Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Mtu ambaye hata kuandika Mahari huwezi waliwezaje kukupa Mke? Yaani kwa uandishi wako tu ngejua kichwani wewe ni empty.
 
7M hahaha sioi mke kwa mahari yote hiyo
 
Kweli umechanganyikiwa maana unaandika kama unakimbizwa. Hakuna kituo.
Kwa sababu ana mimba imetosha watakuruhusu TU umchukue ila kama mahali kwao nikipaumbele usitarajie positive results...ndoa haitodumu au kusumbua sana
 
Wazazi wanakimbilia kutaja mahari utafikiri wanaolewa wao πŸ˜‚
 
Mahari katika vitabu vya Dini ni maagizo ya mungu....na hiyo mahari ktk Dini ya kiislamu ni zawadi Kwa mwanamke mwenyewe....kwahiyo mwanamke ndio anaamua apewe kiasi gani.....Sasa bahati mbaya ndugu wameigeuza mahari kuwa ndo mtaji....utasikia sijui mkaja wa mama,sijui kilemba cha Babu yaani Mila ndio imechukua nafasi zaidi.

Ktk Uislamu imehusiwa mahari iwe ndogo ili iwe wepesi vijana kufunga ndoa....na mwanamke wa kiislamu Kwa mapenz yake aweza sema anataka msahafu Tu kama mahari yake na mambo yakawa poa kabisa.
 
Baba mkwe kudai mahari kwa nguvu ni ulafi.
Waambie kwasasa unajipanga kulea mtoto mtarajiwa na mzazi.
 
Milioni 7 😜😜😜😜 kwani ina tivii ndani😜😜😜😜............ harafu ukute hata ukumkuta bikra........pango kubwa Tu kama wengine
Ndo hivyo wenzio walimchezea wakamuacha Tena bure kabisa pasipo wazazi kujua.
yeye anataka kuoa , aoe hivyo hivyo Hakuna namna so umejifanya kiherehere.
 
Kwasasa hiyo mahari ni kubwa sana,baadhi ya wazazi au walezi,wanaamini kumlisha,kumvisha na kumsomesha binti,ndiyo kumtunza ipasavyo,wanasahau zamani ilikua ukiangalia kumtunza binti,ni mambo yaliyozingatia BIKRA na tabia njema ya binti na hivyo nilivyovitaja mwishoni,ndo vilikua muhimu,na bado mahari iliendana na uchumi wa familia inayooa.

Sasa sasa hivi,wadada unakuta katumika hadi hana ladha,na kizazi hiki unakuta mdada akiwa anaachia kwa wengi,anakutana na wanaume wengine ni wahuni,wanamfanya hadi kinyume na maumbile,halafu utoe milioni 7 are u serious?

Tuma mshenga,awaeleze kua utazilipa tartibu na usizilipe zote,ni kubwa sana,halafu itakufanya uwe na hasira sana maex wake wakianza kurudi kwake,utakuja kumuua,watu waanze kukulaumu kua ungemuacha tu,uoe mwingine kwa milioni 7,kuliko kumuua.
 
Jiamini huo ndio ushauri wangu, ni mfupi lakini matunda yake utakuja kunisimulia
 
Ulikubalije kutoa mahari usiyo na uwezo nayo? Mambo mengine ni kujitakia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…