Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Mweleze ukwel hiyo hela ni kubwa hivyo hiwez imudu ili usionekane msanii, na ulipaswa kuongea na binti kuwekana sawa kabla ya kwenda kulipa mahari
 
Kachukue 1ml yako ulete na io pesa nyingine nkupe crown no. D Bado mpya
 
HIYO M7 UNAOA NA MAMAYAKE NA BABA YAKE ALAFU UNAPEWA MDOGOWAKE KAMA NYONGEZA AU UTARATIBU UPOJE
 
7M kwa mahari labda kama namnunua binti yao moja kwa moja yani harudi kwao tena ndio nishamnunua hivyooo...

Hizi maswala za mahari ifike mahali ziondolewe natamani sana kumjua alieanzisha huu utaratbu aliwaza nini na lengo lake hasa ni lipi?

kwa 7M yani bajaji hiyoo,kwanza kuna IST "a boy from the next door" hapa home anaiuza 5m halafu kaliiii.

7m sio msuli huo useme utaenda ufata pale saba saba,wambie hutaki mazoea hebu...
 
Mil. 7 mbona parefu sana? Ama ulimtusi ba' mkwe ukajumuishiwa na faini humohumo.
 
Na huo ni mkoa gani ambao mpaka leo mahari inadaiwa kama mkopo wa Tala
 
Pitieni nyuzi za huyu mwamba, anaenda kujiingiza kwenye kitanzi [emoji847][emoji847][emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyuzi zake zote mateso mwanzo mwisho
 
Hiyo mahari ni kubwa sana kama hauna kipato kikubwa , lakin pia huyo Binti anauzwa jumla jumla
 
Tatizo wakati mkitongoza mna danganya hamsemi ukweli haya ndo madhara yake.
 
Usiende kikaoni waambie unatafuta hela ya kumalizia mahari wapige hzo swaga mpaka mshenga mpaka mwisho watakusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…