Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Wewe fala uwe unanyamaza, Wakatoliki gani hawajui hata vigango au parokia zao???? Huyu pope ni wa 16 kwa akili yako? Kila siku anatajwa kanisani, wangekuwa wakatoliki wangejua......lakini hayo mataahira wanajua dini yao wenyewe ila hawawezi kuwa wakatoliki wanaoimba mapambio......KWA TAARIFA YAKO WAKATOLIKI HUWA HATUIMBI MAPAMBIO, sijui wewe unaelewa au unajiharishia tu?1. Ukiwa ccm hauruhusiwi kuwa RC?
2. Au tuamini ya kuwa RC ni tawi ndani ya chadomo
Embu Thibitisha ukatoliki wakeUnalinganisha ukatoliki (dini) na ufuasi wa chama?..hawezi kuwa katibu uvccm na mkatoliki kwa wakati mmoja!?..akili gani hizo!?
Mbona lissu ni mkatoliki na mwenyekiti chadema?
Hivi ni kweli hamna akili timamu au ni maslai Fulani tu au ni mkumbo wa kidini , kikanda au ni kujifyatua akili tu?Uelewa wenu ni shida aisee!!..'watu wengi wanakupuuza'. Naweka ushahidi kuwa sipuuzwi unakuja na hoja ya kijinga
Kumbe na mbinu hii IPO,Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
hapo hakuna ata mmoja alievalia rozar wala mdari shingon wakathoric cjui wakutoka nchi gan hawaYupo mwingine anaitwa Kidawa ni mkazi wa Mwananyamala kwa mama Zakaria. Ni Muislam
Yaani huyu mpuuzi inatakiwa siku nyengine akiitisha press abanwe asali “sala ya imani” hapo ukweli utajulikana.
Hembu thibitisha ukatoliki wake hapa.Unalinganisha ukatoliki (dini) na ufuasi wa chama?..hawezi kuwa katibu uvccm na mkatoliki kwa wakati mmoja!?..akili gani hizo!?
Mbona lissu ni mkatoliki na mwenyekiti chadema?
Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
WAKRISTO wana busara na uvumilivu sana najiuliza igizo hili lingefanywa na WAKRISTO dhidi ya nchi ya saudia mecca ilipo au igizo lingefanyiwa BAKWATA je wangevumilia ujinga huu?Unaruhusiwa kabisa kuwa mkatoliki na uvccm.
Tatizo huyo dada ni wa dhehebu la Morovian na anajulikana. Wengine kwenye hayo maandamano ni Waislam.
Inawezekana vipi uwe Mkatoliki, uvccm na wakati huo huo ni muislam au morovian?
Ila usijali majina ya hao 120 wote na dini zao yatawekwa hapa
Hembu thibitisha ukatoliki wake hapa.Bila kuingilia mada,
kwani Katibu wa UVCCM - hawezi kuwa mkatoliki?
Leo mmevuka "RED LINE". Hivi katibu wa UVCCM hawezi kuwa MKATOLIKI? Au mwana CCM hawezi kuwa mkatoliki? Au mkatoliki mpaka awe na degree ndio aweze kutoa maoni yake. Sadaka zao wote mnazitaka na kuzipokea kila j,pili, bila ya kujali kama anaweza kuandika au sio.Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Acha uongo- Hivi wakatoliki wangapi wanalifahamu jina la Papa. Hipa nilipo kazini wapo wakatoliki watano, nimewauliza jina la Papa ni wawili tu ndio wamelifahamu. Wengine wakajibu, la muhimu ni kufahamu tu kiongozi mkuu wa ukatoliki duniani ni Papa.Mkatoliki hajui jina la Papa?
Eti reactions 😂😂,umepuyanga huko kote umeamua uje na hiki kigezo!!!?? Nakufananisha na amber ruti akiwa Facebook huwa anapata comments hata laki na likes za KUTOSHA Kwa post Moja ila maudhui yake unayajua na wafuasi wake unawajua!!??😂😂Umeona reactions!?... sasa turudi ujibu hoja, maana hao wengi wanaonipuuza hukuwafanyia sensa
Hizo riakshen unazotambia kuna wenzako wamezikusanya humu zaidi yako just kuandika styles za kufanya ngono na upuuzi kama huo so hata unazoona umepewa hapo wamekupa mnaofanana akili.Umeona reactions!?... sasa turudi ujibu hoja, maana hao wengi wanaonipuuza hukuwafanyia sensa