Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Kama ujinga ni kutunza mawazo ya kijinga kichwani, basi umeshaingia katika olimpiki!
 
Nyie wazanzibar mmewekeza kwenye Nini mbona umewataja waarabu tu
Bakhressa ni msukuma, hao wakulima wote wakubwa wakubwa waliokuja huko mpaka mkawa mnawahusudu wametokea wapi?
 
Bakhressa ni msukuma, hao wakulima wote wakubwa wakubwa waliokuja huko mpaka mkawa mnawahusudu wametokea wapi?
Haaa!! Unaona sasa jinga hilii...bakhressa c ni mwarabu wa oman mjomba! Yule sio mzenjii..ni mabak ya mabwana zenu waliowafanya kuwa watumwaa huko mwembe togwaaaa jomnaaa..ebu tuambie ww kama ngozi nyeusii unakwea minaz umewekeza nn zenji kwenu?? Usituambie habar za machotaraaa hapaa
 
Acha uongo
 
Kweli kabisa
 
Hakika
 

Unaweza kunitajia mzanzibari mmoja Tu ambaye wazazi Wake walikuwa watumwa?
 
Makanisa kazi Yao hii

Tatizo anayetuuwa tunamwona Na kutesa ni Mtanganyika ameweka jeshi lake kila kipembe Na Hakuna maendeleo yoyote kwetu
Mwambie hayo Rais wa JMT ambaye pia ni mzenji mwenzio mkuu acha kupaparika basi!
 
Lissu , hajapigiwa risasi Na waarabu, Saanane , Mwangosi Na wengine waliookotwa Coco beach walishughulikiwa Na waarabu ?
Be specific brother! Kwahiyo nao ni wazanzibar?? Mbona unakimbia mada ya mleta uzi??
 
Hivi Said Sayd tuliyemsoma kwenye historia alikuwa mjerumani au?
 

Jahil kafir ujingani [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…