka wa Wazanzibari.

Unaishi mwezinir au sayarir ya marse?
Hivi lini kulifanyika uchaguzi Tanganyika Na Zanzibar chini ya tawala Za CCM?
 
Ndo maana Bibi was uingereza aliamua kuipundua serikali ya mwarabu.ndo hayo yanaitwa mapinduzi ya Zanzibar baadae ukazaliwa muungano mzee karume akataka kujivua akawa amechelewa.
"The rest is history"
Mwarabu hakuwa Na serikali , iliyovamiwa ni Zanzibar chinir ya Waziri Mkuur Shamte.
 
Tatizo lako umejibu kwa kukurupuka, na umesoma kana kwamba unakimbizwa, sasa mtu kama wewe sina cha kujibu zaidi ya kukwambia soma tena alichosema mtoa mada, kisha soma nilichojibu. . .ila kwa kuwa elimu ni shida basi nitarudie tena. Mleta mada Kazungumzia waarabu wa Zanzibar, nami nimegusia kuhusu historia ya waarabu wa Zanzibar

Angezungumzia hao wamarekani nami ningejibu kama Wamarekani. Punguza kukurupuka na kujibu kwa pupa.
 
Asante kwa majibu yako , bila kunikatisha nimesoma maelezo yako nami nachelea kusema nimejibu kadri alivyoeleza mleta mada, Yeye kazungumzia waarabu nami nimegusia hao hao kupitia nilichojifunza Zanzibar!! ( hata wewe unaweza kwenda ili ujifunze historia yetu!!) tena nimeenda mbali na kugusia hao wengine ambao mleta mada hajawalenga (Waingereza, wajerumani, makaburu n.k) hawakuwa na upendo na watu weusi hata kidogo. . .

Historia yetu ni muhimu kujifunza, hata kama hatuutaki lakini ukweli ni kuwa mtu mweusi alinyanyasika na kuteseka lakini yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Mbona kaeleza hao wazungu nk au bora kumchallenge tu kisa ameandika?.
Mkuu huyo tayari ameegemea upande fulani hivyo anachallenge tu bila mantiki, hataki ukweli lakini ni kitu ambacho kipo. Yule Kiongozi (RIP) aliesema tusome historia yetu alikuwa na maana kubwa sana ingesaidia kutujenga ili tujue wapi tumetoka na tunakwenda.
 

Kwani hivi sasa mtu mweusi hanyanyasiki chini ya tawala hizi Za mwafriks CCM , hivi Huko korokoroni hujui kumejaa watu waliobsmbikiwa kesi , mbali Na akina Mbowe , Na maelfu ya waliokimbia nchi
 
Historia yetu ipi hii iliyoandikwa Lumumba?
 
Ndo maana Bibi was uingereza aliamua kuipundua serikali ya mwarabu.ndo hayo yanaitwa mapinduzi ya Zanzibar baadae ukazaliwa muungano mzee karume akataka kujivua akawa amechelewa.
"The rest is history"
Kwamba alitaka kujitoa wahuni wakamuwahi..nasikia hata kwenye mapinduzi alijificha hakuwepo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naomba waendelee kuzubaa, mm ntakuwa mtanganyika wakwanza kuwekeza Zanzibar. ..quote me people![emoji1692]
 
Bora mzungu aliwachukua kwenda kuzalisha mali..mwarabu yeye aliamua kuwahasi kabisa..ndio mana huwezi kuta waafrika uarabuni kama ilivyo ulaya na marekani..waarabu ni savages.

#MaendeleoHayanaChama
Waarabu na Wazungu wote washenzi. Na mtu mshezi ni mshezi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…